6 Pack
JF-Expert Member
- Apr 17, 2022
- 2,819
- 5,996
- Thread starter
- #261
Bado umerudia utumbo ule ule ulioandika juu. Ni kweli kama mfano wako unavyojieleza hapo juu kuwa chizi au hata mlevi humuona mtu mzima ndio chizi au mlevi.Mkuu mtu akikusikiliza anaweza akasema unaakili kumbe akili zako zinasoma kurudi nyuma[emoji23][emoji23][emoji23]Kweli kuna machizi wenye IQ
Hujaeleza ilikuaje US ikawa inapeleka hizo ela Israel?? na hujui hadi leo kwann?? (so usibwabwaje usichokijua)
Kati ya waarabu na waisrael wapi wapo wengi ulaya na US ?? kwann sasa hzo hela haziendi nchi za kiarabu
Eti kama taifa teule kwann wanashinikiza vikwazo!!?? bado hujui
Adui mwombee njaaa (nadhani hii nayo huijui)
Ushindi upo katka kumdhoofisha adui na si kumuacha akue. Hakikisha unammaliza adui kabisa kabisa (kasome 48rules of power)
Israel inatumia slogan hii
“if the enemy want to kill you, wake up and kill him first”
ukielewa hapa hutaandika uo ujinga ulioandika siku nyingine
Mimi hoja yangu ilikuwa kuiongelea Iran kuendelea kuwa na nguvu na tishio kwa Israel pamoja na wazazi wake Marekani, UK nk licha ya kuwekewa vikwazo lukuki na lengo la kuidhoofisha kwa miaka zaidi ya 70, lakini bado nchi hiyo imeendelea kuwa imara na tishio kama vile haina kikwazo hata kimoja.
Sasa hayo mambo ya ilikuaje Israel ikapeleka misaada Israel na kwanini hayanihusu mimi kwa sababu sikuanzisha mada kuzungumzia hizo sababu za Marekani kupeleka misaada Israel.
Ila kama ilivyo ada mtu ukianzisha mada watu mbali mbali huchangia kwa namna wanavyoelewa, hivyo wewe ndio ulitakiwa kuandika kile unachoelewa kama unaona kuna jambo nimeandika limekutia mashaka. Tena uwe na fact na sio porojo za kulishwa wayahudi wa chato.
Alafu ulipoandika kuwa kwanini hiyo misaada ya Marekani isiende katika nchi za kiarabu hapo ndo nilipokuona wewe ni mweupe. Huenda unaendeshwa na mihemko ya kiuyahudi mweusi. Bila shaka kwa akili zako fupi unajua na kufikiri kuwa Iran ni waarab. So kuendelea kujadiliana na mtu usiejua hata race za dunia hii ni sawa na kupoteza muda bure. Maana mimi najadili kielimu, kihistoria na ki ushahidi. Wewe mwenzangu unajadili kiyahudi, kimihemko na mbaya zaidi haujui hata utofauti mdogo wa race za watu duniani.
Pole sana mkuu. Dunia hii usipofungua macho na akili, utamezeshwa kila aina ya ujinga na watu wenye malengo yao ambayo wewe huyafahamu.