Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unaandika nini we mtoto? Kifuatacho ni iran kushikishwa adabu aache kuvisaidia vikundi vya kigaidi mashariki ya katiWe mzee utakuwa umelewa, mteule labda kwenu..
Nyie subirini hypersonic zinanze kupiga hapo Tel Aviv ndipo mtajua mteule ni nani..
Sikuelewi unasema nini.
Nauliza shambulio. Limezimwa na waajemi? Vipi hakuna live stream? Wewe unaulizwa jina lako nani, unaanza kujibu "mimi naishi kibong'oto".
, hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga? Au ndiyo ukondoo wenyewe huo?
❤️😂‼️Nauliza shambulio. Limezimwa na waajemi? Vipi hakuna live stream? Wewe unaulizwa jina lako nani, unaanza kujibu "mimi naishi kibong'oto".
, hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga? Au ndiyo ukondoo wenyewe huo?
Kwa sasa Hezbollah anawatosha hao mazayuni
Mzee Khemenei anakuna ndevu saa hizi, anafikiria awabamize vipi.
View: https://www.youtube.com/live/u90czVgXrCE?si=MQ6ARwJlrxdD3sNJ
Israel anasema kisha revenge lakini Iran anasema hakuna target walio piga. Iran wanaendelea kuchunguza kama kuna madhara watawajulisha wananchi lwao, akini kwa sasa Iran wanasema wameangusha karibu missiles zote. Iran kasema watawapa ukweli wananchi wao kama watakuta kuna madhara mpaa mda hu wanasema hakuna madhara wanaendekea ku investigate kama kuna missiles zilipenya lakini upande wao wanasema hakuna dalili kama shambulizi la Israel limefanikiwaMpira kwa Iran
Ukweli ni kwamba baada ya Selemani kuuliwa, hakukutokea vita yoyote ile kama ambavyo ilivyo hivi sasa.Ngoja tusubiri , kama Trump akisimamisha vita na hii migogoro ya ME na huko Ulaya itakuw vyema.
Jaribu kufuatilia january 2020 ndio aliuawa kwa order ya Trump mwenyewe...
Kwa kile kitendo Trump alipelekea mgogoro mkubwa ambao pengine vita ingeibuka, kwa maana Iran ilibidi kupiga kambi za USA pale ME...
Pole sana, unatatumia nguvu sana. Operation "Days of Repentance.” qmmke.Iran inasema milipuko hio zilikuwa ni air defenses.
Israel kafanya kituko.
Iran walikaa siku ngapi baada ya Haniya kuuliwa akiwa Tehran, kabla ya kurusha vi drone vyao?Hii sasa ni dhahiri Israel ni muoga kupitiliza yaani hicho kisasi ni kichekesho hata kwa mtu asiyefuatilia mgogoro huu.
Iran wakati anaichapa Israel dunia nzima ilikuwa attention maana vyuma vilirushwa direct from Iran hadi Israel na vyuma vikapiga target vizuri kabisa.
Lakini Israel na Marekani kwa kufuta aibu wakatuma vijindege karibu na Iran eti virushe vimondo ili mradi tu kuondoa aibu ya kuambiwa wameshindwa kujibu.
Kwahiyo Israel na Marekani wamekaa siku 25 kujiandaa kujibu shambulizi ndiyo wakaja na hiki kituko cha karne kweli?😂😂😂
Iran akisema alipize naamini this time zitatumwa hypersonic missiles zikabomoe kabisa kila kitu pale nchi feki ya Mazayuni.Israel anasema kisha revenge lakini Iran anasema hakuna target walio piga. Iran wanaendelea kuchunguza kama kuna madhara watawajulisha wananchi lwao, akini kwa sasa Iran wanasema wameangusha karibu missiles zote. Iran kasema watawapa ukweli wananchi wao kama watakuta kuna madhara mpaa mda hu wanasema hakuna madhara wanaendekea ku investigate kama kuna missiles zilipenya lakini upande wao wanasema hakuna dalili kama shambulizi la Israel limefanikiwa
Unateseka sana.Iran in uwezo kufunga kambi za USA ME zote.
Cha ajabu Israel hakusema kapiga kitu gani anakanusha eti Iran hakuangusha missiles zozote 😄Tunaposema Iran ndiye mbabe halisi wa mashariki ya kati na dunia kwa ujumla enyi makondoo muwe mnaelewa.
Yaani Israel ameshindwa kujibu shambulizi kibabe hadi akapelekewa vindege na bwana wake Marekani ili viruke vikatupe vimondo kuondoa tu aibu ya kushindwa kulipiza kisasi.
Kwamba Israel hana teknolojia ya kukaa sebuleni kwake akashambulia nchi nyingine kama afanyavyo mbabe Iran isipokuwa anatumia njia ya kizamni za kutuma vindege kweli.😂😂
Marekani wakati anapigana na Japan miaka ya 1940 na Marekani na Vietnam ndiyo mambo ya kutuma ndege yalikuwa yameshamiri.
Dunia ya leo unakaa sebuleni kwako unakunywa kahawa huku unajipigia popote duniani upatakapo.
Daah wavaa hijjab shida sana.Nauliza shambulio. Limezimwa na waajemi? Vipi hakuna live stream? Wewe unaulizwa jina lako nani, unaanza kujibu "mimi naishi kibong'oto".
, hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga? Au ndiyo ukondoo wenyewe huo?
Wamezoea ushabiki wa simba na yanga🤣🤣
Hivi si ulisema Israel imefyata na haitojibu mapigo?
Ayatollah hataachwe aende kuzimu na ndevu zake kwa amani, atawahishwaNdo utakuwa mwisho wake.
Vita siyo kurusha makombora 200 vita ni utalamu pigo moja watu chali.Si unaona wamesubiri hadi US kapeleka ndege vita za kutosha, kuna F22, F16, F15E na A 10...
Ngoja tusubiri madhara watakayosababisha, hata hapo wameshambulia kwa uoga mkubwa ni ile basi tu wasionekane wanyonge.
Ni ile unapigwa ngumi nzito hadi jino linatoka halafu unarudisha kibao kama unaua mbu kwa sababu ya uoga.
Tutaona hapa baadae hayo mashambulizi wametumia ndege vita, misiiles za masafa ama drones? na wameshabulia sehemu ngapi? tuendelee kusubiri..