and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 3,707
- 12,367
Israel utakuta waliruka na ndege walipofika nje ya anga la Tehran wakaanza kurusha mabomu ya mikono.... kwa kuogopa..Sasa zamu yao iranš
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Israel utakuta waliruka na ndege walipofika nje ya anga la Tehran wakaanza kurusha mabomu ya mikono.... kwa kuogopa..Sasa zamu yao iranš
wazee wa kuji tekenya na kujichekeshaNetanyahu anachofanya ni kujitafutia matatizo, hapo alipo kwake amekimbia kwa kukoswa na drone la hezbollah lililopiga nyumba yake, haijulikani anaishi lodge au hostel halafu bado anachokoza tena Tehran.
Lakini IDF waesema wanalenga military targets, hawezi kuleta ule usenge wake kwenda kupiga raia, tena hapo USA kawaambia msithubutu kuua raia yeyote wa Iran, kupiga visima vya mafuta ama nuclear facilities...
Ninasoma muda huu USA inasema haihusiki na mashambulizi nchini Iran...š¤£
Lakini Trump ndiye aliyesababisha US Air force wakamlenga Qasem Suleiman, na Iran ikapiga kambi za US pale Iraq kama retaliation...
Trump namuita mwehu kwa sababu maamuzi yake ambayo huwa anatoa huwa ni yeye na halmashauri yake kichwani na kile anakiamini, sio kwamba namchukia.
Lakini Trump anaweza pelekea migogoro ME ikawaka moto zaidi huku Russia-Ukraine akimaliza migogoro.
Israel inapiga fataki nchini Iran kama retaliation.wazee wa kuji tekenya na kujichekesha
Hakuna madhara yeyote pale Tehran hi walisha omba Iran kwa njia za rafiki yao mwacheni Israel aonekane kajibu šKweli wamepiga lakini kuna makubaliano / ishara kabla:
Walikwisha onywa ilikiwa watapiga vituo vya mafuta au nuclear au makazi ya viongozi wao , Iran lazima itajibu. Na ilishawapa onyo itafanya nini.
Na ikiwa vijutuo vya kijeshi hafifu Iran inaweza isijibu maana inakuwa haina maana kujibu vita vikubwa vitavuka.
Na wanalijua kuwa waja maana Iran Iraq walifunga jana kabla mipaka yao hadi kesho saa 5 asubuhi. Hii ni ping pong iliyosettiwa,
Amerika ndio yakwanza kusema haikuhusika. Lakini unafiki wao unajulikana amlinda mbwa wake kwa thamani yoyote kwa maana yeye anaamrishwa na mbwa huyo huyo š.
Wengine wanamwita mteuleš¤·š¾āāļø
. Wote ni wamoja hawama Jimmy CarterTrumph ni mfanyabiashara hapendi hasara kifedha.
Marekani inalipia vita hivi. Raia wa kawaida marekani ndio wanalipa thamani kubwa mpaka sasa billion zaidi ya 20 billion dollars. Huyu anapiga ovyo wao wanasota kwenye madeni na maisha magumu yajayo. Hayo mabomu moja tu sio chini ya mamia ya maelfu ya dollars.
Ingawa Trump anaupungufu meingine lakini hakuwa na umwagaji damu kama huyu mzee aliyepoteza fahamu
Hiyo ya Sulemani ilikuwa mwaka gani?Lakini Trump ndiye aliyesababisha US Air force wakamlenga Qasem Suleiman, na Iran ikapiga kambi za US pale Iraq kama retaliation...
Trump namuita mwehu kwa sababu maamuzi yake ambayo huwa anatoa huwa ni yeye na halmashauri yake kichwani na kile anakiamini, sio kwamba namchukia.
Lakini Trump anaweza pelekea migogoro ME ikawaka moto zaidi huku Russia-Ukraine akimaliza migogoro.
Tuombe hii vita isitanuke Zaid maana sisi walala hoi ndio tutapata tabuHayawi-hayawi mwisho imekuwa baada ya majeshi ya israel kuanza kuwapiga mbwa usiku huu Majeshi hayo ya Israel yameanza kumpiga Mwenye Mbwa yaani Iran mpaka sasa ninavyoandika hapa hukoanachapika vizuri sana.
Soma Pia: Israel kuishambulia Iran mapema badala ya kusubiri ishambuliwe, taarifa za kiintelijensia zaendelea kukusanywa
=============
Several loud explosions have been heard in Iran's capital Tehran and Israel has confirmed it has launched strikes on military targets.
The Israeli military said it is conducting "precise strikes" on military targets in Iran in response to what it called "the continuous attacks from the regime in Iran against Israel".
Iran: Explosions heard in Tehran as Israel confirms strikes
Usimuamini kabisa UsA, yupo nyuma ya kila kitu kama huamini rusha kombora utaona yeye ndio wa kwanza kulitunguaNetanyahu anachofanya ni kujitafutia matatizo, hapo alipo kwake amekimbia kwa kukoswa na drone la hezbollah lililopiga nyumba yake, haijulikani anaishi lodge au hostel halafu bado anachokoza tena Tehran.
Lakini IDF waesema wanalenga military targets, hawezi kuleta ule usenge wake kwenda kupiga raia, tena hapo USA kawaambia msithubutu kuua raia yeyote wa Iran, kupiga visima vya mafuta ama nuclear facilities...
Ninasoma muda huu USA inasema haihusiki na mashambulizi nchini Iran...š¤£
Trump analaumiwa kwa vitu ambavyo havikuwepo kwenye utawala wake.Trumph ni mfanyabiashara hapendi hasara kifedha.
Marekani inalipia vita hivi. Raia wa kawaida marekani ndio wanalipa thamani kubwa mpaka sasa billion zaidi ya 20 billion dollars. Huyu anapiga ovyo wao wanasota kwenye madeni na maisha magumu yajayo. Hayo mabomu moja tu sio chini ya mamia ya maelfu ya dollars.
Hapa nakubaliana nawe 100%Maisha nyuma ya Keyboard matamu sana.
Hakuna walicho fanya kwanza ndege zao zimeishia kurusha missiles nje ya mpaka wa Iran afu ona missile zilivyo tunguliwaNgoja tusubiri waajemi watasemaje lakini kilichofanyika na jeshi la wateule ni kichekesho.
Mayahudi kwa mara ya kwanza wamepiga shambulio la kioga kufuta aibu.Netanyahu anachofanya ni kujitafutia matatizo, hapo alipo kwake amekimbia kwa kukoswa na drone la hezbollah lililopiga nyumba yake, haijulikani anaishi lodge au hostel halafu bado anachokoza tena Tehran.
Lakini IDF waesema wanalenga military targets, hawezi kuleta ule usenge wake kwenda kupiga raia, tena hapo USA kawaambia msithubutu kuua raia yeyote wa Iran, kupiga visima vya mafuta ama nuclear facilities...
Ninasoma muda huu USA inasema haihusiki na mashambulizi nchini Iran...š¤£
Where are the S400? Urus kamuuingiza chaka muajemi.
Na siyo Iran tu mwamba mteule kashusha vitu vizito pia Syria.
Halafu yeye harushi vimondo hovyo hovyo yeye kapiga precise strike target maamae.
Kwa masaa Israel inacheza na kurandaranda kwenye anga ya Iran inavyopenda.
JESUS AND ISRAEL FOREVER
HAIJALISHI MKUU VYOVYOTE VILE BORA ISIWE KWENYE MRENGO WA MILA ZA KIARABU (UISLAM)Umeandika Jesus and Israel forever. Ebu fafanua ki vipi?
- wayahudi wanamwita Yesu mwanaharamu na hawamtambui Jesus (Yesu) wala hawautambui Ukiristo. Hiyo link umeinyelea wapi??
Uteule umepotoshwa- usiamini kila ubiwalo, soma kidogo ujue ukweli.
Warumi ambao ni wakiristo waliwapa kichapo mayahudi kwa kosa la jinai la kumuua Yesu.
Wajerumani miaka ya 1940 waliwaua wayahudi million Sita. Wajerumani ni Wakiristo..
Etc.
Uteule uko wapi??š
Hakuna walicho fanya kwanza ndege zao zimeishia kurusha missiles nje ya mpaka wa Iran afu ona missile zilivyo tunguliwa
View: https://youtu.be/KuEdmAo_hJs?si=jDypPaDULIwjm3Ne
Huyo jamaa Hana akili achana nae , anakuja humu baada ya kuvuta bange zake na kumwaga pumba.Jesus wouldn't approve of what these Zionist savages are doing, it's against Christian values. They don't care if they are killing Christian or Muslims. We are all scum to them.
Iran jana walikuwa wanacheza na fataki tu wala sio Missiles au F35 kumbe hizo F35 ni mapambo zinaogopa kusogea Iran.Sasa mbona ni kama fataki tu..
Ngoja tusubiri , kama Trump akisimamisha vita na hii migogoro ya ME na huko Ulaya itakuw vyema.Hiyo ya Sulemani ilikuwa mwaka gani?
Halafu inachekesha sana kuona watu wakidai kuwa Trump atasababisha migogoro kuwaka zaidi huko Mashariki ya kati ilhali watu ambao hiyo vita imeanza chini yao wapo na hawalaumiwi.
Gaza imerudishwa kwenye zama za mawe. Maelfu ya Wapalestina wameuwawa na wanazidi kuuwawa.
Lebanon hakukaliki.
Iran nako hati hati.
Viongozi wa Hamas na Hezbollah wanachinjwa kama kuku.
Yote hayo yanatokea chini ya watu flani halafu tunaambiwa kwamba angekuwa au ikiwa Trump, basi hali ingekuwa mbaya zaidi.
Uzuri ni kwamba sisi wengine hatuna hiyo Trump Derangement Syndrome na tunayaangalia mambo kwa uhalisi wake.
Na uzuri mwingine unajua ni nini? Trump tayari alikwishakuwepo hapo na haya madhila ya sasa hayakuwepo hata kwa asilimia 1.
Huwezi kujenga hoja yenye ushawishi kwamba angekuwepo Trump hali ingekuwa mbaya zaidi wakati Trump tayari alikwishakuwepo na kwa kiasi kikubwa amani ilitawala.
Kinyume na hapo ni intellectual dishonesty tu.