Iran: Makamanda wa US wapo Tel Aviv kuongoza mauaji ya kimbari Gaza

Awezi kukuelewa umeongea vitu vilivyomzidi ufahamu Sana. Na ndiyo maana hajui kwanini IDF. Ilitoa amri ya watu kuhama gaza. Ili kufukua mitaro yote.
 
Allah anampa mabikra 72 ajipozee.
Hii dini ni ya ovyo sana
Hahahahaaaaa. Mkuu Sasa na hawa wake zao wa duniani ambao washakatwa bikira za Sasa kule si watawatelekeza kukimbilia bikira 72. Yani vituko tupu. Hako kamungu karikoandaa bikira 72 katakua kazinzi tu
 
Unajidanganya. Kafiri lini kamshinda muislam?
Mkuu unaoNgea vitu gani hivi ? Hata huangalii content na mazingira

Unafanya waislamu tuonekane hazimo ingekuwa bora ukanyamaza
 
Mkuu unaoNgea vitu gani hivi ? Hata huangalii content na mazingira

Unafanya waislamu tuonekane hazimo ingekuwa bora ukanyamaza
Muislam anampenda kuuliwa waislam wenziwe?
 
Hayo ni kweli 100%

Huwezi mtisha Muislam kifo ukiwa wewe ni kafiri.

Ukimuuwa kashinda, akikuuwa kashinda.
Sasa hizi kelele za kutaka Israel iwaonee huruma na isitishe kipigo zinatoka wapi tena?

Si mtulie muuliwe ili mshinde?
 
Unajidanganya. Kafiri lini kamshinda muislam?
kwan hapo alipo muislam lini ameshawahi kumshinda myahudi? , kama mwamedi mwenyewe aligonga mwambwa kwa myahudi je vipi vibaraka wake?
 
kwan hapo alipo muislam lini ameshawahi kumshinda myahudi? , kama mwamedi mwenyewe aligonga mwambwa kwa myahudi je vipi vibaraka wake?
Wewe kwani mayahudi mbona unawapenda?
 
Sasa hizi kelele za kutaka Israel iwaonee huruma na isitishe kipigo zinatoka wapi tena?

Si mtulie muuliwe ili mshinde?
Hizo kelele umepigiwa na nani?
Wacha kubwabwaja na kuhororoja kama walee.

Onesha nani anaekupigia kelele.
 
Hayo mbona ni kawaida sana kwa Wapalestina? Unaewa maana ya "shaheed", Wapalestina wote ni shaheed.

Unamtishia kifo mtu anae utamani umauti? Ni kama kumpoigia mbuzi gita tu.
Mahandaki ya nn tena [emoji3578]
 
"The Zionist regime will be crippled within days without the help of the US." Teheran said
 
Muislam akimua kafiri ktk vita anaingia peponi na akiuliwa yeye anaingia peponi. Wakati kafiri akifa au akiua moto kwa moto
Tofauti na wewe kafiri
Ukute na huyu ni baba wafamilia, uwezo wako wa kufikiria hauna tofauti nawa mende!
Hata zezeta ananafuu
 
T
Tulieni hivyo hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…