Iran ni nchi ya maajabu sana

Iran ni nchi ya maajabu sana

ni nchi ambayo iliweka misingi imala ya UONGOZI
Asikwambie mtu DEMOCRASIA inadumaza

ukitaka nchi yako ifanikiwe na ipige HATUA achana na DEMOCRASIA
DEMOCRASIA ni mtego mbaya wa WESTERN
ili kuendelea kukutawala na kukididimiza
CHINA ingekuwa imefuata huo upuuzi isingefika pele ilipo same na IRAN pia

hata ULAYA na AMERICA iliichukua mamia ya miaka mpk kuja kuwa na SERA ya DEMOCRASIA baada kuwa imejengeka na wamekuwa IMARA

Ndio maana hatahapa NCHINI kwetu tunahitaji RAISI mwenye kariba ya HAYATI MAGUFURI Ili kusonga mbele
DEMOCRASIA kwangu mimi ni ADUI mkubwa kwa MATAIFA yanayoendelea kama hapa NCHIN kwetu
DEMOCRASIA kwangu mimi ni ADUI mkubwa kwa MATAIFA yanayoendelea

Nakazia MKUU
 
Mwenye akili na mfuatiliaji kuhusu Iran anajua kwanini anachungwa sana na kuzuiwa kufanya mengi na hata vikwazo vingi kuwekewa

Iran ana wataalamu wengi sana na ni akili kubwa
Amejiwekeza kwenye maendeleo na kutengeneza silaha mwenyewe kama wazungu wanavyofanya kwa nchi zao

Woga wa wazungu uliwafanya watafute nchi itakayopigana na Iran kwa kuwa tu wanaogopa ipo siku ataishika Saudia
Na Saudia ni kibaraka wa wazungu huku akiwauzia mafuta na wao wakijenga nchi za GCC kwa kupata ukandarasi wote

Hapo wakamshawishi Iraq aingie vita ya bila kichwa wala miguu kwenye mto wa Shat Al Arab ambapo kwa bahati nilikuwa huko na kushuhudia vita zote mbili, hiyo ya 1980 na uvamizi tena wa Iraq huko Kuwait 1990

Iran wana wataalamu wengi sana wa masuala ya utengenezaji wa silaha na mengine mengi ila wanaogopwa sana eti kwa usalama wa ME lakini ukweli ni kuwa wanaemlinda ni Israel

Bora na sisi tuanze kununua silaha za Iran kama Rifles zao za Fajr
Wako vizuri kwa nyanja nyingi na wanatengeneza silaha nyingi sana za maangamizi ambapo kuna wengi humu watashangaa na hata kupinga kuwa jamaa yuko vizuri sana

List ya silaha anayotengeneza Iran ni ndefu sana yaani kama ningekuwa na uwezo wa kupata hata tenda ya kuanza na military uniforms tu halafu taratibu nikaanza kuuwauzia silaha hata bunduki 1000 tu kwa kuanzia

Kuna fursa duniani ila tumekazana za [emoji631] na [emoji636] tu huu ni utumwa na hautaisha
Tuna safari ndefu sana
Kuna fursa duniani ila tumekazana za [emoji631] na [emoji636] tu huu ni utumwa na hautaisha
Tuna safari ndefu sana

Nakazia
 
Ni hawa hawa Iran wenye uwezo wa kuifuta Isreal kwenye uso wa dunia kwa maneno ya mdomoni, usifanye mchezo na taifa la kiyahudi, level yao ni juu mara mia zaidi ya binadamu mwingine yoyote anayeishi duniani....Israel is blessed.
Kwenye ubora wako muyahudi Wa buza
 
Ndo hapo sasa wao ni taifa teule, yaani kuumiza kichwa juu yao ni kujisumbua........kuipoteza israel kwenye uso wa dunia ni sawa na dunia kufikia tamati. Maana Mungu hawezi kufanya jambo duniani bila uwepo wa taifa la Israel, yaani ni lango lake kwa jambo linalotakiwa lifanyike au litokee duniani.

Wayahudi wa Buza mnatia huruma..

Kabla ya mwaka 1947...huyo Mungu wa Hilo Taifa teule hakuwepo?..wakati Hitler anawakaanga nakuwaweka kwenye kambi huyo Mungu wao hakuwepo?...

So dunia inaanza na kuna mataifa Yana miaka zaidi ya elfu moja...mataifa Kama Ethiopia yapo miaka zaidi ya elfu moja...halafu kataifa kanaundwa mwaka 1947 baada ya kuuwawa ovyo ovyo Kwa huruma ya UN na USA kuweka ubavu ndo Leo unakaita kanaiongoza dunia?

Wayahudi wa Buza hamtumii logic kabisa
 
Wakuu nataka nifanye namuna nikavute toto moja la kiajemi nioe nimlete bongo apo naamini watoto wangu watakuwa na maakili yani watawaza mambo za kinyuklia nyuklia tu
 
ni nchi ambayo iliweka misingi imala ya UONGOZI
Asikwambie mtu DEMOCRASIA inadumaza

ukitaka nchi yako ifanikiwe na ipige HATUA achana na DEMOCRASIA
DEMOCRASIA ni mtego mbaya wa WESTERN
ili kuendelea kukutawala na kukididimiza
CHINA ingekuwa imefuata huo upuuzi isingefika pele ilipo same na IRAN pia

hata ULAYA na AMERICA iliichukua mamia ya miaka mpk kuja kuwa na SERA ya DEMOCRASIA baada kuwa imejengeka na wamekuwa IMARA

Ndio maana hatahapa NCHINI kwetu tunahitaji RAISI mwenye kariba ya HAYATI MAGUFURI Ili kusonga mbele
DEMOCRASIA kwangu mimi ni ADUI mkubwa kwa MATAIFA yanayoendelea kama hapa NCHIN kwetu
Ujinga mtupu. Na wajinga wakijadiliana matokeo yake ni kuwa na jamii pana ya mambumbumbu
 
Ondoa hizi takataka zako hapa, unajionyesha jinsi ulivyo kilaza na kuzidi kujiaibisha tu.
Acha uzuzu weka data zako na ww ili tuzione mjinga ww.

Aliye andika takataka ni nani kati yangu niliye leta data za kiuchumi kiuchumi kwa mujibu wa benki ya dunia na ww unaye toa kichwani mwako?

Sasa ngoja nikutaalifu lingine ili uendelee kuumia na ikiwezekana ujinyonge kabisa kwa mujibu wa benki ya IMF mwaka 2022 uchumi wa Iran umeupiku uchumi wa Argentina.

Umezoea kupotosha watu kwa kujifanya unajua kila kitu ni tahakikisha na kudhibiti.
 
Wayahudi wa Buza mnatia huruma..

Kabla ya mwaka 1947...huyo Mungu wa Hilo Taifa teule hakuwepo?..wakati Hitler anawakaanga nakuwaweka kwenye kambi huyo Mungu wao hakuwepo?...

So dunia inaanza na kuna mataifa Yana miaka zaidi ya elfu moja...mataifa Kama Ethiopia yapo miaka zaidi ya elfu moja...halafu kataifa kanaundwa mwaka 1947 baada ya kuuwawa ovyo ovyo Kwa huruma ya UN na USA kuweka ubavu ndo Leo unakaita kanaiongoza dunia?

Wayahudi wa Buza hamtumii logic kabisa
Nimeshaeleza, Israel huwa wanapitia vipindi ambavyo wanakuwa kwenye adhabu toka kwa Mungu, tatizo unataka kubishana na mimi.......kama una access ni biblia soma kwa kina utaelewa chanzo cha hilo taifa na unabii wake hadi mwisho wa nyakati, ukibishana na mimi unapoteza energy bure.....,.
 
Wakuu nataka nifanye namuna nikavute toto moja la kiajemi nioe nimlete bongo apo naamini watoto wangu watakuwa na maakili yani watawaza mambo za kinyuklia nyuklia tu
Kwa waajemi sina uhakika, ila ungekuwa unataka kuowa myahudi ungempata fasta, maana tumewajaza humu wayahudi wa buza 😂😂😂, na ndio wengi walio comment humu kuwatetea wayahudi wenzao, na wakati thread hii inahusu waajemi.
 
Ni hawa hawa Iran wenye uwezo wa kuifuta Isreal kwenye uso wa dunia kwa maneno ya mdomoni, usifanye mchezo na taifa la kiyahudi, level yao ni juu mara mia zaidi ya binadamu mwingine yoyote anayeishi duniani....Israel is blessed.
Aise
 
Back
Top Bottom