Iran: Milipuko ilisikika mjini Tehran huku Israel ikithibitisha mashambulizi

Leo Ayatollah hama kwenda masjid..watalamba kile kichwa
 
Jiulize Iran kwa nini kafunga viwanja vyote vya ndege baada ya kupigwa ns Israel? Kama hayo makombora hayakuleta madhara yeyote?
 
Bahati mbaya Israel siku zote imekuwa ikichokozwa na maadui wake, wanaichokoza, siku zote dunia ina angalia au kupambana na mchokozi.
 
Unajua nchi hii ina watu wengi wagonjwa wa akili
Hawaupendi ukweli, hawashughulishi akili zaidi ya kushabikia vitu kwa mkumbo kama mazuzu.
Ooooh, ebu tuone utimamu wako wa akili hapa chini.
Inaonyesha hata zile za kukusaidia kujisafisha kule hamnzo kabisa🀣🀣🀣
Hiki ulichokiandika hapa kinathibisha kuwa na wewe ni mmoja kati ya wagonjwa wa akili.
Ndio nini sasa?
 
Huyo anayegawa hizo S400 mbona na yeye anachapika chumbani kwake kabisa
Russia ni kubwa sana ..pia s400 zinasumbuliwa a drone siyo makombola makubwa na ndege huo mfumo wa s400 ni bora sana ila unaujumiwa na drone pale unapo julikana location yake
 
Naweza Kusemq Hakuna Mission Mbovu aliyoifanya Israel Kama Hii. Amerusha Vikombora kadhaa side effects Zero. Iran Ameshafungua anga lake ndege zinatua na kuruka kama kawaida. Jordan ni kama malaya ameruhusu anga lake lipitishie hayo makopo ya Israel Muda Utaongea. Hakika Sikukosea Kumkubali Iran Mbwa Mimi
 
Duuuh!
Shida vijana wa NATO mnajikutaga mna akili sana kumbe ni mbumbumbu kabisa.
Yaani hata implication ya kufunga anga/viwanja vya ndege kwenye hili inakushinda kuing'amua.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hopeless kabisa!

Ebu kwanza, au unaongea kinyume jumlisha kejeri? Unajua hii comment yako inanishangaza!
 
Tumia akili mifumo ya ulinzi wa snga inapo anza kufanya kazi ni lazima anga lifungwe maana ni hatari hata kwa ndege zenu wenyewe na kimataifa
 
KWA HII MISHENI ISRAEL KAPATA 0
 
Jiulize Iran kwa nini kafunga viwanja vyote vya ndege baada ya kupigwa ns Israel? Kama hayo makombora hayakuleta madhara yeyote?
Kujihami sio dhambi ukiwa vitani, unapunguza possibilities za kudhurika na hasa ukiwa na adui aisye na akili anayewaza kushambulia raia wakati wote
 
Nimesikitika sana kuleta video ya Lebanon.
Sasa kama ni za Lebanon kwa nini Iran imefunga viwanja vyote vya ndege? Kujamba Israel ijambe Lebanon halafu harufu isikike Iran? Hadi afunge viwanja vya ndege
 
Kweli ww msenge huna hata aibu yaani umnaleta video za makombora ya Iran yakiipiga Israel unasema ndo shambulizi la Israel?
Anga na viwanja ni razima vifungwe ili makombora ya ulinzi yasiangushe ndege za abiria.
 
We unasemaje kachemka wakati bado muda upo na China kila siku inapiga hatua, kila kitu kipe muda, ndio hizi habari Israel ilikuwa inaua wanasayansi wa Iran wanakaa kimya watu wanasema Iran inaogopa, haya sasa karushiwa makobora 200 wamefanya nini?
Si yalikuwa hayana taharifa makombora ya Iran? Sasa Israel katoa taharifa na akasema Iran hawataelewa kapigwaje na mtu kapiga kweli. Mtu anayekuandaa ana maana ujiandaye alafu nakuja na anakuja anapiga. Wenye akili kubwa lazima ujitafakari Mara mbili mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…