Iran kwa mara ya kwanza imefanya jambo kwa US ambalo China na Russia hawajawahi kuonyesha uwezo wa kufanya

Iran kwa mara ya kwanza imefanya jambo kwa US ambalo China na Russia hawajawahi kuonyesha uwezo wa kufanya

hapo bila wao"kujua umefeli mjomba" inawezekana unawachukia mno US umesaha huko nyuma wa iran walirusha makombora base la us iraq, us waaliona hakuna madhara makubwa wakadharau hawakujibu sasa kiwewe kikafanya iran watungue ndege ya ukrain ambayo abiria wengi walikuwa wa iran. Mchezo mzima wanaume waliuona wakaa kimya wiki 2, wairan mara kusingizia us mara pilot error mara vile, mwishoni wakakubali wameua raia wao wenyewe na ikabidi walipe hela ndefu.

Kupiga picha hakuna madhara si warushe kombora basi maana ile ghuba upana wake ni km30 tu ina maana meli ikipita kati inakuwa km 10 au 15 toka iran sasa mdude ile moja kama USS FORD ni m337 yaani viwanja vitatu na nusu vya mpira linapita mchana kweupe na yako matatu halafu kupiga picha iwe kitu cha ajabu na akilikuuubwa kwa iran DU taf jaman kama mmefikia hapo poleni sana
Embu usitudanganye wewe.
Ile base ya Iraq inayotumiwa na USA ilipigwa madhara yalionekana na mpka sasa wapo wanajeshi wa USA walemavu.
Na ndio kisa cha Trump kutuma manowari ghuba ya uajemi.
Embu usitudanganye hapa sisi sio watoto.
Kama hizo ndio kasumba mlizomezeshwa poleni.
Pia usisahau 2010 Iran iliwahi kudetect na kuzizuia submarine 2 za US navy zikiwa ten kilometres away from persian gulf.
Sijui huu uongo mnautoaga wapi.
 
Back
Top Bottom