and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 3,707
- 12,367
Hio picha imewekwa na CNN...Picha yenyewe ya kugushi, wayahudi hawako hivyo!! Mahandaki ya Israel yanaitwa Basement kuna kila kitu kitanda,shuka,Hospital na Huduma zingine za kibinadamu. Angalia hata huyo askari Israel hakuna wa namna hiyo, Hard-hat israel hawatumii hizo tuambie vizuri hiyo umeipata wapi?
Kwa hiyo hao ni wayahudi wa India,China na Ethiopia weusi tii kuliko wewe uliyejikoboa??Hio picha imewekwa na CNN...
Wakati mwingine muwe mnaacha ubishi wa kipuuzi...
Tuambie wayahudi wako vipi we unaye wafahamu...π€£
Hata mimi ungeniamsha usiku saa 8 ningesema hao ni wayahudi sasa wewe myahudi wa Ifakara tuambie wayahudi wapo vipi?
Wayahudi wapo hadi Ethioia, weusi tii, wayahudi wapo India, wayahudi wapo hadi China... Myahudi mchina unafahamu hilo?
Hao ni wayahudi hata kama unawaona ni kama waarabu, kuna arab jews wengi tu Israel na kumtofautisha na muarabu ni ngumu lakini wanafahamika...Kwa hiyo hao ni wayahudi wa India,China na Ethiopia weusi tii kuliko wewe uliyejikoboa??
mmarekani uyu uyu mnaesemaga alipigwa na watalebaniKwa msaada wa US, bila US Israel haikai mwezi mmoja hapo middle East, watapigwa na nuclear zao.
Wewe Wasema!! Hilo handaki la kwampalange limefikaje Israel? Nijuavyo mimi wao wana Basement tu!,Hao ni wayahudi hata kama unawaona ni kama waarabu, kuna arab jews wengi tu Israel na kumtofautisha na muarabu ni ngumu lakini wanafahamika...
Au unafikiri wayahudi wote ni wazungu kama Netanyahu?
Waangalie wasije wakavuta bange tuuuuHapo nato wakitaka kumchosha Iran waitumie Israel kama wanavyoichosha urusi kwa kutumia Ukraine.
Wakihakikisha zimechoka kabisa ndiyo nato inaingia mzigoni kumaliza mchezo.
Hao nato sio wajinga wanavuta subira na wanajiandaa kimya kimya,
Idadi ya vifo imeanza kutangazwa, wawili tayari huko.π π πMda huu jamaa anamalizia kahawa hajasema chochote , US na UN wanasema jamaa asilipize watatoa majehso mpaka Gaza na Lebanon.
Vifo vishaanza kutangazwa huko!Wayahudi wa humu walikuwa hawajui kama Iran ana Air defense.
Hebu wache leo tuwaonyeshe Air defense za Iran ambazo zimetumika kuangusha hizo missiles za Israel na drones
View: https://youtu.be/JPJGv_mqrkE?si=rdif8prKj3RBL8X5
Du bro usishabikie Vita. Vita mbaya broVideo za Beirut bro , pigeni kweli sio mnacheza
Hapana , ila hawa jamaa ni waanafiki sana na wazushi.Du bro usishabikie Vita. Vita mbaya bro
watu wameshaliwa vichwa huko wewe unasema wameshindwa?Hata hivyo wameshindwa
Uzushi na fani yenu au?.Kama nikweli amelipiza, unafikiri israel bila marekani na nato ataweza!
Juzi ama jana wanajeshi 70 wameuawa na hezbullah, kwa iran ataweza! Mnachekesha sana
Iran si alifanya vituko Tena Mara mbili na akaua mpalestina mojaSasa kalipiza nini hapo?
No kituko kafanya...
Mbona tumeona makombora ya kutungulia ndege ndiyo yametumika?Mchina kaithibitishia Dunia ,Kivita Yuko mbali sana.
Kwa mara ya kwanza LASER WEAPONS , zinaangisha makombora Kwa Kasi ya mwanga .
Iran amshukuru mchina, alikua anapigika sana.
Naunga mkono hoja! Irudiwe hii haijashwihi.Israel kaishambulia Leo Iran kiuoga uoga sana. Mimi nilitegemea kuona banker buster zikipiga hasa nuclear facilities zilijengwa huko mashimoni Iran. Ninaomba Israel ilirudishe majibu tena mengine yawe makali sana, hasa mpaka Wa Iran watoe Milio yote. Maana Oct 1 Iran alivyoshambulia sote tuliona video. Lakini hii ya Israel naona kama wameipiga kiuoga uoga naomba irudiwe.
Akili zimeanza kuwaingia sasa,walipojaribu kupima kina cha maji ya bahari kwa miguu hawakujua matokeo yake!? Au kiburi tu.π π πMda huu jamaa anamalizia kahawa hajasema chochote , US na UN wanasema jamaa asilipize watatoa majehso mpaka Gaza na Lebanon.
Hizi Dharau AiseeKishambulio kama kimefanywa na Burundi