matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Katika harakati za kijeshi hilo linategemewa wakati wowote.Iran imerusha drones zake na kurekodi misafara ya meli kubwa za kivita za Marekani.
View: https://x.com/EbneHava/status/1729892586578452954?s=20
View attachment 2829122
Wachambuzi wanasema huu ni mwanzo wa kufeli kwa ubabe wa US kwenye maji. Kama drone zimekaribia na kuchukua picha kwa kuzoom karibu muda mrefu, basi hawashindwi kuzamisha meli hizo.
Ukiwa na vifaa vya kisasa vya kijeshi vya matrillion, alafu kuna mtu anavifuatilia bila wewe kujua basi hauko salama kama unavyodhani.
Hii kitu haijawahi kufanywa na China wala Russia.
Ni hayo tu...
Nini maoni yako.
Unatumia akil8 nyepesi Mno kujadili jambo as if IRAN adminostration nzima haijaliona then wewe ndo ukaliona🤣Rusia na Choma inawezekana wanafanya lakini hawezi kuonyesha ulimwengu kama Iran anavyofanya, Iran anachofanya kitakuja kumgharimia, kupiga picha military base na kuonyesha ulimwengu maana yake ametangaza vita kubwa muda wowote anaweza kushambuliwa hizo melivita, assume kwa sasa itokee ajali yoyote ya melivita lazima waseme ni Iran, Kwa mazingira hayo USA ana machaguo 2, kukubali Iran aendelee kumchezea sharubu na kurutubisha uranium na kutengeneza silaha za nuklia au kumdhibiti mapema
Picha hata mimi napiga tu kwa kutumia simu yangu, so iran hawana cha maana, sijawahi kuona nchi inayoongozwa kidini ikawa na akili dunianiIran imerusha drones zake na kurekodi misafara ya meli kubwa za kivita za Marekani.
View: https://x.com/EbneHava/status/1729892586578452954?s=20
View attachment 2829122
Wachambuzi wanasema huu ni mwanzo wa kufeli kwa ubabe wa US kwenye maji. Kama drone zimekaribia na kuchukua picha kwa kuzoom karibu muda mrefu, basi hawashindwi kuzamisha meli hizo.
Ukiwa na vifaa vya kisasa vya kijeshi vya matrillion, alafu kuna mtu anavifuatilia bila wewe kujua basi hauko salama kama unavyodhani.
Hii kitu haijawahi kufanywa na China wala Russia.
Ni hayo tu...
Nini maoni yako.
Ayatollah amesahau et, hawa iran ndo hamna kitu kabsaChina aliingiza baloon kusurvey ndani kabisa ya nchi ya Marekani lakini
na lilifanikiwa kucross America nzima, walikuja kulishusha likiwa limeshatuma data za kutosha chinaChina alirusha ballon akasema la weather.
Cheza kwa makini kill your enemy slowly na kataa
Mwisho wa dunia upo kwenye arsenals za nukes.Iran imerusha drones zake na kurekodi misafara ya meli kubwa za kivita za Marekani.
View: https://x.com/EbneHava/status/1729892586578452954?s=20
View attachment 2829122
Wachambuzi wanasema huu ni mwanzo wa kufeli kwa ubabe wa US kwenye maji. Kama drone zimekaribia na kuchukua picha kwa kuzoom karibu muda mrefu, basi hawashindwi kuzamisha meli hizo.
Ukiwa na vifaa vya kisasa vya kijeshi vya matrillion, alafu kuna mtu anavifuatilia bila wewe kujua basi hauko salama kama unavyodhani.
Hii kitu haijawahi kufanywa na China wala Russia.
Ni hayo tu...
Nini maoni yako.
hapo bila wao"kujua umefeli mjomba" inawezekana unawachukia mno US umesaha huko nyuma wa iran walirusha makombora base la us iraq, us waaliona hakuna madhara makubwa wakadharau hawakujibu sasa kiwewe kikafanya iran watungue ndege ya ukrain ambayo abiria wengi walikuwa wa iran. Mchezo mzima wanaume waliuona wakaa kimya wiki 2, wairan mara kusingizia us mara pilot error mara vile, mwishoni wakakubali wameua raia wao wenyewe na ikabidi walipe hela ndefu.Iran imerusha drones zake na kurekodi misafara ya meli kubwa za kivita za Marekani.
View: https://x.com/EbneHava/status/1729892586578452954?s=20
View attachment 2829122
Wachambuzi wanasema huu ni mwanzo wa kufeli kwa ubabe wa US kwenye maji. Kama drone zimekaribia na kuchukua picha kwa kuzoom karibu muda mrefu, basi hawashindwi kuzamisha meli hizo.
Ukiwa na vifaa vya kisasa vya kijeshi vya matrillion, alafu kuna mtu anavifuatilia bila wewe kujua basi hauko salama kama unavyodhani.
Hii kitu haijawahi kufanywa na China wala Russia.
Ni hayo tu...
Nini maoni yako.
Not every erectile penis can defile a girl.Iran imerusha drones zake na kurekodi misafara ya meli kubwa za kivita za Marekani.
View: https://x.com/EbneHava/status/1729892586578452954?s=20
View attachment 2829122
Wachambuzi wanasema huu ni mwanzo wa kufeli kwa ubabe wa US kwenye maji. Kama drone zimekaribia na kuchukua picha kwa kuzoom karibu muda mrefu, basi hawashindwi kuzamisha meli hizo.
Ukiwa na vifaa vya kisasa vya kijeshi vya matrillion, alafu kuna mtu anavifuatilia bila wewe kujua basi hauko salama kama unavyodhani.
Hii kitu haijawahi kufanywa na China wala Russia.
Ni hayo tu...
Nini maoni yako.
Sio Kwelina lilifanikiwa kucross America nzima, walikuja kulishusha likiwa limeshatuma data za kutosha china
USA walishaoneshwa kuwa ni "cha mtoto" na Waafghanistan.Iran imerusha drones zake na kurekodi misafara ya meli kubwa za kivita za Marekani.
View: https://x.com/EbneHava/status/1729892586578452954?s=20
View attachment 2829122
Wachambuzi wanasema huu ni mwanzo wa kufeli kwa ubabe wa US kwenye maji. Kama drone zimekaribia na kuchukua picha kwa kuzoom karibu muda mrefu, basi hawashindwi kuzamisha meli hizo.
Ukiwa na vifaa vya kisasa vya kijeshi vya matrillion, alafu kuna mtu anavifuatilia bila wewe kujua basi hauko salama kama unavyodhani.
Hii kitu haijawahi kufanywa na China wala Russia.
Ni hayo tu...
Nini maoni yako.
Marekani hawezi kurupuka kumshambulia Iran ata siku moja! Na hata Iran hawezi shambulia IsraelRusia na Choma inawezekana wanafanya lakini hawezi kuonyesha ulimwengu kama Iran anavyofanya, Iran anachofanya kitakuja kumgharimia, kupiga picha military base na kuonyesha ulimwengu maana yake ametangaza vita kubwa muda wowote anaweza kushambuliwa hizo melivita, assume kwa sasa itokee ajali yoyote ya melivita lazima waseme ni Iran, Kwa mazingira hayo USA ana machaguo 2, kukubali Iran aendelee kumchezea sharubu na kurutubisha uranium na kutengeneza silaha za nuklia au kumdhibiti mapema
hapo bila wao"kujua umefeli mjomba" inawezekana unawachukia mno US umesaha huko nyuma wa iran walirusha makombora base la us iraq, us waaliona hakuna madhara makubwa wakadharau hawakujibu sasa kiwewe kikafanya iran watungue ndege ya ukrain ambayo abiria wengi walikuwa wa iran. Mchezo mzima wanaume waliuona wakaa kimya wiki 2, wairan mara kusingizia us mara pilot error mara vile, mwishoni wakakubali wameua raia wao wenyewe na ikabidi walipe hela ndefu.
Kupiga picha hakuna madhara si warushe kombora basi maana ile ghuba upana wake ni km30 tu ina maana meli ikipita kati inakuwa km 10 au 15 toka iran sasa mdude ile moja kama USS FORD ni m337 yaani viwanja vitatu na nusu vya mpira linapita mchana kweupe na yako matatu halafu kupiga picha iwe kitu cha ajabu na akilikuuubwa kwa iran DU taf jaman kama mmefikia hapo poleni sana
Kamikaze Toka Iran zilibadili upepo wa vita pale Uikrane.Ayatollah amesahau et, hawa iran ndo hamna kitu kabsa
Ficha ujinga wako.Picha hata mimi napiga tu kwa kutumia simu yangu, so iran hawana cha maana, sijawahi kuona nchi inayoongozwa kidini ikawa na akili duniani
North korea yeye juzi karusha picha za Ikulu na Pentagoni na camp za kijeshi,na bado anaskilizia anasema picha zinazofuata ni Biden akiwa Msalani.Rusia na Choma inawezekana wanafanya lakini hawezi kuonyesha ulimwengu kama Iran anavyofanya, Iran anachofanya kitakuja kumgharimia, kupiga picha military base na kuonyesha ulimwengu maana yake ametangaza vita kubwa muda wowote anaweza kushambuliwa hizo melivita, assume kwa sasa itokee ajali yoyote ya melivita lazima waseme ni Iran, Kwa mazingira hayo USA ana machaguo 2, kukubali Iran aendelee kumchezea sharubu na kurutubisha uranium na kutengeneza silaha za nuklia au kumdhibiti mapema