Iran: Milipuko ilisikika mjini Tehran huku Israel ikithibitisha mashambulizi

Iran: Milipuko ilisikika mjini Tehran huku Israel ikithibitisha mashambulizi

Duuuh apo Jana Israel ilifanya mashambulizi ya kulipiza kisasi nchini Iran apo Jana usiku katika mashambulizi hayo ya makombora ambayo makombora yote ya Israel yaliyopigwa Jana yalizuiwa na mfumo wq air defence system WA Iran bavar,
Hili shambulio halijaleta madhara yoyote zaidi Tu ya kuleta Moshi mzito huko Tehran
Hakikaa Israel anamuogopa sana Iran wala hajapiga nyuklia facilities,
Sasa Iran umesema itajibu mara KUmi huku ukiwa na taarifa kuwa Iran Iran kurusha missiles 1000 apo kesho Iran za hypersonic missles huko tel Aviv
Kombora likidakwa na air defence system huwa halitoi mlipuko

mlipuko hutokea likitwanga mahali tu

Sasa hao wanaosema ohh yalidakwa uongo
Milipuko ilitokea sehemu mbali.mbali Iran ikiwemo Tehran ikimaanisha kuwa makombora ya Israel yalitua penyewe na kutandika.Yangedakwa hewani kusingekuwepo milipuko aridhini.Yakidakwa hayalipuki wala kutoa moto

Ayatollah kapigwa huo uongo wa ohh tumeyadaka ni porojo
 
Hii sasa ni dhahiri Israel ni muoga kupitiliza yaani hicho kisasi ni kichekesho hata kwa mtu asiyefuatilia mgogoro huu.

Iran wakati anaichapa Israel dunia nzima ilikuwa attention maana vyuma vilirushwa direct from Iran hadi Israel na vyuma vikapiga target vizuri kabisa.

Lakini Israel na Marekani kwa kufuta aibu wakatuma vijindege karibu na Iran eti virushe vimondo ili mradi tu kuondoa aibu ya kuambiwa wameshindwa kujibu.

Kwahiyo Israel na Marekani wamekaa siku 25 kujiandaa kujibu shambulizi ndiyo wakaja na hiki kituko cha karne kweli?😂😂😂
Basi Iran ndiyo mbabe, Marekani na Israel hakuna kitu.

Si ni hicho tu au kuna kingine?
 
Wanataka kuona Iran ikirusha vikombora vyake basi kesho yake Israel nayo ijibu.

Haya siyo mambo ya vigodoro vya Mwananyamala Kisiwani.
Unajua nchi hii ina watu wengi wagonjwa wa akili
Hawaupendi ukweli, hawashughulishi akili zaidi ya kushabikia vitu kwa mkumbo kama mazuzu.
 
Hii sasa ni dhahiri Israel ni muoga kupitiliza yaani hicho kisasi ni kichekesho hata kwa mtu asiyefuatilia mgogoro huu.

Iran wakati anaichapa Israel dunia nzima ilikuwa attention maana vyuma vilirushwa direct from Iran hadi Israel na vyuma vikapiga target vizuri kabisa.

Lakini Israel na Marekani kwa kufuta aibu wakatuma vijindege karibu na Iran eti virushe vimondo ili mradi tu kuondoa aibu ya kuambiwa wameshindwa kujibu.

Kwahiyo Israel na Marekani wamekaa siku 25 kujiandaa kujibu shambulizi ndiyo wakaja na hiki kituko cha karne kweli?😂😂😂
Inaonyesha hata zile za kukusaidia kujisafisha kule hamnzo kabisa🤣🤣🤣
 
Yaani zimepanguliwa kama mtoto hata kufika level ya chini hazijafika ....Israel analinda heshima maana atawaangusha wanaomini ni taifa la Mungu ila hana kitu .


Angalia hapo Iran kwake na israel alivypigwa ..Mpaka sasa Iran 3 - 0 israel
Hiyo milipuko ilikuwa yanini hapo Tehran kama makombora yalipanguliwa?
 
Where are the S400? Urus kamuuingiza chaka muajemi.

Na siyo Iran tu mwamba mteule kashusha vitu vizito pia Syria.

Halafu yeye harushi vimondo hovyo hovyo yeye kapiga precise strike target maamae.

Kwa masaa Israel inacheza na kurandaranda kwenye anga ya Iran inavyopenda.

JESUS AND ISRAEL FOREVER
Bado wanafanyia orientation namna ya kuyatumia
 
Hivi ile mitambo ya kuona adui kabla hajashambuli ile alipewa na Russia ilikuwa imesinzia jana?
 
Mlisema Israel hawezi kuthubutu kujibu lile shambulizi la Iran kwa kurusha hata kombora 1, sasa amerusha ndege chache tu mmeanza tantarila zingine huku mkisahau kauli yenu ya mwanzo.

Halafu kushambulia Nuclear bases siyo jambo dogo mjue.Hiyo tayari itageuka kuwa World War III. Israel inajua athari zake zitakuwa kubwa sana. Hata huyo Iran anajua Israel ina nuclear, kwanini nayeye hapigi nuclear bases za Israel? Mnafikiri ni masihara eeeeh?
 
Aise Iran ni dunia nyingine wajameni.

Hapa naangalia kupitia televisheni vijikombora vilikuwa vinamezwa kama chatu anavyomeza wanyama wadogo wadogo.

Huu mfumo wa ulinzi alionao Iran utauzika sana ulimwenguni kote hata Mazayuni, Marekani na ulaya yote kwa vyovyote vile wanautamani na lazima waibe teknolojia iliyotumika kuundwa kwake.
Jamaa kwa kujifariji hamjambo, tokalini makombora yakapanguliwa ardhini, video zimeonyesha vyuma vikitua ardhini, tuonyeshe huo mfumo wa ulinzi ulivyopangua hayo makombora
 
Back
Top Bottom