Iran: Milipuko ilisikika mjini Tehran huku Israel ikithibitisha mashambulizi

Iran: Milipuko ilisikika mjini Tehran huku Israel ikithibitisha mashambulizi

Kuna hatari ya mtu kupanic na kumpiga mwenzake Nuklia.

USA kama Baba wa dunia yeye ndio anapaswa kuweka busara mezani na kutatua tatizo la mashariki ya kati lakini nayeye anachukua upande na kumsaidia mmoja wao.

Mashariki ya kati inataka suluhu itakayohusisha mataifa yoote ya mashariki ya kati ili Palestina wapate Taifa Lao nao waishi kama wanadamu wengine.
Huyo baba wa dunia anashushwa ,kila sehem kabanwa
 
Ayatollah amesema askari wajiandae kurusha makombora 1000, sasa hapo kumenoga.
Ongezeka na wewe ukawasaidie.

Mpaka hapo imeshaonyesha ni nani mbabe kwenye vita hiyo kati yao. Wakati wao akirusha makombora huku wamejificha kwenye mahandaki, mwenzao pia anayo hayo makombora lakini anaamua kuwafuata kuatandika humohumo nchini mwao na kuondoka.
 
kwa hiyo S400 imefanya kazi yake?
Israel kuliko kwenda kufanya retaliation nchini Iran mapema leo ambapo imekuwa kituko, ni bora wangekaa kimya, air defenses za Iran zimezuia makombora karibu yote ya Israel.

Vyanzo mbali mbali nchini Iran vinasema hali ni shwari, na jeshi la Iran limesema milipuko iliyosikika ilikuwa ni air defenses za Iran zinazuia makombora hayo.

View: https://www.youtube.com/watch?v=2iouwn8tLv0

Makombora yamezuiliwa kama fataki.
Iron dome imezidiwa na hio mifumo ya Iran Bavar, kumbe iron dome ni jina na kujipigia chapuo na hana kila kitu.
 
Neyanyahu ni mwamba kwelikweli, hata wewe hukuamini kama Israel angejibu sasa kaonesha kwa vitendo. Huwezi ruhusu nchi ikushambulie wewe uchukulie poa. Kuanzia sasa Iran atafikiria mara mbilimbili kabla ya kurudia ujinga wake.
Kusema ukweli kama lengo ni kujibu tu ili aonekane kajibu hilo amefanikiwa kucheza na kuendeleza propaganda zake kwa makondoo kama nyie kwamba amejibu.

Lakini kiuhalisia hata yeye anajua hawezi kuijibu Iran kama atakavyoijibu Syria maana anajua moto utawashwa kwake hadi wapoteane.

Israel amecheza vizuri na wazee wa kumuamini kwa propaganda zake hapo kauwa soo kimtindo.
 
HAIJALISHI MKUU VYOVYOTE VILE BORA ISIWE KWENYE MRENGO WA MILA ZA KIARABU (UISLAM)

Lakini Yesu hakutumwa ila kwa kondoo 12 ( makabila 12 ya kiyahudi) . Je lako limo?
Hao hao wateule wakampiga vita na kumkana (Yesu) na kuukana Ukiristo. Baadhi ya Waarabu wa Lebanon, Israel iliyotwaa kimaguvu Palestine ndio wakiristo. Natanya na wenzie wanatumia bible wasiotambua kwa maslahi. Hii hali Itaendelea mpaka kondoo waliolala waamke usingizini ndio wateule watapata kichapo cha kweli kama walivyopata tangu na tangu zamani zileee
 
Mimi nafuatilia Al Jazeera now. Hivi Irani hawana mifumo ya kuzuia makombora kweli? Where are the S-400 as regarded as the most advanced ant missiles?
Unafikiri kira kitu kinazuiwa ...........wameshindwa mimba sembuse kombora...........hilo halina mabega kitu kama mshale tu
 
Back
Top Bottom