Iran: Milipuko ilisikika mjini Tehran huku Israel ikithibitisha mashambulizi

Mnateseka sana, Operation "Days of Repentance.”
πŸ˜‚πŸ˜‚ aise zama za propaganda kwisha habari yake sasa ni wakati wa ukweli tu.

Ni kipofu na kiziwi pekee ndiye ataendelea kuamini propaganda za mashog,a wakati uhalisia anauona nani kabondwa mara mbili kisawasawa na nani kajibu kiuwoga tena kwa aibu ili mradi tu aonekane kajibu.πŸ˜†πŸ˜†
 
Israel/USA hawana jeuri ya kupigana Kwa kiwango Cha Nguvu kubwa zaidi Kwa sababu tayari Iran amekuwa mkubwa na Russia Yuko nyuma yake.

So watakuwa wanaparuana kisela sela ila sio full scale war kama wanavyofanya Gaza,Lebanon au Ukraine.
 
Israel imemuua mmoja wa wageni rasmi waalikwa kwenye hafla ya uapisho wa Rais wa Iran akiwa katikati ya Tehran.

Nothing is more humiliating than that.

Kwa kutumia ushabiki wa kijinga wa Simba na Yanga, bila kuelewa matukio yanayoendelea duniani, Unaweza kuhitimisha kimakosa kwamba Israel imejibu kichovu.

Kwa sisi wafuatiliaji wa geopolitics, tunaelewa kuwa Marekani kuna uchaguzi tarehe 5 Novemba.

Uchaguzi wa Marekani una everything to do na response ya Israel na targets zitazokuwa targeted.

Lakini, hayo ni masuala yaliyo above pay grade ya wachangiaji wanaosukumwa na mihemuko.
 
Jamaa hamna kitu mzeee ...Ni maonesho ya vifaa vya kijeshi mnatuchezea πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Hii Iran hawezi jibu, akijaribu KILEMBA cheusi kinachimbuliwa toka kwende handaki.
 
🀣

Ushabiki bila hata ya kuwa na uelewa wa mambo.
 
Yale mapipa ya Mrusi yalikuwa yamesinzia. Iran ayarejeshe huko alikoyatoa.
 
We huoni waumini wa kikristo akili zao ? Yaani kila kitu kwao majibu yake yanshangaza
Ndio maana wakaitwa kondoo
 
Cha ajabu Israel hakusema kapiga kitu gani anakanusha eti Iran hakuangusha missiles zozote πŸ˜„
Aise hii aibu aliyoleta Israel na mume wake Marekani haivumiliki sijui nani aliwashauri wajiaibishe kiasi hiki.πŸ˜‚

Israel ni sawa na mtu aliyechezea kichapo heavy halafu akamvizia mtu akammwagia mchanga kisha akasema amelipiza kisasi.

Iran wakati anaibomoa Israe dunia nzima ilikuwa attention maana vyuma vilionekana angani na vikitua kwenye target licha ya mataifa matano kujaribu kuyazuia makombora lakini wapi.

Sasa yeye na mumewe wametuma vijindege vikaenda hadi jirani na mpaka wa Iran vikatupa (sio kurusha) vimondo vyao ambavyo walijua kabisa havina madhara kwa kuhofia mvua ya missiles ambayo atashushiwa na Iran endapo ataleta madhara.
 
Wakiristo wa jf bana
 
Israel ina makombora ya masafa marefu pia ya masafa mafupi, pia wana hypersonic missiles.
Jambo linaloonyesha ukubwa na uimara wa ni wanapoamua kushambulia kwa Jets, badala ya kurusha makombora, wanaingia, wanapiga, wanatawala anga na kutoka salama.
Makombora hata Hezbolla, houth na hamas wote wanayarusha. Sometimes Makombora huwa ni ni approach kunguru mwoga, wakati mwingine kutegemea na mrushaji huonesha economic concerns na weak air defense force
 
Nimeangalia hizo video itoshe kusema hamna kitu Israel amefanya. Air defense za Iran zipo active vibaya sanaa
Mkuu sio Israel bali ni Israel + mume wake Marekani wamejiaibisha maana hakuna chochote walichofanya zaidi ya kujikosha waonekane angalau wamejibu.πŸ˜‚πŸ˜‚

Israel peke yake hana uwezo hata huu tu walioonesha wa udhaifu maana yeye kila kitu hadi asaidiwe vinginevyo hana tofauti na Burundi.
 
Neyanyahu ni mwamba kwelikweli, hata wewe hukuamini kama Israel angejibu sasa kaonesha kwa vitendo. Huwezi ruhusu nchi ikushambulie wewe uchukulie poa. Kuanzia sasa Iran atafikiria mara mbilimbili kabla ya kurudia ujinga wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…