Iran: Milipuko ilisikika mjini Tehran huku Israel ikithibitisha mashambulizi

Iran: Milipuko ilisikika mjini Tehran huku Israel ikithibitisha mashambulizi

Kiufupi Israel imeleta hasara huko Tehran kuliko kuliko mashambulizi ya Iran Kwa Israel
 
Aise Iran ni dunia nyingine wajameni.

Hapa naangalia kupitia televisheni vijikombora vilikuwa vinamezwa kama chatu anavyomeza wanyama wadogo wadogo.

Huu mfumo wa ulinzi alionao Iran utauzika sana ulimwenguni kote hata Mazayuni, Marekani na ulaya yote kwa vyovyote vile wanautamani na lazima waibe teknolojia iliyotumika kuundwa kwake.
Kwa Nini hawajapeleka Syria na Lebanon 😂😂
 
Tofauti ya Israel na Watu wengine, now wametoka tenda kwa makampuni ya ndani kuunda mifumo mipya ya kuzuia drone
Upuuzi,hakuna wa kuzuia hizo drone Mzee maana zikishachangamana na mawingu Utasikia kichapo tuu.

Pia zinarushwa nyingi Kwa wakati mmja,utawezaje kuzuia?

Drone ni kama Bomu ambalo mumeshindwa Kwa kutumia mamifumo yenu hayo ya Sasa na huko hawataweza, kampuni zitajipigoa pesa 😂😂
 
Nahata Iran hatua anayochukua ni kurusha makombola tuu. Kubaba askari wake zaidi ya 200,000 na kuwapeleka Lebanon au Syria ni ngumu sana, maana kuloss itakuwa wazi wazi ikumbukwe yeye ni mbali na home kwake.
Yaani hapo ni comedy , vita iko kule Palestina ....Sasa kama kila mtu ana defense system , hakuna vta hapo.
 
Kwa hivyo yule waziri wa mambo ya nje wa USA alienda juzi Israel kutoa ruhusa? Inashangaza sana na kutia aibu taifa teule haliwezi kujitegemea lenyewe mpaka lisaidiwe.

Israel is non existing state without USA and allies
 
Cheap propaganda where we're you when Israel was attacked on October 7?
Israel has been at war with Palestinians since 1948, the year of the founding of the modern day state of Israel.
The Palestinians have been living under colonial occupation since 1948 and effectively at war since then.
Gaza is a concentration camp created by the Zionist states and now they're using October 7th as an excuse to carry out genocide.
 
Kiufupi Israel imeleta hasara huko Tehran kuliko kuliko mashambulizi ya Iran Kwa Israel
Kabisa.

Kombora likidakwa na air defence system huwa halitoi mlipuko sababu mlipuko hutokea likitwanga mahali tu

Sasa hao wanaosema ohh yalidakwa na Iran uongo
Milipuko ilitokea sehemu mbali.mbali Iran ikiwemo Tehran ikimaanisha kuwa makombora yalitua penyewe na kutandika.Yangedakwa hewani kusingekuwepo milipuko aridhini.Yakidakwa hayalipuki

Ayatollah kapigwa huo uongo wa ohh tuneyadaka porojo
 
Halafu kumbe Israel inajua kulenga maeneo ya jeshi? Sasa mbona Palestine na Beirut wanalenga maeneo ya wananchi? Hapo Israel keshafanya calculations kwamba Iran sio Hizbollah kwa maana akishambulia raia wa Iran anajua kitakachomkuta.

Halafu kupiga Iran mpaka Blinken aende Tel Aviv kutoa ruhusa manake bila USA support kamwe asingethubutu
 
Ngoja niende huko kesho kugombelezea japo ninaweza kurejea na kiwiliwili bila kichwa lakini najua kitaota tena
 
Back
Top Bottom