msimamia kucha
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 683
- 551
Tulieni hivyohivyo Dawa iwaingie, mlisema IDF hawawezi sogea Iran, sasa anga yote iko chini ya Mazayuni mmake.Netanyahu anachofanya ni kujitafutia matatizo, hapo alipo kwake amekimbia kwa kukoswa na drone la hezbollah lililopiga nyumba yake, haijulikani anaishi lodge au hostel halafu bado anachokoza tena Tehran.
Lakini IDF waesema wanalenga military targets, hawezi kuleta ule usenge wake kwenda kupiga raia, tena hapo USA kawaambia msithubutu kuua raia yeyote wa Iran, kupiga visima vya mafuta ama nuclear facilities...
Ninasoma muda huu USA inasema haihusiki na mashambulizi nchini Iran...🤣