Israel kuliko kwenda kufanya retaliation nchini Iran mapema leo ambapo imekuwa kituko, ni bora wangekaa kimya, air defenses za Iran zimezuia makombora karibu yote ya Israel.
Vyanzo mbali mbali nchini Iran vinasema hali ni shwari, na jeshi la Iran limesema milipuko iliyosikika ilikuwa ni air defenses za Iran zinazuia makombora hayo.
View: https://www.youtube.com/watch?v=2iouwn8tLv0
Makombora yamezuiliwa kama fataki.
Iron dome imezidiwa na hio mifumo ya Iran Bavar, kumbe iron dome ni jina na kujipigia chapuo na hana kila kitu.