Iran kwa mara ya kwanza imefanya jambo kwa US ambalo China na Russia hawajawahi kuonyesha uwezo wa kufanya

Embu usitudanganye wewe.
Ile base ya Iraq inayotumiwa na USA ilipigwa madhara yalionekana na mpka sasa wapo wanajeshi wa USA walemavu.
Na ndio kisa cha Trump kutuma manowari ghuba ya uajemi.
Embu usitudanganye hapa sisi sio watoto.
Kama hizo ndio kasumba mlizomezeshwa poleni.
Pia usisahau 2010 Iran iliwahi kudetect na kuzizuia submarine 2 za US navy zikiwa ten kilometres away from persian gulf.
Sijui huu uongo mnautoaga wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…