Rodman siyo cholo weweKaka bata muhimu hasa kwa sisi watu wa kada za chini!!!Sikatai kufanya kazi ila enjoyment muhimu pia!!!North korea hawana uhuru kule hata wa kuangalia ligi za mpira na NBA!!!!Anaangalia muheshimiwa Kim peke yake na mshikaji wake anaejiusisha na mapenzi ya jinsia moja Deniss Rodman
North korea mwizi kama mwizi mwingne nilisoma mahali miaka 1970 aliagiza gari 1000 kutoka kampuni ya volvo sweden gari zilifika pyong yang zikapokelewa mpaka leo sweden(volvo) hajalipwa manunuzi ya yale magari na deni lipoinabidi nchi iwe bize kwenye tech kama North Korea ku-deter ujinga ujinga wa Marekani
siyo kupoteza kukata viuno kama wale upinde wa Ulaya
Mimi nilimuona kavaa shela na akajifungisha ndoa!!!!!Afu ya vile vidani puani na kwenye ulimi na anvyopaka wanja na make up!!!!Kweli kaka Zonda ndugu yetu Rodman sio gay????Rodman siyo cholo wewe
Siyo,swaga tu...alishasema alijaribu kugongwa,akadai inauma tusije jaribu..lakini ni mzinguaji tu,yule mhuni haswaMimi nilimuona kavaa shela na akajifungisha ndoa!!!!!Afu ya vile vidani puani na kwenye ulimi na anvyopaka wanja na make up!!!!Kweli kaka Zonda ndugu yetu Rodman sio gay????
aliwahitamka yeye ni BiRodman siyo cholo wewe
Dansi ni burudani sio ujinga na wanacheza binadamu sio wanyama!!!Raha ya dansi tuwe wengi sio kujifungia chumbani@Zonda!!!Kucheza dansi ili wengine wakutazame ni ujinga
Unamtetea sababu ni rafiki wa Kim au una ushahidii kuwa bro sio gay!!!Maana wanaume hatutoboi ulimi na pua na masikio!!!Umesahau yaliyomkuta 2pac alipotoboa pua???Siyo,swaga tu...alishasema alijaribu kugongwa,akadai inauma tusije jaribu..lakini ni mzinguaji tu,yule mhuni haswa
Upo sahii kaka yawezekana yeye na Mh Kim lao moja kila wakikutana pale North korea!!!aliwahitamka yeye ni Bi
ina maana anakula na analiwa pia
Wanaume wa wapi hatutoboi pua!!?..wanaume wa kinyamwezi na kisukuma ni utamaduni wao kusukaUnamtetea sababu ni rafiki wa Kim au una ushahidii kuwa bro sio gay!!!Maana wanaume hatutoboi ulimi na pua na masikio!!!Umesahau yaliyomkuta 2pac alipotoboa pua???
Hebu google is rodman gayaliwahitamka yeye ni Bi
ina maana anakula na analiwa pia
Waajemi tamaduni zao walishaziacha kitambo!!!!Angalia lugha tu wanayotumiaWana tamaduni zao, ukiona hivyo dance sio utamaduni wao, wameona haina tija wameukataa, shida ni kufikiri kila kitu ni muhimu kwa kila mtu
Kusuka kwa waafrika nakutoboa masikio kwa waafrika ni tofauti na gays!!!!Kaka muangalie vizuri Rodman na pia uangalie vizuri ukaribu wake na dogo Kim!!!Wanaume wa wapi hatutoboi pua!!?..wanaume wa kinyamwezi na kisukuma ni utamaduni wao kusuka
Dah,hizi si hoja babuKusuka kwa waafrika nakutoboa masikio kwa waafrika ni tofauti na gays!!!!Kaka muangalie vizuri Rodman na pia uangalie vizuri ukaribu wake na dogo Kim!!!
Google chombo cha propaganda za magharibi hakiwezi kutupa ukweli sahii!!!Kitendo cha yeye kuvaa cross dress code na zile wanja ni jibu tosha kaka!!Hebu google is rodman gay
Kaka wanaume rijali kweli wanatoboa ulimi? Afu ukaribu wake na kim unatia shaka kaka???Dah,hizi si hoja babu
Sasa sio kila tamaduni ya kigeni unaweza ipokea, kama haina faida una achana nayoWaajemi tamaduni zao walishaziacha kitambo!!!!Angalia lugha tu wanayotumia
Walivyopewa waliichukua au waliikataa kaka???Unajua kwenye covid walipewa dawa na Wazungu?
Sasa uhuru muhimu watu waenjoy life!!!!!Maendeleo bila uhuru ni sawa na kuwanyima watu pumzi!!!Na huo ni uamuzi wa wangapi katika majorty????Sasa sio kila tamaduni ya kigeni unaweza ipokea, kama haina faida una achana nayo
Mbona Mh Kangi Lugola alifanya hivyo tena mbele ya Raisi na akapigiwa makofi!!!Hata huku ukikata viuono hadharani utaonekana kichaa
Angalia mahusiano yao na Rodman ni ya kutia shaka shaka Hivi!!Daaah boss hivi vitu hatari ni kwamba kim anajihusisha na mapenzi ya jinsia moja mkuu au sijaelewa?