Iran: Makamanda wa US wapo Tel Aviv kuongoza mauaji ya kimbari Gaza

Anaongea akiwa Tehran baada ya mstari mwekundu kuvukwa
 
Hayo ni kweli 100%

Huwezi mtisha Muislam kifo ukiwa wewe ni kafiri.

Ukimuuwa kashinda, akikuuwa kashinda.
Kuna gaidi yeyote alishawahi kuuawa akafufuka akawathibitishia kuwa huo uongo mlioaminishwa na mtu asiyejua kusoma wala kuandika, kuwa ni wa kweli? kuna uthibitisho wowote kwamba mkifa mnaenda sehemu nzuri? amewatumbukiza wote kwenye shimo la moto wa milele hadi mnatia huruma.
 
Maralia umeleta uzi wa tano leo duuh🤣🤣🤣
 
Mandela.
 
Hayo mbona ni kawaida sana kwa Wapalestina? Unaelewa maana ya "shaheed", Wapalestina wote ni shaheed.

Unamtishia kifo mtu anae utamani umauti? Ni kama kumpoigia mbuzi gita tu.
 
Hayo ni kweli 100%

Huwezi mtisha Muislam kifo ukiwa wewe ni kafiri.

Ukimuuwa kashinda, akikuuwa kashinda.
Wazee wa kobasi bana.
Ipo siku dunian kuwa muslim itakua ni hatia... Ulaya huku imeanza kidogo kidogo
Inabid mkaze sana aisee
 
basi kama hawaogopi kifo na wanafurahia kifo, wasiwe wanalialia, wakubaliane tu pale israel anapowasaidia kuwapeleka ahera.
Walikulilia wewe?

Unaielewa muqawamma? jifunze kutumia google kidogo uielewe.

Watu wanasherehekea ushindi kwa vifijo, wewe unasema wanalia? Unanchekesha.
 
Wazee wa kobasi bana.
Ipo siku dunian kuwa muslim itakua ni hatia... Ulaya huku imeanza kidogo kidogo
Inabid mkaze sana aisee
Ulaya ipi unayoishi wewe, wakati Ulaya sasa hivi watu wanaingia kwenye Uislam makundi kwa makundi.

Makanisa yanakuwa misikiti.
 
Hayo mbona ni kawaida sana kwa Wapalestina? Unaewa maana ya "shaheed", Wapalestina wote ni shaheed.

Unamtishia kifo mtu anae utamani umauti? Ni kama kumpoigia mbuzi gita tu.
Asa mbona wanalalamika kwenye media kuwa wanauliwa na majeshi ya IDF mi nadhani wangeshangilia Sasa mashaheed hao [emoji848][emoji848][emoji848]
Anyway nadhani mtizamo wa watanzania kuhusu vita ya Gaza ni WA peke yake dunia nzima
 
mimi nimeuliza, ni gaidi gani wa dini yeyote aliywahi kufa akafufuka akawathibitishia kwamba mkifa uwa mnapata thawabu kama alizowadanganyeni mood.
Kasema "Mandela"dah[emoji23][emoji23][emoji23]
 
wakati Iran wanaendelea kutoa maneno Israel anaendelea kuisagasaga Gaza hivyo Ustaadh Malaria 2 we endelea tu kutuletea maneno ya wairan maana yanakupa faraja wewe na wenzio kuwa labda ipo siku lakini ni ndoto tu.
 
Asa mbona wanalalamika kwenye media kuwa wanauliwa na majeshi ya IDF mi nadhani wangeshangilia Sasa mashaheed hao [emoji848][emoji848][emoji848]
Anyway nadhani mtizamo wa watanzania kuhusu vita ya Gaza ni WA peke yake dunia nzima
Media unazotazama wewe sizo. Jionee:


View: https://youtu.be/HIpjAaJLMJU?si=rPKjFQ1sRU4-0Rrr
Natamani ungesikia anachokiongea huyo kijana.

kwa ufupi, kimoja alichosema ni,bd Y kuqTndik Hq MDUI 7/10 tulitegemea ndani ya saa 24 iwe hili kambi la mateso linaloitwa Gaza limemalizwa lote. Tunatamani wao na washirika wao wa kutupeleka peponi wafanye haraka waje tuonane uso kwa uso, wako wapi?

Tunawaambia wote mnaotuombea dua, muendelee na dua zenu, hawa maadui wanakumbana na ulinzi hata sisi tunashangaa unatokea wapi. Hiyo ndiyo nguvu ya Mwenyezi Mungu.

Ushindi kwa vyovyote viule wa kifo au wa uhai. Wote ni ushindi. Msiwe na shaka wala msiwe na wasiwasi furahini kwa kinachoemdelea, majeshi makubwa duniani leo yansimamoishwa na watoto wadohgo na wanawake. Huo pelke yake ni ushindi mkubwa sana.
 
mungu wenu hajawahi kuwasaidia hata siku moja na mungu wenu hajawahi kumshinda Mungu wa Israel hata siku moja, its just a matter of time.
 
Wanaota hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…