Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Iran
Naona air defence ya Iran ikivipangua vifireworks vya Zayuni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iran
Hahahahhahaah ni balaaaaaIngekuwa ni Iran imefanya shambulizi tungeomba ushahidi wa picha au video, ila kwakuwa shambulizi limefanywa na taifa teule inabidi tukubali na kuamini tu kuwa Israel imeupiga mwingi, Iran kachapika.
Au vipi?
Akidondoka Iran basi jamaa wanafanya wanavyotaka ...Ila ukiona jamaa wakimya sana ila wana vifaa vya hatariAh kwa staili ya hii video pale mashariki ya kati Iran ni mbabe haswa.
Hii vita msingi wake ni msikiti wa Al Aqsa na chuki ya Muhammad dhidi ya wayahudi.Yaani unajua kabisa huyu dogo ni mtoto wa Jenerali halafu unamletea ubabe unamtia makonzi. Halafu dingi akiingilia kati unanza kujiliza.
Israel ataendelea kudumu pale miaka na miaka kwa sababu ya aina ya approach yake kwa mataifa mengine.
Huo upande wa pili unahubiri siasa za udini, wakijaribu kuwaaminisha mataifa hii ni vita ya kidini. Hapo Israel kuna Waislamu kibao wanauwawa kwa makombora ya hao jamaa ila mbele ya Iran na vikundi vingine tunaaminishwa maisha ya Muislamu yenye thamani ni ya wale wa Iran na Palestina.
Huyu Iran ana tuhuma kibao za kusupport mapinduzi kwenye baadhi ya nchi za kiarabu zinazoongozwa na Sunni. Halafu leo utake ushirikiano? Utaupata ila ni ule wa Kinafiki.
Huyu Myaudi anaungwa mkono hadi na baadhi ya nchi za kiarabu ndio maana pamoja na vita zote anazopigana bado yupo.
Badilisheni approach yenu kwanza ili mpate support ya kila mtu.
Na usisahau unapohubiri #FreePalestina ongezea na #FreeHostages.
😀 😀 😀Hii video inaonesha huku Iran na kulia ni IsraelNaona air defence ya Iran ikivipangua vifireworks vya Zayuni
Kwamba mnajifanya vipofu ama!!Lete video tuone makombora yakitua
Hana air defense system jamaa wamejipigia wanavyotaka tena kwa kutumia ndegeAkidondoka Iran basi jamaa wanafanya wanavyotaka ...Ila ukiona jamaa wakimya sana ila wana vifaa vya hatari
Pole roho inakuuma kweli kweliWakati mashambulizi yanafanyika nimesikia Netanyahu yupo kwenye bunker kajificha katika kambi moja inaitwa Kirya na Yoav Gallant.
Hawezi kutoka hadi wiki iishe.
Air defense hapa zilikuwa zimelala amaKwamba mnajifanya vipofu ama!!
Acha kujidanganya, meli zinapita tuu, wakorofi acha mpigwe tuu mnaleta shida kwa ajiri ya vidini vyenu vya akili za Stone AgeKama houthi wamezuia melli zote za US,UK na Israel pale red Sea ndio Iran ashindwe?
Wanajifanya hawaoni, alafu kumbe AD ni S400 za mrusi kampa Iran kumbe nae hamna kitu 😀😀Hana air defense system jamaa wamejipigia wanavyotaka tena kwa kutumia ndege
Jamaa si tu walituma makombora bali pia waliingiza ndege Tehran.Mfumo wa anga wa Iran ni zero kabisaKwani wewe huoni hata kwenye video inasikika , ulizani kuyapangua ni kufanyaje !? Yanalipuliwa juu ili yasipige target hata mabaki yake yanaanguka kama ulikuwa hujui .
Meli zinapita wapi wewe punguani kweli😂😂Acha kujidanganya, meli zinapita tuu, wakorofi acha mpigwe tuu mnaleta shida kwa ajiri ya vidini vyenu vya akili za Stone Age
Wewe nani alikwambia allah anampigania mtu wakati yeye ndiye anapiganiwa na ukifa ukimpigania ndio unaenda akhera anakupatia mabikra 72 wenye macho kama mayai na pombe ya kwenye mito ya huko.Je Allah muweza wa yote kashindwa kuwalinda na wanampigania?
Hauna lolote ushabiki tu na u-much know unakusumbua. Wapo watu wanaojua Geopolitics kuliko wewe hapa jukwaani na wala hawatambi tunaona tu michango yao hapa jukwaani.Kwa kutumia ushabiki wa kijinga wa Simba na Yanga, bila kuelewa matukio yanayoendelea duniani, Unaweza kuhitimisha kimakosa kwamba Israel imejibu kichovu.
Kwa sisi wafuatiliaji wa geopolitics, tunaelewa kuwa Marekani kuna uchaguzi tarehe 5 Novemba.
Sema USA.... kwani hizo THAAD zimefuata nini kama hao Israel wanajimudu? Hata mabwana zao USA ndio walimuonya asishambulie Nuclear facilities wala mafuta.Where are the S400? Urus kamuuingiza chaka muajemi.
Na siyo Iran tu mwamba mteule kashusha vitu vizito pia Syria.
Halafu yeye harushi vimondo hovyo hovyo yeye kapiga precise strike target maamae.
Kwa masaa Israel inacheza na kurandaranda kwenye anga ya Iran inavyopenda.
JESUS AND ISRAEL FOREVER