Iran: Milipuko ilisikika mjini Tehran huku Israel ikithibitisha mashambulizi

Iran: Milipuko ilisikika mjini Tehran huku Israel ikithibitisha mashambulizi

Attachments

  • Screenshot_20241026_045838_Instagram.jpg
    Screenshot_20241026_045838_Instagram.jpg
    134.8 KB · Views: 3
Sasa ni wakati wa kuipima THAAD umefika...this time YEHOVA atakimbia pale kwa watu wa mchongo maana kila kitu kitalipwa mpk pomoni
Iran atakachosema ni kuwa mashambuliza ya Israel hayakufanikiwa ngoja imepita hiyo. Na usisahau Israel kuzuiwa sana na amerika asipige kwenye mafuta au nyuklia site so wamepunguza ukubwa kumuonyesha wanauwezo wa kumpiga. So mzigo umepita. Iran hatajibu na ishu imepita hiyo.
 
Hayawi-hayawi mwisho imekuwa baada ya majeshi ya israel kuanza kuwapiga mbwa usiku huu Majeshi hayo ya Israel yameanza kumpiga Mwenye Mbwa yaani Iran mpaka sasa ninavyoandika hapa hukoanachapika vizuri sana.
Several loud explosions have been heard in Iran's capital Tehran and Israel has confirmed it has launched strikes on military targets.

The Israeli military said it is conducting "precise strikes" on military targets in Iran in response to what it called "the continuous attacks from the regime in Iran against Israel".
Picha za uongo hizo, weka live stream.

Iliposhambuliwa Israel na Iran tuliona live stream kwa masaa sita.
Au jaribio limezimwa mapema na Waajemi?
 
Iran atakachosema ni kuwa mashambuliza ya Israel hayakufanikiwa ngoja imepita hiyo. Na usisahau Israel kuzuiwa sana na amerika asipige kwenye mafuta au nyuklia site so wamepunguza ukubwa kumuonyesha wanauwezo wa kumpiga. So mzigo umepita. Iran hatajibu na ishu imepita hiyo.
Hao wawili kila mmoja anaweza kumpiga mwenzie vizuri..Iran anapiga israeli na tunaona bila kuadithiwa

halafu mnapenda kujipa matumaini eti Iran hatojibu kwani huu mwaka Iran kapiga Israeli mara ngapi?

kumpiga kwenye mafuta na nyuklia hali ingekuwa mbaya zaidi kwa Israeli na USA wenyewe ndio maana walizuiana sana kufanya hivyo...Israeli ni mtu ambaye kashakata tamaa kwahiyo yeye liwalo na liwe anajipigia pigia tu km mwehu sasa USA yupo hapo kumuongoza kwani akiumbuka myahudi kaumbuka na yeye pia

All in all hii italipwa kama ilivyolipwa vingine huko nyuma na hakuna umbwa atakayemzuia Iran kulipa hii
 
We mzee utakuwa umelewa, mteule labda kwenu..
Nyie subirini hypersonic zinanze kupiga hapo Tel Aviv ndipo mtajua mteule ni nani..
Hypersonic ushuzi,watu wanatwangwa mabomu kwa accuracy ya 100% na kama wapo "gado" basi warudie tena ndio watakapoona rangi kamili ya Israel, kama proxies wake wapo hoi basi yeye ndio atachakazwa kabisa.
 
Nasrallah, Mohamed Deif na Yahyah sinwar ni raia?

Hakuna cha Allah kumzua mteule hakuna cha S400 kumzuia mteule.

Toka enzi za Samson na Daudi ni kichapo tu.
NO MERCY
Mimi nitakusaidia akili yako kwenye uteule tu uamsho:
Mteule anamwita Yesu mwanaharamu??
Mteule wako hautambui Ukiristo na wanafunja makanisa ya Wapalestina Gaza na Lebanon.

Mteule wako alichapwa akatanywa na warumi ( wakiristo) kws tuhuma za kumkataa/ kuua Yesu.
Mteule wako waliuwawa na Mjerumani Hitler million sita wayahudi waliuawawa.
Wateule wako walishafukuzwa kabisa mara 1035 na dola mbalimbali huko Ulaya kwa ajiri ya ukorofi wao. Mara ya mwisho wakaona njia rahisi ni kuwahamishia hiyo cancer yao mashariki ya kati ili wao wapimzike nao.

Akili zako ziko wapi , msikibali kudanganywa ovyo. Acheni akili zitafskari huu uteule uliosambazwa na mspadri wa kixungu ulikuwa na nia gani? Kukulaza. Akili kila mtu anazake. Zangu haziutambui uteule wao na habari zao za uasi, kuua mitume, ukorofi tunazisoma.
 
Kaenda piga base za kijeshi tulitaka apige majumba kama vile Lebanon au Gaza naona kafanya akili kapiga base tu, laki ukweli wote ni NATO ndio wamepiga jana zilioneka ndege za US pale Gulf state F16 na kabla hapo kulikuwa na F35 za Italy. Israel ni chui kwenye picture

View: https://youtu.be/W9zDEeT3AEs?si=W9eV7lktPipXSWnb

Unaonekana ni mgeni na mambo ya vita na hujui historia ya Israel Airforce.

Hakuna nchi ina mapilot nguli wa kivita kama Israel.
 
Netanyahu anachofanya ni kujitafutia matatizo, hapo alipo kwake amekimbia kwa kukoswa na drone la hezbollah lililopiga nyumba yake, haijulikani anaishi lodge au hostel halafu bado anachokoza tena Tehran.

Lakini IDF waesema wanalenga military targets, hawezi kuleta ule usenge wake kwenda kupiga raia, tena hapo USA kawaambia msithubutu kuua raia yeyote wa Iran, kupiga visima vya mafuta ama nuclear facilities...

Ninasoma muda huu USA inasema haihusiki na mashambulizi nchini Iran...🤣
We ni mpumbavu mkubwa kwani unajua anapo lala ayatollah?
Iweje unataka kujua anapo lala netanyau?
 
Limezimwa tena. Si mlisema arushe hata kijiko. Yule ni jews ujue kuishi kwake ni vita bila vita amekwisha. Tena kashambulia mara mbili
Sikuelewi unasema nini.

Nauliza shambulio. Limezimwa na waajemi? Vipi hakuna live stream? Wewe unaulizwa jina lako nani, unaanza kujibu "mimi naishi kibong'oto".

, hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga? Au ndiyo ukondoo wenyewe huo?
 
Kaenda piga base za kijeshi tulitaka apige majumba kama vile Lebanon au Gaza naona kafanya akili kapiga base tu, laki ukweli wote ni NATO ndio wamepiga jana zilioneka ndege za US pale Gulf state F16 na kabla hapo kulikuwa na F35 za Italy. Israel ni chui kwenye picture

View: https://youtu.be/W9zDEeT3AEs?si=W9eV7lktPipXSWnb

Ooh athubutu kupiga hata jiwe ooh cjui nini. Mzee huyo ni jews. Sasa hiv mmebadilisha kauli sio yeye ni nato au hakuna kitu. Iran nae atakuja atasema hakuna kitu kimeharibika. Kikubwa ujumbe kaupata sasa mpira upo kwake. Akijibu wanaume wanamalizana nae. Ndio maana wazir wa foreign affair wa iran katembea nchi zote za kiarabu kutuliza mzuka lakin mzigo ndio huo
 
Chanzo ni CNN
Inasemekana Israel imeanza mashambulizi yake ya kulipiza kisasi kama ilivyo ahidi kulipiza kisasi kwa mashambulizi ya Iran nchini Israel mnamo tarehe 1 Oct 2024, nchini Iran milipuko kadhaa imesikika ndani ya
Tehran muda huu.

IDF inasema inalenga maeneo ya kijeshi nchini Iran.

Siku ya ijumaa ndege za kimarekani aina ya F16 ziliingia mashariki ya kati kutokea Germany ambapo ilisemekana zitatumika kufanya mashambulizi ya kulipiza kisasi nchini Iran, ndege zilizopelekwa ni pamoja na F16 F15E, F22 na A-10, pia Pentagon ilipeleka mitambo ya ulinzi wa anga aina ya THAAD, ikumbukwe septemba Pentagon ilisema itaongeza askari zaidi , mifumo ya ulinzi wa anga na askari zaidi mashariki ya kati kwa kile kinachodaiwa kujiandaa na uwezekano wa migogoro ya Israel na Iran.

Source
Hahahahahaha kwa hiyoo hapo ni America vs Iran 🇮🇷,
Israel 🇮🇱 anatumika kama chambo tuu
 
Sikuelewi unasema nini.

Nwuoiza shambulio. Limezimwa na waajemi? Vipi hakuna live stream? Wewe unauoizwa jina lako nani, unasnza kuj9bi "mimi naishi kibing'oto".

, hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga? Au ndiyo ukondoo wenyewe huo?
We bibi tulia mumeo atandikwe. Japo msala utakuwa kwetu wa afrika
 
Mimi nitakusaidia akili yako kwenye uteule tu uamsho:
Mteule anamwita Yesu mwanaharamu??
Mteule wako hautambui Ukiristo na wanafunja makanisa ya Wapalestina Gaza na Lebanon.

Mteule wako alichapwa akatanywa na warumi ( wakiristo) kws tuhuma za kumkataa/ kuua Yesu.
Mteule wako waliuwawa na Mjerumani Hitler million sita wayahudi waliuawawa.
Wateule wako walishafukuzwa kabisa mara 1035 na dola mbalimbali huko Ulaya kwa ajiri ya ukorofi wao. Mara ya mwisho wakaona njia rahisi ni kuwahamishia hiyo cancer yao mashariki ya kati ili wao wapimzike nao.

Akili zako ziko wapi , msikibali kudanganywa ovyo. Acheni akili zitafskari huu uteule uliosambazwa na mspadri wa kixungu ulikuwa na nia gani? Kukulaza. Akili kila mtu anazake. Zangu haziutambui uteule wao na habari zao za uasi, kuua mitume, ukorofi tunazisoma.
Kondoo watakuelewa vipi?
 
Kaenda piga base za kijeshi tulitaka apige majumba kama vile Lebanon au Gaza naona kafanya akili kapiga base tu, laki ukweli wote ni NATO ndio wamepiga jana zilioneka ndege za US pale Gulf state F16 na kabla hapo kulikuwa na F35 za Italy. Israel ni chui kwenye picture

View: https://youtu.be/W9zDEeT3AEs?si=W9eV7lktPipXSWnb

Kweli wamepiga lakini kuna makubaliano / ishara kabla:
Walikwisha onywa ilikiwa watapiga vituo vya mafuta au nuclear au makazi ya viongozi wao , Iran lazima itajibu. Na ilishawapa onyo itafanya nini.
Na ikiwa vijutuo vya kijeshi hafifu Iran inaweza isijibu maana inakuwa haina maana kujibu vita vikubwa vitavuka.

Na wanalijua kuwa waja maana Iran Iraq walifunga jana kabla mipaka yao hadi kesho saa 5 asubuhi. Hii ni ping pong iliyosettiwa,
Amerika ndio yakwanza kusema haikuhusika. Lakini unafiki wao unajulikana amlinda mbwa wake kwa thamani yoyote kwa maana yeye anaamrishwa na mbwa huyo huyo 😂.
Wengine wanamwita mteule🤷🏾‍♂️
 
Back
Top Bottom