Ni jambo jema sana ili kuepusha umalaya na majanga haya ya maradhi lakini ni kujenga taifa la watu madhubuti zaidi sio watu miili yao inalegea legea kwa kutipuka tipuka., uilsam ni dini nzuri sana.mashi yao ni magumu lakini nchi yao aombi chumvi kwa mzungu kila kitu wanafanya wao barabala shule madawa hosptal silaha madege vifaru nk wewe unachza dansi adharani unawazidi nn? mabo mengine twe na haya kuyaweka waz
Sio barabarani tu hata vitani wanaenda wanakatika na kucheza mpaka frontlineWakongo hawatakiwi kwenda huko watauliwa wote,maana wao hata braabarani tu mzuka ukimpanda mtu anaweza kukatika ndombolo ya solo...
Upo sahii kaka kwa mtazamo wa imani yako!!!Lakini kwa mtazamo wa sisi OG,s ni tofauti na wako kaka!!Ni jambo jema sana ili kuepusha umalaya na majanga haya ya maradhi lakini ni kujenga taifa la watu madhubuti zaidi sio watu miili yao inalegea legea kwa kutipuka tipuka., uilsam ni dini nzuri sana.
My homies pale Tehran wanapata tabu sana!!!Hizi nchi za wavaa magunia vichwani mpaka usoni zina taabu sana kuishi huko
Kwa tarifa yako, hakuna nchi zilizo na wanawake malaya kama nchi za kiarab. Kule kubanwa kwao kufanya vitu kwa uhuru kunawapa nyege sana wanawake wao, na ni waarab ndiyo wanaaongoza kutizama sinema za ngono duniani wakimuiga Haji Manara. Msipende kukariri tu vitu jamani, tembeeni muone dunia na mjifunze.Ni jambo jema sana ili kuepusha umalaya na majanga haya ya maradhi lakini ni kujenga taifa la watu madhubuti zaidi sio watu miili yao inalegea legea kwa kutipuka tipuka., uilsam ni dini nzuri sana.
Ebu twende taratibu kaka Haji manara kafanyaje?????Kwa tarifa yako, hakuna nchi zilizo na wanawake malaya kama nchi za kiarab. Kule kubanwa kwao kufanya vitu kwa uhuru kunawapa nyege sana wanawake wao, na ni waarab ndiyo wanaaongoza kutizama sinema za ngono duniani wakimuiga Haji Manara. Msipende kukariri tu vitu jamani, tembeeni muone dunia na mjifunze.
Nani kakwambia uhuru ni kudance? hizo ni tamaduni za watu sio lazima kila mtu akubaliSasa uhuru muhimu watu waenjoy life!!!!!Maendeleo bila uhuru ni sawa na kuwanyima watu pumzi!!!Na huo ni uamuzi wa wangapi katika majorty????
Kila mtu dini yake anaiona nzuri sana upo sahii kaka!!!Lakini mimi uzi wangu hauzungumzii dini kaka bali unazungumzia uhuru binafsi wa wananchiNi jambo jema sana ili kuepusha umalaya na majanga haya ya maradhi lakini ni kujenga taifa la watu madhubuti zaidi sio watu miili yao inalegea legea kwa kutipuka tipuka., uilsam ni dini nzuri sana.
Wewe badala ya kulia na watengenezaji wa filamu za ngono, una walalamikia waangaliaji, bila wao kupewa uhuru wa kucheza filamu za utupu bila shaka kundi la waangaliaji lingekuwa halipoKwa tarifa yako, hakuna nchi zilizo na wanawake malaya kama nchi za kiarab. Kule kubanwa kwao kufanya vitu kwa uhuru kunawapa nyege sana wanawake wao, na ni waarab ndiyo wanaaongoza kutizama sinema za ngono duniani wakimuiga Haji Manara. Msipende kukariri tu vitu jamani, tembeeni muone dunia na mjifunze.
Uhuru ni pamoja na kufanya chochote unachotaka ikiwemo kucheza muziki au nakosea kaka??Nani kakwambia uhuru ni kudance? hizo ni tamaduni za watu sio lazima kila mtu akubali
Nyege tunaita ni hisia za kimapenz ambazo mwanadamu yoyote ulimwenguni mwanamke au mwanamke aliyekamilika lazima atakuwa nazo na sio waarabu tu na ndio maana uislamu umeamrisha ndoa ili kukidhi hayo na kuwa na familia iliyosalama,Kwa tarifa yako, hakuna nchi zilizo na wanawake malaya kama nchi za kiarab. Kule kubanwa kwao kufanya vitu kwa uhuru kunawapa nyege sana wanawake wao, na ni waarab ndiyo wanaaongoza kutizama sinema za ngono duniani wakimuiga Haji Manara. Msipende kukariri tu vitu jamani, tembeeni muone dunia na mjifunze.
Kaka waangaliaji ndio wanaosababisha products ziendelee kutoka!!!Huwezi kuwalaumu wazalishaji pekee ukasahau wapokeaji!!!Wote wapo mkondo mmoja kaka!!!Au nakosea???Wewe badala ya kulia na watengenezaji wa filamu za ngono, una walalamikia waangaliaji, bila wao kupewa uhuru wa kucheza filamu za utupu bila shaka kundi la waangaliaji lingekuwa halipo
Huwezi kufanya chochote unachotaka, lazima kuwe na taratibu za kufata , ukitaka kumuua jirani yako watu wakuache kisa uhuru ni kufanya chochote unacho taka?Uhuru ni pamoja na kufanya chochote unachotaka ikiwemo kucheza muziki au nakosea kaka??
Dah!... those were the days..Ni magumu kwa sisi OG,s na member,s wa Piru gang,s kizazi cha 1980,s!!!Street,s parties ni part of our up bringing!!!!Nchi kama hiyo ni pagumu sana sisi kukaa
Sasa ndugu ukicheza mziki wa aina yoyote ile include kaswida au bel dance unakua legelege????Nyege tunaita ni hisia za kimapenz ambazo mwanadamu yoyote ulimwenguni mwanamke au mwanamke aliyekamilika lazima atakuwa nazo na sio waarabu tu na ndio maana uislamu umeamrisha ndoa ili kukidhi hayo na kuwa na familia iliyosalama,
Hoja hapa tunasema ni kuondoa viashiria vya umalaya lakini kuwa na taifa madhubuti lisilo na vijana legelege kwa kutipuka tipuka tu mara umekunywa pombe mara bangi mara hivi mara vile.,
Sasa bila watengenezaji hawa waangaliaji watu angalia nini? bila bidhaa kuwepo hakuna atakae angaika, ila ikiwepo watu watakula, kwahiyo mzizi wa tatizo ni wale wanao leta bidhaa sokoniKaka waangaliaji ndio wanaosababisha products ziendelee kutoka!!!Huwezi kuwalaumu wazalishaji pekee ukasahau wapokeaji!!!Wote wapo mkondo mmoja kaka!!!Au nakosea???
Unaweza kuishi bila mziki wala hakuna madhara yeyote unaweza kupataSasa ndugu ukicheza mziki wa aina yoyote ile include kaswida au bel dance unakua legelege????
Hivi unajuwa kuwa kuna waarab wengi sana wapigaji bangi na wabwia unga....unayo hiyo tarifa? Pombe hawanywi ila wanapiga sana bangi kama hawana akili.Nyege tunaita ni hisia za kimapenz ambazo mwanadamu yoyote ulimwenguni mwanamke au mwanamke aliyekamilika lazima atakuwa nazo na sio waarabu tu na ndio maana uislamu umeamrisha ndoa ili kukidhi hayo na kuwa na familia iliyosalama,
Hoja hapa tunasema ni kuondoa viashiria vya umalaya lakini kuwa na taifa madhubuti lisilo na vijana legelege kwa kutipuka tipuka tu mara umekunywa pombe mara bangi mara hivi mara vile.,
Man don't remind me those days late 1980,s and 1990,s!!Mara beach party na zanaki sekondari,mara beach party na jangwani au tambaza au forodhani au na mabishoo wa UDSM au IFM na Mc wa tamasha ni taji liundi au khaleed mohamed (TID) na wengine wengi siwezi kuwataja wote hapa!!!!!!!!Tungekua Tehran tungeshindwa maisha kakaDah!... those were the days..