Iran: Milipuko ilisikika mjini Tehran huku Israel ikithibitisha mashambulizi

Iran: Milipuko ilisikika mjini Tehran huku Israel ikithibitisha mashambulizi

Mlisema Israel hawezi kuthubutu kujibu lile shambulizi la Iran kwa kurusha hata kombora 1, sasa amerusha ndege chache tu mmeanza tantarila zingine huku mkisahau kauli yenu ya mwanzo.

Halafu kushambulia Nuclear bases siyo jambo dogo mjue.Hiyo tayari itageuka kuwa World War III. Israel inajua athari zake zitakuwa kubwa sana. Hata huyo Iran anajua Israel ina nuclear, kwanini nayeye hapigi nuclear bases za Israel? Mnafikiri ni masihara eeeeh?
USA HUYO SIYO ISRAEL KAMA ISRAEL
 
Yes. I'm Christian.
No, the Israel are predominately Jewish and Palestinians are Muslims and Christians.

So why are you talking about Jesus, Didnt He say there will be wars and rumors of wars. Au war ni kuimbiana nyimbo?

Hii ni vita between Israel and Iran. Jews christians and muslimus ni ushabiki tu.

Christians kills each, so as muslims. why Jesus in this one?
 
Video za Beirut bro , pigeni kweli sio mnacheza
Iran amepigwa usiku wa leo mkuu!
IMG_20241026_083648_209.jpg
 
Mpumbavu mkubwa wewe yaan tukuamini wewe kama nani?
Eti mniamini kuna mazungumzo
Israel hajadiliani na magaid
Dawa ya mshenzi ni kumpelekea motooo hasaa
Nadhani una tatizo la BP ,Kisukari na mgogoro wa ndoa. Kuna jirani yangu naye kitu kidogo utasikia " Mpumbavu Mkubwa wewe"
 
Iran mkubwa wewe , hapo ndio utaona israel hana uwezo 😀 😀 😀


Iran yaani mashia wana huruma ila wakiamua wanafanya atrocities pale Israel mpaka mtabaddilisha maandiko kweny vitabu vyenu .
Iran wenyewe wanakiri kwamba imetokea "minor damage " hiyo pekee inatosha maana wajuzi tunaelewa mara nyingi lazima ufiche taarifa kuondoa hofu kwa wananchi.
 
Mfumo wa ulinzi wa Irani upo vizuri
Iran ilijizatiti kwa mifumo ya urussi miaka mingi sana na sasa anazidi kununua na kuboresha ya kwake ...iran imeajiri mainjinia wa siraha kutoka urusi mia 600 na china 200 wanafanya kazi usiku na mchana na inatumia fedha kupata technology yoyote inayo itska duniani
 
Netanyahu anachofanya ni kujitafutia matatizo, hapo alipo kwake amekimbia kwa kukoswa na drone la hezbollah lililopiga nyumba yake, haijulikani anaishi lodge au hostel halafu bado anachokoza tena Tehran.

Lakini IDF waesema wanalenga military targets, hawezi kuleta ule usenge wake kwenda kupiga raia, tena hapo USA kawaambia msithubutu kuua raia yeyote wa Iran, kupiga visima vya mafuta ama nuclear facilities...

Ninasoma muda huu USA inasema haihusiki na mashambulizi nchini Iran...🤣
Alichofanya Iran Kwa Israel ilikuwa siyo kujitafutia balaa?. Israel kihistoria ni taifa la visasi na likuwa lazima watalipiza tu.
 
Back
Top Bottom