Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Umendika upuuzi mtupu kwenye hili gazeti lako refu sana, sina muda wa kujipu utopolo wako wote ila nitakujibu upuuzi namba (1) tu kwa data kukuthibitishia ulivyo kilaza.
Haya hapa ndio mataifa makubwa ya uchumi mashariki ya kati kwa kipimo cha GDP
1.Saudi Arabia-USD billion 700
2. UAE- USD billion 421
3.Israel- USD billion 402
4.Misri-USD billion 363
5.Iran-USD billion 191
Haya hapa ndio mataifa makubwa ya uchumi mashariki ya kati kwa kipimo cha GDP
1.Saudi Arabia-USD billion 700
2. UAE- USD billion 421
3.Israel- USD billion 402
4.Misri-USD billion 363
5.Iran-USD billion 191
Ww jamaa huwa unajifanyaga mjuaji lakini ni bonge la kilaza.
Kabla ya kuiponda Iran kuwa haiwezi kitu zaidi ya silaha je nchi yako ina uwezo wa kutengeneza hizo silaha ili tunone kama ni rahisi?
Ngoja nikuelimishe kidogo maana ww ni kilaza uliye jivika ujuaji wa kipuuzi.
(1)Iran ni nchi ya pili kwanguvu za kiuchumi katika eneo la mashariki ya kati ikitanguliwa na Saudia arabia huku kidunia ikiwa nafasi ya 21.
(2)Iran ndio taifa lenye nguvu za kiviwanda kuliko mataifa yote mashariki ya kati ikifuatiwa na Israel huku kidunia likishika nafasi ya 22.
(3) Iran ndio taifa lenye nguvu za kijeshi kuliko yote hapo mashariki ya kati ikifuatiwa na Israel uku kidunia likishika nafasi ya 13.
(4) Asilimia 80 ya magari na pikipiki zinazo tumika ndani ya Iran kwenyewe , Syria ,Iraq na Yemen yanatengenezwa nchini Iran, hata oman ni muagizaji mkubwa wa pikipiki kutoka Iran ila sio kwa kiwango kikubwa kama nchi hizo zingine nilizo zitaja.
(5)Asilimia 90 ya madawa yanayo tumika nchini Iran wanajitengenezea wenyewe.
(5)Iran ni mtengenezaji na msambazaji mkubwa wa mazuria ya kuvutia ulimwenguni.
(6)Iran ukubwa wake kieneo ni kubwa kuliko Tz na Uganda ukiziunganisha kwa pamoja lakini imejenga mtandao wa mkubwa wa reli wa trein za umeme nchi nzima, ww nchi yako imeshindwa hata kumaliza kipande cha Dar to moro.
(7) Iran inazalisha umeme wa megawatt zaidi ya (80,000) wakati nchi yako ndio kwanza ina 1400.
(8)Iran amefanya uwekezaji mkubwa kwenye kilimo na ndio maana hujawahi kusikia kuna njaa pamoja na kwamba nchi yao ni jangwa.
Hiyo ni kwa uchache tu.
Punguza ujuaji wa kipuuzi kwa mambo usio kuwa na ufahamu nao maana utaonekana kituko.