Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 13,010
- 6,678
F 35 zilikuwa zinarandaranda kwenye anga la Iran kama Yao kweli anga ya Iran ulinzi hakuna kabisaAyatollah amesema askari wajiandae kurusha makombora 1000, sasa hapo kumenoga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
F 35 zilikuwa zinarandaranda kwenye anga la Iran kama Yao kweli anga ya Iran ulinzi hakuna kabisaAyatollah amesema askari wajiandae kurusha makombora 1000, sasa hapo kumenoga.
Tunaambiwa ayotolah alikua kalala ,wakaona aina haja ya kumsumbua usiku usiku kwa tatizo dogo kama hiloKwakweli kama haya ndio majibu ya Israel basi ayatollah aendelee kunywa kahawa na lemba lake hamna vita hapa
Israel mara nyingi huwa haelezi sana kile alichokifanya, aliepigwa hueleza mwenyewe aseme alichokumbana nacho.Siamini kama IDF nayo imeshambulia nyasi ...
Wakianza kuwaua msije kusema Mayahudi makatiliIsrael anataka kuwapa moyo wale wanaomini ni taifa la Mungu .... 😀 😀 😀 Naangalia hapa Terhan hakuna shelters watu wanatembea hawana wasiwasi ....Zero targets.
Wanadanganyana misikitini huko wakati wa swala msamehe bure🤣🤣
Hivi si ulisema Israel imefyata na haitojibu mapigo?
Imekuwaje tena sasa?
Hawana uwezo huo kama watu wanavyojua , wanachowin ni kimoja tu , kutumia mamluki kuwaua viongozi ila hawana uwezo wa kupigana moja kwa moja .Yalirushwa mengi yamendunguliwa.
Leo nimeona hata wanasambaza video IDF speakman wanasema wamemaliza operation Lebanon kwa sababu ya heavy loss.
Kumbe ni video ya kuedit.
Inawezekana hata hakuna bomu lolote lililorushwa Iran.
Propaganda ni nyingi sana
Iran na israel wanafanya maonesho ya silaha zao , wanaoumia ni watoto wa palestina ila hao ni showoffHapo Kuna mawili Wenda hakuna shambulio lolote. Wenda ni propaganda zimetengenezwa na wao pro Iran.
Maana Kuna kitaarifa kimesambaa kuwa IDF wameacha operation Lebanon kumbe ni fake news. Na video ya kuedit
Ni kweli, aliendeleza tu vita alivyovikuta huko Afghanistan, akapiga mabomu mengi sana Syria, akamuua Qasem Suleimani wa Iran, akawapa silaha nyingi sana Saudi Arabia katika vita vyao dhidi ya Yemen na akazuia Congress kudhibiti hiyo vita.Pamoja na ‘wehu’ wake, kipindi akiwa madarakani hakukuwa na hizi vita. Huu ni ukweli, hata kama haukupendezi.
Chini ya Biden/ Harris, vita kila kona.
Ni vizuri kwenda na hali halisi kuliko hypotheticals.
Israel kuliko kwenda kufanya retaliation nchini Iran mapema leo ambapo imekuwa kituko, ni bora wangekaa kimya, air defenses za Iran zimezuia makombora karibu yote ya Israel.
Vyanzo mbali mbali nchini Iran vinasema hali ni shwari, na jeshi la Iran limesema milipuko iliyosikika ilikuwa ni air defenses za Iran zinazuia makombora hayo.
View: https://www.youtube.com/watch?v=2iouwn8tLv0
Makombora yamezuiliwa kama fataki.
Iron dome imezidiwa na hio mifumo ya Iran Bavar, kumbe iron dome ni jina na kujipigia chapuo na hana kila kitu.
Lakini Yesu hakutumwa ila kwa kondoo 12 ( makabila 12 ya kiyahudi) . Je lako limo?
Hao hao wateule wakampiga vita na kumkana (Yesu) na kuukana Ukiristo. Baadhi ya Waarabu wa Lebanon, Israel iliyotwaa kimaguvu Palestine ndio wakiristo. Natanya na wenzie wanatumia bible wasiotambua kwa maslahi. Hii hali Itaendelea mpaka kondoo waliolala waamke usingizini ndio wateule watapata kichapo cha kweli kama walivyopata tangu na tangu zamani zileee
Uislam sio Uarabu. Uislam ni dini iwe rehma kwa watu wote. Katika uislam hakuna wateule. Hakuna aliyebora awe Mwarabu au sio, awe mweupe awe mweusi wote wana haki sawa mbele ya mola wao. Aliyebora zaidi ni mcha Mungu zaidi. Uteule wa kuabudu taifa la kiyahudi halipo . Sorry wrong number😂😂
Duh! Trump ndo alisababisha Covid? 🤣🤣🤣🤣Ni kweli, aliendeleza tu vita alivyovikuta huko Afghanistan, akapiga mabomu mengi sana Syria, akamuua Qasem Suleimani wa Iran, akawapa silaha nyingi sana Saudi Arabia katika vita vyao dhidi ya Yemen na akazuia Congress kudhibiti hiyo vita.
Tusisahu vita vyake vya Uchumi dhidi ya China na janga la COVID-19 lilivyotokea na kuharibu dunia under his watch.
Yaani vijikombora vinamezwa kwa pamoja kama chura anavyomeza wadudu hivi.😂😂😂Aisee yaani vitu vinashushwa kama maembe ??jaman hizi video ni changu kwa kanisa la mito ya baraka
Huoni aibu aibu ? Toka lini hao wakawa wakimya ? Kama wangefanikiwa kuleta mazara hapa ingekua hapatoshiI
Israel mara nyingi huwa haelezi sana kile alichokifanya, aliepigwa hueleza mwenyewe aseme alichokumbana nacho.
Shida yenu ni kuongolea vitu ambavyo hamjaviona hivyo kuongozwa na hisia. Kwa idadi ya ndege karibia 100 zilizotumika lazima kuna vitu vingi tu vimepigwa. Syria na Iraq pia wamepigwa ila hadi sasa ni video chache sana ambazo zinaonesha ukubwa wa tukio hili.Kusema ukweli kama lengo ni kujibu tu ili aonekane kajibu hilo amefanikiwa kucheza na kuendeleza propaganda zake kwa makondoo kama nyie kwamba amejibu.
Lakini kiuhalisia hata yeye anajua hawezi kuijibu Iran kama atakavyoijibu Syria maana anajua moto utawashwa kwake hadi wapoteane.
Israel amecheza vizuri na wazee wa kumuamini kwa propaganda zake hapo kauwa soo kimtindo.
Cheap propaganda where we're you when Israel was attacked on October 7?Jesus wouldn't approve of what these Zionist savages are doing, it's against Christian values. They don't care if they are killing Christian or Muslims. We are all scum to them.