Iran: Milipuko ilisikika mjini Tehran huku Israel ikithibitisha mashambulizi

Iran: Milipuko ilisikika mjini Tehran huku Israel ikithibitisha mashambulizi

Ingekuwa ni Iran imefanya shambulizi tungeomba ushahidi wa picha au video, ila kwakuwa shambulizi limefanywa na taifa teule inabidi tukubali na kuamini tu kuwa Israel imeupiga mwingi, Iran kachapika.
Au vipi?
Hahahahhahaah ni balaaaaa
 
Yaani unajua kabisa huyu dogo ni mtoto wa Jenerali halafu unamletea ubabe unamtia makonzi. Halafu dingi akiingilia kati unanza kujiliza.

Israel ataendelea kudumu pale miaka na miaka kwa sababu ya aina ya approach yake kwa mataifa mengine.

Huo upande wa pili unahubiri siasa za udini, wakijaribu kuwaaminisha mataifa hii ni vita ya kidini. Hapo Israel kuna Waislamu kibao wanauwawa kwa makombora ya hao jamaa ila mbele ya Iran na vikundi vingine tunaaminishwa maisha ya Muislamu yenye thamani ni ya wale wa Iran na Palestina.

Huyu Iran ana tuhuma kibao za kusupport mapinduzi kwenye baadhi ya nchi za kiarabu zinazoongozwa na Sunni. Halafu leo utake ushirikiano? Utaupata ila ni ule wa Kinafiki.

Huyu Myaudi anaungwa mkono hadi na baadhi ya nchi za kiarabu ndio maana pamoja na vita zote anazopigana bado yupo.

Badilisheni approach yenu kwanza ili mpate support ya kila mtu.

Na usisahau unapohubiri #FreePalestina ongezea na #FreeHostages.
Hii vita msingi wake ni msikiti wa Al Aqsa na chuki ya Muhammad dhidi ya wayahudi.
 
Wakati mashambulizi yanafanyika nimesikia Netanyahu yupo kwenye bunker kajificha katika kambi moja inaitwa Kirya na Yoav Gallant.
Hawezi kutoka hadi wiki iishe.
Pole roho inakuuma kweli kweli
Vumilia kobazi mumeo ayatollah ananyooshwa alikuwa amepinda sanaa
 
Kama houthi wamezuia melli zote za US,UK na Israel pale red Sea ndio Iran ashindwe?
Acha kujidanganya, meli zinapita tuu, wakorofi acha mpigwe tuu mnaleta shida kwa ajiri ya vidini vyenu vya akili za Stone Age
 
Usiku wa kuamkia leo Israel imefanya mashambulizi ndani ya Iran kwneye kujibu mashambulizi makubwa yaliyofanywa na Iran kwenye Operation Promise 2 dhidi ya Israel baada ya Israel kumuua kiongozi wa HAMAS ndani ya Iran akiwa mgeni rasmi kwenye sherehe za kusimikwa Rais mpya.

Zifuatazo ni video jinsi mashambulizi ya Israel yalivyopanguliwa na kufeli malengo.
 
Kwani wewe huoni hata kwenye video inasikika , ulizani kuyapangua ni kufanyaje !? Yanalipuliwa juu ili yasipige target hata mabaki yake yanaanguka kama ulikuwa hujui .
Jamaa si tu walituma makombora bali pia waliingiza ndege Tehran.Mfumo wa anga wa Iran ni zero kabisa
 
Je Allah muweza wa yote kashindwa kuwalinda na wanampigania?
Wewe nani alikwambia allah anampigania mtu wakati yeye ndiye anapiganiwa na ukifa ukimpigania ndio unaenda akhera anakupatia mabikra 72 wenye macho kama mayai na pombe ya kwenye mito ya huko.
 

Attachments

  • Screenshot_20230922-174147.jpg
    Screenshot_20230922-174147.jpg
    517.2 KB · Views: 2
Kwa kutumia ushabiki wa kijinga wa Simba na Yanga, bila kuelewa matukio yanayoendelea duniani, Unaweza kuhitimisha kimakosa kwamba Israel imejibu kichovu.

Kwa sisi wafuatiliaji wa geopolitics, tunaelewa kuwa Marekani kuna uchaguzi tarehe 5 Novemba.
Hauna lolote ushabiki tu na u-much know unakusumbua. Wapo watu wanaojua Geopolitics kuliko wewe hapa jukwaani na wala hawatambi tunaona tu michango yao hapa jukwaani.
 
Where are the S400? Urus kamuuingiza chaka muajemi.

Na siyo Iran tu mwamba mteule kashusha vitu vizito pia Syria.

Halafu yeye harushi vimondo hovyo hovyo yeye kapiga precise strike target maamae.

Kwa masaa Israel inacheza na kurandaranda kwenye anga ya Iran inavyopenda.

JESUS AND ISRAEL FOREVER
Sema USA.... kwani hizo THAAD zimefuata nini kama hao Israel wanajimudu? Hata mabwana zao USA ndio walimuonya asishambulie Nuclear facilities wala mafuta.
 
Back
Top Bottom