The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona Ayatollah kachoka kuishi 🤣.Ndio maana nasemaje ngoja tusubiri damage watakayofanya...
Kama damage ni kubwa, Ayatollah kasema waandae makombora 1000.
Unaambiwa siyo Iran tu hata Syria imedondoshewa vitu vizito vyenye ncha butu.Ayatollah alitaarifiwa mapema ajifiche? Maana Israel anadeal na adui tu hata mashabiki wa adui too
Ndio hio picha nakuambia, hapo wapo kwenye bunker kwa mujibu wa CNN, wapo kwenye hio kabi ya kijeshi inaitwa Kirya.Hiyo picha ni ya kikao teule ni ya leo mkuu wakati precise strike na target zilipokuwa zinaendelea maamae.
Courtesy
Jerusalem Post
Mimi nafuatilia Al Jazeera now. Hivi Irani hawana mifumo ya kuzuia makombora kweli? Where are the S-400 as regarded as the most advanced ant missiles?Aisee ni kweli nimeona cnn
Wewe unaamini hivyo. Sorry kwa kukuuliza hili swali mkuu; hivi unajua sheria za kivita na elimu yoyote ya kimedani?Dunia hii ilivyo na mambo mengi chini ya kapeti, ukute hapo walishafikia makubaliano pande mbili na kuihusisha Russia kuwa Iran iwape baadhi ya target zao za kijeshi wazipige ili kulimaliza hili suala na ionekane KISASI KIMELIPWA. Haiingii akilini taifa kama Israel lipigwe halafu eti iwachukuwe karibia mwezi kujipanga kulipa kisasi. Israel tunayoijua hujibu papo kwa papo.
Hii ya kusubiria muda wote huo ninaamini kulikuwa na majadiliano ya pande mbili yalikuwa yakiendelea.
Don’t go around posting things without a credible source.Wewe kila kitu "source"?????
Huwezi hata kujiongeza ukasogea twitter/X??
Ndio mkuu, Israel haina huo uwezo.Kumbe ni Marekani inamlipia kisasi Israel halafu sisi tunaisifia Israel kuwa ni mwamba
Jesus wouldn't approve of what these Zionist savages are doing, it's against Christian values. They don't care if they are killing Christian or Muslims. We are all scum to them.Where are the S400? Urus kamuuingiza chaka muajemi. Na siyo Iran tu mwamba mteule kashusha vitu vizito pia Syria.
Halafu yeye harushi vimondo hovyo hovyo yeye kapiga precise strike target maamae.
JESUS AND ISRAEL FOREVER
Iran inasema milipuko hio zilikuwa ni air defenses.25 October 2024
Shalom Shalom
Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) limethibitisha kufanya mashambulizi ya anga ya kulipiza kisasi katika maeneo yaliyolengwa nchini Iran.
Mashambulizi ya Angani ya IDF Yalenga Maeneo Nyeti Iran, Yamegonga pia Makao Makuu ya Jeshi la Iran IRGC, Milipuko Mingi ya Yatetemesha jiji la Tehran
Huku milipuko mikubwa ikiripotiwa mjini Tehran na karibu na Karaj usiku huu wa giza, Jumamosi. Vyombo vya habari vyenye uhusiano na serikali ya Iran, vikiwemo Fars News, viliripoti milipuko karibu na maeneo muhimu, ukiwemo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Imam Khomeini.
Vyombo rasmi vya serikali ya Iran vimethibitisha Milipuko kadhaa kusikika mjini Tehran, kwa mujibu wa shirika la habari la Fars la Iran. Nalo Shirika rasmi la habari la Tasnim liliripoti kuwa milipuko kadhaa ilisikika magharibi mwa mji mkuu wa Iran. Milipuko hiyo inakuja wakati eneo hilo likijiandaa kukabiliana na malipizi ya Israel kufuatia shambulio la Iran mapema mwezi huu.
Jamaa wnachekesha sana...Kamlipuko View attachment 3135422
USA kala nyoya...🤣Netanyahu anachofanya ni kujitafutia matatizo, hapo alipo kwake amekimbia kwa kukoswa na drone la hezbollah lililopiga nyumba yake, haijulikani anaishi lodge au hostel halafu bado anachokoza tena Tehran.
Lakini IDF waesema wanalenga military targets, hawezi kuleta ule usenge wake kwenda kupiga raia, tena hapo USA kawaambia msithubutu kuua raia yeyote wa Iran, kupiga visima vya mafuta ama nuclear facilities...
Ninasoma muda huu USA inasema haihusiki na mashambulizi nchini Iran...🤣
Wenzio wanajenga shelter kulinda raia magaid yanajenga kulinda askari matokeo raia wengi wanajikuta kwenye moto![]()
Hii picha ni mashabulizi ya Iran Oct 1 nchini Israel, wananchi wamejificha kwenye mahandaki wanaona kama mwisho wa dunia umefika...
Hayawi-hayawi mwisho imekuwa baada ya majeshi ya israel kuanza kuwapiga mbwa usiku huu Majeshi hayo ya Israel yameanza kumpiga Mwenye Mbwa yaani Iran mpaka sasa ninavyoandika hapa hukoanachapika vizuri sana.
Several loud explosions have been heard in Iran's capital Tehran and Israel has confirmed it has launched strikes on military targets.
The Israeli military said it is conducting "precise strikes" on military targets in Iran in response to what it called "the continuous attacks from the regime in Iran against Israel".
Ayatollah wakimuua na Netanyahu anahama Israel anakwenda kuishi Washington DC, kwa sababu lazima watamla kichwa tu, kama migambo wa Hebollah wamemkosa na drone kwake, unafikiri Iran itashindwa...Naona Ayatollah kachoka kuishi 🤣.
Yasije kumpata yaliyowakuta akina Nasrala na Haniya.
Ila sidhani kama haya mashambulizi yataleta madhara kivile.
Kumbuka kuna uchaguzi Marekani katika siku 11 zijazo.
Lazima kutakuwepo na behind the scenes machinations zinazoendelea ku encourage restraint.