Iran: Milipuko ilisikika mjini Tehran huku Israel ikithibitisha mashambulizi

Wafuasi wa mwamposa acheni kutafuta kichaka cha kujificha bas.
Hamna ndege iliyoingia Iran sema walirusha mabomu wakiwa anga ya Iraq na Syria
 
Hujadili nini ambacho ni kigeni kwako hata media za nje hakipo?
Taarifa yako ni tofauti na za media za nje ikiwemo na taarifa ya msemaji wa jeshi la Iran.

Pengine kuna mabadiliko ya taarifa Iran imeyafanya na ndiyo maana tunaomba source ya taarifa yako ili kama kujadili tujadili.
 
Attachments

  • Screenshot_2024-10-27-07-53-16-560_org.mozilla.firefox.jpg
    246.1 KB · Views: 0
  • Screenshot_2024-10-27-07-54-16-454_org.mozilla.firefox.jpg
    271.3 KB · Views: 0
  • Screenshot_2024-10-27-07-51-30-683_org.mozilla.firefox.jpg
    263.4 KB · Views: 0
  • Screenshot_2024-10-27-07-52-59-407_org.mozilla.firefox.jpg
    225.9 KB · Views: 0
Wafuasi wa mwamposa acheni kutafuta kichaka cha kujificha bas.
Hamna ndege iliyoingia Iran sema walirusha mabomu wakiwa anga ya Iraq na Syria
 
Attachments

  • Screenshot_2024-10-27-07-51-30-683_org.mozilla.firefox.jpg
    263.4 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…