Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Kama haya ndio majibu tuliyokua tunasubiri basi Israel imefeli. Kile kipigo cha October 1 kilikua zaidi ya hii drama ya leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Israel kashindwa kurudisha mapigoVita siyo kurusha makombora 200 vita ni utalamu pigo moja watu chali.
Mafuta na vituo vyetu vya Nyuklia vimepigwa?Hayawi-hayawi mwisho imekuwa baada ya majeshi ya israel kuanza kuwapiga mbwa usiku huu Majeshi hayo ya Israel yameanza kumpiga Mwenye Mbwa yaani Iran mpaka sasa ninavyoandika hapa hukoanachapika vizuri sana.
Soma Pia: Israel kuishambulia Iran mapema badala ya kusubiri ishambuliwe, taarifa za kiintelijensia zaendelea kukusanywa
=============
Several loud explosions have been heard in Iran's capital Tehran and Israel has confirmed it has launched strikes on military targets.
The Israeli military said it is conducting "precise strikes" on military targets in Iran in response to what it called "the continuous attacks from the regime in Iran against Israel".
Iran: Explosions heard in Tehran as Israel confirms strikes
Kuna hatari ya mtu kupanic na kumpiga mwenzake Nuklia.
USA kama Baba wa dunia yeye ndio anapaswa kuweka busara mezani na kutatua tatizo la mashariki ya kati lakini nayeye anachukua upande na kumsaidia mmoja wao.
Mashariki ya kati inataka suluhu itakayohusisha mataifa yoote ya mashariki ya kati ili Palestina wapate Taifa Lao nao waishi kama wanadamu wengine.
Wanataka kuona Iran ikirusha vikombora vyake basi kesho yake Israel nayo ijibu.Wamezoea ushabiki wa simba na yanga
Marekani na wazungu wa Ulaya walikuwa wakimbembeleza kwamba asilipe kisasi bali wataiondolea Iran vikwazo vya kiuchumi lakini Iran aliona hizi ni siasa na drama zisizo na mwelekeo halisi akaamua kushusha vyuma kutokea sebuleni huku akinywa kahawa.Iran walikaa siku ngapi baada ya Haniya kuuliwa akiwa Tehran, kabla ya kurusha vi drone vyao?
Mnateseka sana, Operation "Days of Repentance.”Hii sasa ni dhahiri Israel ni muoga kupitiliza yaani hicho kisasi ni kichekesho hata kwa mtu asiyefuatilia mgogoro huu.
Iran wakati anaichapa Israel dunia nzima ilikuwa attention maana vyuma vilirushwa direct from Iran hadi Israel na vyuma vikapiga target vizuri kabisa.
Lakini Israel na Marekani kwa kufuta aibu wakatuma vijindege karibu na Iran eti virushe vimondo ili mradi tu kuondoa aibu ya kuambiwa wameshindwa kujibu.
Kwahiyo Israel na Marekani wamekaa siku 25 kujiandaa kujibu shambulizi ndiyo wakaja na hiki kituko cha karne kweli?😂😂😂
Wewe ulisikia Iran akikaa vikao na matamko kila siku kama vikao vya send off alipotaka kuishushia mvua ya missiles Israel?Iran walikaa siku ngapi baada ya Haniya kuuliwa akiwa Tehran, kabla ya kurusha vi drone vyao?
Source?..
Kawadanganye wanakondoo wenzako hpa tunakuona mwehuTulieni hivyohivyo Dawa iwaingie, mlisema IDF hawawezi sogea Iran, sasa anga yote iko chini ya Mazayuni mmake.