Iran: Milipuko ilisikika mjini Tehran huku Israel ikithibitisha mashambulizi

Iran: Milipuko ilisikika mjini Tehran huku Israel ikithibitisha mashambulizi

Israel anataka kuwapa moyo wale wanaomini ni taifa la Mungu .... 😀 😀 😀 Naangalia hapa Terhan hakuna shelters watu wanatembea hawana wasiwasi ....Zero targets.
Wakianza kuwaua msije kusema Mayahudi makatili
 
Yalirushwa mengi yamendunguliwa.

Leo nimeona hata wanasambaza video IDF speakman wanasema wamemaliza operation Lebanon kwa sababu ya heavy loss.
Kumbe ni video ya kuedit.

Inawezekana hata hakuna bomu lolote lililorushwa Iran.
Propaganda ni nyingi sana
Hawana uwezo huo kama watu wanavyojua , wanachowin ni kimoja tu , kutumia mamluki kuwaua viongozi ila hawana uwezo wa kupigana moja kwa moja .

Israel hasa waziri mkuu anapata msukumo kutoka nje ili kulinda heshima ya wale wanaoamini ni taifa la Mungu ...Ila Iran anaweza kuifuta ndani ya lisaa kwa sababu ni sehemu ndogo ila shia sio wajinga kuwaua watu wasiokuwa na hatia .

Kiufupi wanapiga millitary sites wanaonesha kwamba wanaweza kufanya chochote .
 
Hapo Kuna mawili Wenda hakuna shambulio lolote. Wenda ni propaganda zimetengenezwa na wao pro Iran.

Maana Kuna kitaarifa kimesambaa kuwa IDF wameacha operation Lebanon kumbe ni fake news. Na video ya kuedit
Iran na israel wanafanya maonesho ya silaha zao , wanaoumia ni watoto wa palestina ila hao ni showoff
 
Pamoja na ‘wehu’ wake, kipindi akiwa madarakani hakukuwa na hizi vita. Huu ni ukweli, hata kama haukupendezi.

Chini ya Biden/ Harris, vita kila kona.

Ni vizuri kwenda na hali halisi kuliko hypotheticals.
Ni kweli, aliendeleza tu vita alivyovikuta huko Afghanistan, akapiga mabomu mengi sana Syria, akamuua Qasem Suleimani wa Iran, akawapa silaha nyingi sana Saudi Arabia katika vita vyao dhidi ya Yemen na akazuia Congress kudhibiti hiyo vita.

Tusisahu vita vyake vya Uchumi dhidi ya China na janga la COVID-19 lilivyotokea na kuharibu dunia under his watch.
 
Israel kuliko kwenda kufanya retaliation nchini Iran mapema leo ambapo imekuwa kituko, ni bora wangekaa kimya, air defenses za Iran zimezuia makombora karibu yote ya Israel.

Vyanzo mbali mbali nchini Iran vinasema hali ni shwari, na jeshi la Iran limesema milipuko iliyosikika ilikuwa ni air defenses za Iran zinazuia makombora hayo.

View: https://www.youtube.com/watch?v=2iouwn8tLv0

Makombora yamezuiliwa kama fataki.
Iron dome imezidiwa na hio mifumo ya Iran Bavar, kumbe iron dome ni jina na kujipigia chapuo na hana kila kitu.

Niko natazama habari sasa hivi from Iran naona maisha yanaendelea wanasema milipuko iliyosikika ni 3 tehran tu na nuclear facilities hazipata mashambulizi yoyote na pia milipuko michahce nje ya tehran ila maisha yanaendelea kama kawaida hakuna madhara makubwa.
 
Lakini Yesu hakutumwa ila kwa kondoo 12 ( makabila 12 ya kiyahudi) . Je lako limo?
Hao hao wateule wakampiga vita na kumkana (Yesu) na kuukana Ukiristo. Baadhi ya Waarabu wa Lebanon, Israel iliyotwaa kimaguvu Palestine ndio wakiristo. Natanya na wenzie wanatumia bible wasiotambua kwa maslahi. Hii hali Itaendelea mpaka kondoo waliolala waamke usingizini ndio wateule watapata kichapo cha kweli kama walivyopata tangu na tangu zamani zileee

Uislam sio Uarabu. Uislam ni dini iwe rehma kwa watu wote. Katika uislam hakuna wateule. Hakuna aliyebora awe Mwarabu au sio, awe mweupe awe mweusi wote wana haki sawa mbele ya mola wao. Aliyebora zaidi ni mcha Mungu zaidi. Uteule wa kuabudu taifa la kiyahudi halipo . Sorry wrong number😂😂
 
Ni kweli, aliendeleza tu vita alivyovikuta huko Afghanistan, akapiga mabomu mengi sana Syria, akamuua Qasem Suleimani wa Iran, akawapa silaha nyingi sana Saudi Arabia katika vita vyao dhidi ya Yemen na akazuia Congress kudhibiti hiyo vita.

Tusisahu vita vyake vya Uchumi dhidi ya China na janga la COVID-19 lilivyotokea na kuharibu dunia under his watch.
Duh! Trump ndo alisababisha Covid? 🤣🤣🤣🤣
 
Aisee yaani vitu vinashushwa kama maembe ??jaman hizi video ni changu kwa kanisa la mito ya baraka
Yaani vijikombora vinamezwa kwa pamoja kama chura anavyomeza wadudu hivi.😂😂😂

Muajemi hoyeeee. Hapa sasa ndiyo dunia itaamini kwanini Iran ni mbabe maana wamejionea jinsi anga ilivyo salama wasalimini kwa mfumo imara kabisa wa ulinzi.
 
Baada ya awali kusambaza picha fake za mashambulizi ya Israel ndani ya Iran za miaka mitatu nyuma
20241026_070728.jpg


hatimae video za mashambulizi ya ndege za Israel

zimeanza kuonekana
 
Kusema ukweli kama lengo ni kujibu tu ili aonekane kajibu hilo amefanikiwa kucheza na kuendeleza propaganda zake kwa makondoo kama nyie kwamba amejibu.

Lakini kiuhalisia hata yeye anajua hawezi kuijibu Iran kama atakavyoijibu Syria maana anajua moto utawashwa kwake hadi wapoteane.

Israel amecheza vizuri na wazee wa kumuamini kwa propaganda zake hapo kauwa soo kimtindo.
Shida yenu ni kuongolea vitu ambavyo hamjaviona hivyo kuongozwa na hisia. Kwa idadi ya ndege karibia 100 zilizotumika lazima kuna vitu vingi tu vimepigwa. Syria na Iraq pia wamepigwa ila hadi sasa ni video chache sana ambazo zinaonesha ukubwa wa tukio hili.
 
Jesus wouldn't approve of what these Zionist savages are doing, it's against Christian values. They don't care if they are killing Christian or Muslims. We are all scum to them.
Cheap propaganda where we're you when Israel was attacked on October 7?
 
Back
Top Bottom