Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
Huu ni upuuzi wa hali ya juu,Hayo ni kweli 100%
Huwezi mtisha Muislam kifo ukiwa wewe ni kafiri.
Ukimuuwa kashinda, akikuuwa kashinda.
Usiumie sana. Ukweli ukidhihiri uongo hujitenga.Unaweza kuthibitisha hiyo pepo unayosema,
Brain washed.
Ndiyo Upumbavu wenu ulipo umegeuza kuwa Ni Vita ya dini. Israel anapigana na Uislamu?. Kwa hiyo Uislamu ndiyo uliyorusha maroketi kuanzisha Vita?. Wewe mtu Ni wa kupuuzwa kabisa na huu Upumbavu wako. Kwanini unahusisha na Uislamu?. Una fuvu lisilo na uwezo hata wa kufikiliUnajidanganya. Kafiri lini kamshinda muislam?
Mwehu huyoHuu ni upuuzi wa hali ya juu,
Ameshinda nini?
Watu wanapoteza familia zao,wanabaki wapweke,wanabaki vilema na ukiwa...
Hapo kuna ushindi?
Tatizo lako ni ufinyu wa muono wako, hauna upeo., unaona mwisho wa pua yako tu.Ndiyo Upumbavu wenu ulipo umegeuza kuwa Ni Vita ya dini. Israel anapigana na Uislamu?. Kwa hiyo Uislamu ndiyo uliyorusha maroketi kuanzisha Vita?. Wewe mtu Ni wa kupuuzwa kabisa na huu Upumbavu wako. Kwanini unahusisha na Uislamu?. Una fuvu lisilo na uwezo hata wa kufikili
Sasa mbona nchi za kiarabu marekani anawaongozaUnajidanganya. Kafiri lini kamshinda muislam?
Ulikenua meno waliporusha maroketi kuua waisraeli. Kenua Tena wanapokufa wapalestina. Akili box wewe. Eti Vita vya kidini waarabu wamewateka akili yanachokoza ugomvi ili yawaambie wajinga Kama wewe kuwa Ni Vita vya kiislamu na mnaingia kichwa kichwa kuona Ni Vita vya kidini. Dini ya kiislam ndiyo iliyorusha maroketi?. Kua kiakili ule Upumbavu wa Hamas hakuna mwenye akili anaunga mkonoTatizo lako ni ufinyu wa muono wako, hauna upeo., unaona mwisho wa pua yako tu.
Rubbish.Kamanda wa Kamandi Kuu ya Khatam al-Anbiya ya Jeshi la Iran amesema makamanda wa Kamandi Kuu ya Jeshi la Marekani katika eneo la Asia Magharibi (CENTCOM), na vile vile makamanda wa Kikosi cha Majini cha nchi hiyo wapo Tel Aviv kuwasaidia maafisa wa utawala haramu wa Israel kufanya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.
Meja Jenerali Gholam Ali Rashid, Kamanda wa Kamandi Kuu ya Khatam al-Anbiya alisema hayo jana Jumanne hapa Tehran na kuongeza kuwa: Majeshi ya Iran yana taarifa kwamba makamanda wa CENTCOM na vile vile jeshi la Marekani na jeshi lake la baharini wanashirikiana na makamanda wa Israel katika kambi ya kijeshi iliyoko Tel Aviv kusimamia na kuongoza mashambulizi ya kinyama ya utawala wa Kizayuni dhidi ya taifa la Palestina.
Kamanda huyo amesema kushindwa Wazayuni katika Operesheni ya Kimbunga cha al-Aqsa ni moja ya vipigo vikubwa vya aina yake ambavyo havijawahi kushuhudiwa.
Meja Jenerali Gholam Ali Rashid ameongeza kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel, si tu kwamba umepata pigo kubwa bali pia umeshindwa kwa fedheha na wanamuqawama wa Palestina.
326 hadi leoIsrael wameshasema, askari wake waliokufa wamefikia 500 na hiyo sio ajabu, ndio matokeo ya vita, but at the end of the day, watashinda vita na hamas itafutwa na Gaza kaskazini haitakaliwa na wapalestina tena kwasababu wakiwa huru wanaruhusu hayo kufanyika, itakaliwa kimabavu na israel kama ilivyokuwa kabla ya 2005.
Mimi mpaka sasa hivi nnafuraha kubwa sana tena sana. Ni ushindi mkubwa sana kwa Palestina huu, kwa wenye kuelea. Tazama vijana wa Kiyemen jana wamesema sasa wayahudi wafunguwe mipaka wawaachie watu wapeleke misaada ya Gaza, au waendelee kupokea zawadi ya missiles kutoka kwao. Jionee:Ulikenua meno waliporusha maroketi kuua waisraeli. Kenua Tena wanapokufa wapalestina. Akili box wewe. Eti Vita vya kidini waarabu wamewateka akili yanachokoza ugomvi ili yawaambie wajinga Kama wewe kuwa Ni Vita vya kiislamu na mnaingia kichwa kichwa kuona Ni Vita vya kidini. Dini ya kiislam ndiyo iliyorusha maroketi?. Kua kiakili ule Upumbavu wa Hamas hakuna mwenye akili anaunga mkono
BASI endeleeni kuishi nao , mtaenda nao peponi yenu.Uelewa mdogo siyo,au mpaka mtu aongee kwa kufoka Kama wachungaji wenu ndiyo masikio yazibuke uelewe!?..jinni ni kiumbe Kama wewe,mbuzi,kuku nk,wewe unapomrubuni mtu kufanya uovu huo ni ushetani na wewe hapo unakua shetani,Kuna jinni muovu Kama wewe na jinni mwema Kama sheikh ponda,siyo kila jinni ni muovu,ndiyo maana hata nyingi mnasema pepo mchafu toka maana yake Kuna msafi
Sana! Malaria ikifika hatua ya kichaa Israel huwa hachezi mbaliUnahisi malaria itakuwa imepanda kichwani.....??
Mimi mpaka sasa hivi nnafuraha kubwa sana tena sana. Ni ushindi mkubwa sana kwa Palestina huu, kwa wenye kuelea. Tazama vijana wa Kiyemen jana wamesema sasa wayahudi wafunguwe mipaka wawaachie watu wapeleke misaada ya Gaza, au waendelee kupokea zawadi ya missiles kutoka kwao. Jionee:
View attachment 2800211
Unafahamu matokeo ya kimbembe hicho kilichoanza jana? Matokeo leo wenyewe wamewachia misaada iingie, Wayemen nao wamesema bado, gari 28 kwa siku hazitoshi, wanataka waone japo gari 100 kwa siku ndiyo wao wasimame kutuma missiles zao.
Matokeo unajuwa nini? kama hujuwi sema tukueleze kinachendele huko bila propaganda za kujazwa ujinga.
Ardhi inaondoka tu nyinyi mnajifariji na tupichaMimi mpaka sasa hivi nnafuraha kubwa sana tena sana. Ni ushindi mkubwa sana kwa Palestina huu, kwa wenye kuelea. Tazama vijana wa Kiyemen jana wamesema sasa wayahudi wafunguwe mipaka wawaachie watu wapeleke misaada ya Gaza, au waendelee kupokea zawadi ya missiles kutoka kwao. Jionee:
View attachment 2800211
Unafahamu matokeo ya kimbembe hicho kilichoanza jana? Matokeo leo wenyewe wamewachia misaada iingie, Wayemen nao wamesema bado, gari 28 kwa siku hazitoshi, wanataka waone japo gari 100 kwa siku ndiyo wao wasimame kutuma missiles zao.
Matokeo unajuwa nini? kama hujuwi sema tukueleze kinachendele huko bila propaganda za kujazwa ujinga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti anaingia peponiMuislam akimua kafiri ktk vita anaingia peponi na akiuliwa yeye anaingia peponi. Wakati kafiri akifa au akiua moto kwa moto
Tofauti na wewe kafiri
Polimilai nyingi sana mzee mwenzangu,hebu jaribu kuzipunguza kidogoMimi mpaka sasa hivi nnafuraha kubwa sana tena sana. Ni ushindi mkubwa sana kwa Palestina huu, kwa wenye kuelea. Tazama vijana wa Kiyemen jana wamesema sasa wayahudi wafunguwe mipaka wawaachie watu wapeleke misaada ya Gaza, au waendelee kupokea zawadi ya missiles kutoka kwao. Jionee:
View attachment 2800211
Unafahamu matokeo ya kimbembe hicho kilichoanza jana? Matokeo leo wenyewe wamewachia misaada iingie, Wayemen nao wamesema bado, gari 28 kwa siku hazitoshi, wanataka waone japo gari 100 kwa siku ndiyo wao wasimame kutuma missiles zao.
Matokeo unajuwa nini? kama hujuwi sema tukueleze kinachendele huko bila propaganda za kujazwa ujinga.
Majitu mengine sijui yalifaa tu yawe punda yabebe mizigo na nyama yao isiliwe bali ituowe.Muislam akimua kafiri ktk vita anaingia peponi na akiuliwa yeye anaingia peponi. Wakati kafiri akifa au akiua moto kwa moto
Tofauti na wewe kafiri
Allah anampa mabikra 72 ajipozee.Muislam akimua kafiri ktk vita anaingia peponi na akiuliwa yeye anaingia peponi. Wakati kafiri akifa au akiua moto kwa moto
Tofauti na wewe kafiri
Wanachelewesha kumaliza kazi huko gaza.. tunahitaji kuona makazi mapya ya waloweziKamanda wa Kamandi Kuu ya Khatam al-Anbiya ya Jeshi la Iran amesema makamanda wa Kamandi Kuu ya Jeshi la Marekani katika eneo la Asia Magharibi (CENTCOM), na vile vile makamanda wa Kikosi cha Majini cha nchi hiyo wapo Tel Aviv kuwasaidia maafisa wa utawala haramu wa Israel kufanya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.