Iran: Milipuko ilisikika mjini Tehran huku Israel ikithibitisha mashambulizi

Huyo baba wa dunia anashushwa ,kila sehem kabanwa
 
Ayatollah amesema askari wajiandae kurusha makombora 1000, sasa hapo kumenoga.
Ongezeka na wewe ukawasaidie.

Mpaka hapo imeshaonyesha ni nani mbabe kwenye vita hiyo kati yao. Wakati wao akirusha makombora huku wamejificha kwenye mahandaki, mwenzao pia anayo hayo makombora lakini anaamua kuwafuata kuatandika humohumo nchini mwao na kuondoka.
 
kwa hiyo S400 imefanya kazi yake?
 
Neyanyahu ni mwamba kwelikweli, hata wewe hukuamini kama Israel angejibu sasa kaonesha kwa vitendo. Huwezi ruhusu nchi ikushambulie wewe uchukulie poa. Kuanzia sasa Iran atafikiria mara mbilimbili kabla ya kurudia ujinga wake.
Kusema ukweli kama lengo ni kujibu tu ili aonekane kajibu hilo amefanikiwa kucheza na kuendeleza propaganda zake kwa makondoo kama nyie kwamba amejibu.

Lakini kiuhalisia hata yeye anajua hawezi kuijibu Iran kama atakavyoijibu Syria maana anajua moto utawashwa kwake hadi wapoteane.

Israel amecheza vizuri na wazee wa kumuamini kwa propaganda zake hapo kauwa soo kimtindo.
 
HAIJALISHI MKUU VYOVYOTE VILE BORA ISIWE KWENYE MRENGO WA MILA ZA KIARABU (UISLAM)

Lakini Yesu hakutumwa ila kwa kondoo 12 ( makabila 12 ya kiyahudi) . Je lako limo?
Hao hao wateule wakampiga vita na kumkana (Yesu) na kuukana Ukiristo. Baadhi ya Waarabu wa Lebanon, Israel iliyotwaa kimaguvu Palestine ndio wakiristo. Natanya na wenzie wanatumia bible wasiotambua kwa maslahi. Hii hali Itaendelea mpaka kondoo waliolala waamke usingizini ndio wateule watapata kichapo cha kweli kama walivyopata tangu na tangu zamani zileee
 
Mimi nafuatilia Al Jazeera now. Hivi Irani hawana mifumo ya kuzuia makombora kweli? Where are the S-400 as regarded as the most advanced ant missiles?
Unafikiri kira kitu kinazuiwa ...........wameshindwa mimba sembuse kombora...........hilo halina mabega kitu kama mshale tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…