Iran: Milipuko ilisikika mjini Tehran huku Israel ikithibitisha mashambulizi

Iran: Milipuko ilisikika mjini Tehran huku Israel ikithibitisha mashambulizi

Mnateseka sana, Operation "Days of Repentance.”
😂😂 aise zama za propaganda kwisha habari yake sasa ni wakati wa ukweli tu.

Ni kipofu na kiziwi pekee ndiye ataendelea kuamini propaganda za mashog,a wakati uhalisia anauona nani kabondwa mara mbili kisawasawa na nani kajibu kiuwoga tena kwa aibu ili mradi tu aonekane kajibu.😆😆
 
Israel kuliko kwenda kufanya retaliation nchini Iran mapema leo ambapo imekuwa kituko, ni bora wangekaa kimya, air defenses za Iran zimezuia makombora karibu yote ya Israel.

Vyanzo mbali mbali nchini Iran vinasema hali ni shwari, na jeshi la Iran limesema milipuko iliyosikika ilikuwa ni air defenses za Iran zinazuia makombora hayo.

View: https://www.youtube.com/watch?v=2iouwn8tLv0

Makombora yamezuiliwa kama fataki.
Iron dome imezidiwa na hio mifumo ya Iran Bavar, kumbe iron dome ni jina na kujipigia chapuo na hana kila kitu.

Israel/USA hawana jeuri ya kupigana Kwa kiwango Cha Nguvu kubwa zaidi Kwa sababu tayari Iran amekuwa mkubwa na Russia Yuko nyuma yake.

So watakuwa wanaparuana kisela sela ila sio full scale war kama wanavyofanya Gaza,Lebanon au Ukraine.
 
Marekani na wazungu wa Ulaya walikuwa wakimbembeleza kwamba asilipe kisasi bali wataiondolea Iran vikwazo vya kiuchumi lakini Iran aliona hizi ni siasa na drama zisizo na mwelekeo halisi akaamua kushusha vyuma kutokea sebuleni huku akinywa kahawa.

Yaani mambo madogo kama haya ambayo yameshachambuliwa na magwiji wa masuala ya vita hukuwa unafuatilia kwanini Iran hakujibu siku ile ile?

Alishaandaa vyuma kujibu mapema sana ila Marekani na Ulaya wakambembeleza kwamba diplomasia itumike zaidi kushughulikia mambo haya ili kutotanua mgogoro lakini mbabe aliwaambia waendelee na kazi zingine yeye atainyoosha Israel na ndicho alichofanya.
Israel imemuua mmoja wa wageni rasmi waalikwa kwenye hafla ya uapisho wa Rais wa Iran akiwa katikati ya Tehran.

Nothing is more humiliating than that.

Kwa kutumia ushabiki wa kijinga wa Simba na Yanga, bila kuelewa matukio yanayoendelea duniani, Unaweza kuhitimisha kimakosa kwamba Israel imejibu kichovu.

Kwa sisi wafuatiliaji wa geopolitics, tunaelewa kuwa Marekani kuna uchaguzi tarehe 5 Novemba.

Uchaguzi wa Marekani una everything to do na response ya Israel na targets zitazokuwa targeted.

Lakini, hayo ni masuala yaliyo above pay grade ya wachangiaji wanaosukumwa na mihemuko.
 
😂😂 aise zama za propaganda kwisha habari yake sasa ni wakati wa ukweli tu.

Ni kipofu na kiziwi pekee ndiye ataendelea kuamini propaganda za mashog,a wakati uhalisia anauona nani kabondwa mara mbili kisawasawa na nani kajibu kiuwoga tena kwa aibu ili mradi tu aonekane kajibu.😆😆
Hii Iran hawezi jibu, akijaribu KILEMBA cheusi kinachimbuliwa toka kwende handaki.
 
Wewe ulisikia Iran akikaa vikao na matamko kila siku kama vikao vya send off alipotaka kuishushia mvua ya missiles Israel?

Yeye alitamka tu Israel itapata inachostahili na kweli vyuma vilishushwa hadi vingine vinapita juu ya mapaa ya bunge la kitaifa la Israel bila kupingwa.
🤣

Ushabiki bila hata ya kuwa na uelewa wa mambo.
 
Where are the S400? Urus kamuuingiza chaka muajemi.

Na siyo Iran tu mwamba mteule kashusha vitu vizito pia Syria.

Halafu yeye harushi vimondo hovyo hovyo yeye kapiga precise strike target maamae.

Kwa masaa Israel inacheza na kurandaranda kwenye anga ya Iran inavyopenda.

JESUS AND ISRAEL FOREVER
Yale mapipa ya Mrusi yalikuwa yamesinzia. Iran ayarejeshe huko alikoyatoa.
 
Umeandika Jesus and Israel forever. Ebu fafanua ki vipi?
- wayahudi wanamwita Yesu mwanaharamu na hawamtambui Jesus (Yesu) wala hawautambui Ukiristo. Hiyo link umeinyelea wapi??

Uteule umepotoshwa- usiamini kila ubiwalo, soma kidogo ujue ukweli.
Warumi ambao ni wakiristo waliwapa kichapo mayahudi kwa kosa la jinai la kumuua Yesu.
Wajerumani miaka ya 1940 waliwaua wayahudi million Sita. Wajerumani ni Wakiristo..
Etc.
Uteule uko wapi??😂
We huoni waumini wa kikristo akili zao ? Yaani kila kitu kwao majibu yake yanshangaza
Ndio maana wakaitwa kondoo
 
Cha ajabu Israel hakusema kapiga kitu gani anakanusha eti Iran hakuangusha missiles zozote 😄
Aise hii aibu aliyoleta Israel na mume wake Marekani haivumiliki sijui nani aliwashauri wajiaibishe kiasi hiki.😂

Israel ni sawa na mtu aliyechezea kichapo heavy halafu akamvizia mtu akammwagia mchanga kisha akasema amelipiza kisasi.

Iran wakati anaibomoa Israe dunia nzima ilikuwa attention maana vyuma vilionekana angani na vikitua kwenye target licha ya mataifa matano kujaribu kuyazuia makombora lakini wapi.

Sasa yeye na mumewe wametuma vijindege vikaenda hadi jirani na mpaka wa Iran vikatupa (sio kurusha) vimondo vyao ambavyo walijua kabisa havina madhara kwa kuhofia mvua ya missiles ambayo atashushiwa na Iran endapo ataleta madhara.
 
Where are the S400? Urus kamuuingiza chaka muajemi.

Na siyo Iran tu mwamba mteule kashusha vitu vizito pia Syria.

Halafu yeye harushi vimondo hovyo hovyo yeye kapiga precise strike target maamae.

Kwa masaa Israel inacheza na kurandaranda kwenye anga ya Iran inavyopenda.

JESUS AND ISRAEL FOREVER
Wakiristo wa jf bana
 
Hayawi-hayawi mwisho imekuwa baada ya majeshi ya israel kuanza kuwapiga mbwa usiku huu Majeshi hayo ya Israel yameanza kumpiga Mwenye Mbwa yaani Iran mpaka sasa ninavyoandika hapa hukoanachapika vizuri sana.

Soma Pia: Israel kuishambulia Iran mapema badala ya kusubiri ishambuliwe, taarifa za kiintelijensia zaendelea kukusanywa
=============


Several loud explosions have been heard in Iran's capital Tehran and Israel has confirmed it has launched strikes on military targets.

The Israeli military said it is conducting "precise strikes" on military targets in Iran in response to what it called "the continuous attacks from the regime in Iran against Israel".

Iran: Explosions heard in Tehran as Israel confirms strikes
Israel ina makombora ya masafa marefu pia ya masafa mafupi, pia wana hypersonic missiles.
Jambo linaloonyesha ukubwa na uimara wa ni wanapoamua kushambulia kwa Jets, badala ya kurusha makombora, wanaingia, wanapiga, wanatawala anga na kutoka salama.
Makombora hata Hezbolla, houth na hamas wote wanayarusha. Sometimes Makombora huwa ni ni approach kunguru mwoga, wakati mwingine kutegemea na mrushaji huonesha economic concerns na weak air defense force
 
Nimeangalia hizo video itoshe kusema hamna kitu Israel amefanya. Air defense za Iran zipo active vibaya sanaa
Mkuu sio Israel bali ni Israel + mume wake Marekani wamejiaibisha maana hakuna chochote walichofanya zaidi ya kujikosha waonekane angalau wamejibu.😂😂

Israel peke yake hana uwezo hata huu tu walioonesha wa udhaifu maana yeye kila kitu hadi asaidiwe vinginevyo hana tofauti na Burundi.
 
Netanyahu anachofanya ni kujitafutia matatizo, hapo alipo kwake amekimbia kwa kukoswa na drone la hezbollah lililopiga nyumba yake, haijulikani anaishi lodge au hostel halafu bado anachokoza tena Tehran.

Lakini IDF waesema wanalenga military targets, hawezi kuleta ule usenge wake kwenda kupiga raia, tena hapo USA kawaambia msithubutu kuua raia yeyote wa Iran, kupiga visima vya mafuta ama nuclear facilities...

Ninasoma muda huu USA inasema haihusiki na mashambulizi nchini Iran...🤣
Neyanyahu ni mwamba kwelikweli, hata wewe hukuamini kama Israel angejibu sasa kaonesha kwa vitendo. Huwezi ruhusu nchi ikushambulie wewe uchukulie poa. Kuanzia sasa Iran atafikiria mara mbilimbili kabla ya kurudia ujinga wake.
 
Back
Top Bottom