Ukweli ni kwamba baada ya Selemani kuuliwa, hakukutokea vita yoyote ile kama ambavyo ilivyo hivi sasa.
Huo ndo ukweli hata kama ni mchungu.
Wakati wa Trump hakukuwa na vita huko Ukraine.
Wakati wa Trump hakukuwa na vita huko mashariki ya kati kama ilivyo hivi sasa.
Ambao wapo madarakani sasa hivi, yote haya yanayoendelea, yametokea chini yao na wameshindwa kuyazuia yasiendelee.
Lakini somehow mnataka tuamini kwamba Trump atakuwa mbaya zaidi…..kana kwamba hakuwahi kuwepo kwenye hiyo nafasi hapo awali!
Trump derangement syndrome is real 🤣.