Iran ni nchi ya maajabu sana

Umendika upuuzi mtupu kwenye hili gazeti lako refu sana, sina muda wa kujipu utopolo wako wote ila nitakujibu upuuzi namba (1) tu kwa data kukuthibitishia ulivyo kilaza.

Haya hapa ndio mataifa makubwa ya uchumi mashariki ya kati kwa kipimo cha GDP
1.Saudi Arabia-USD billion 700
2. UAE- USD billion 421
3.Israel- USD billion 402
4.Misri-USD billion 363
5.Iran-USD billion 191
 
Ni hawa hawa Iran wenye uwezo wa kuifuta Isreal kwenye uso wa dunia kwa maneno ya mdomoni, usifanye mchezo na taifa la kiyahudi, level yao ni juu mara mia zaidi ya binadamu mwingine yoyote anayeishi duniani....Israel is blessed.
Huyuhuyu myahudi kila mwaka bajet yake anategemea msaada wa usa na west?
 
Popoma katika ubora wake
 
Yaan israel ndo nchi yenye nguvu dunian? Kisha tukija upande wa uhalisia hiyo nchi yenye nguvu ndo inapewa msaada na nchi inazozizidi nguvu! Hata km ni ujinga wa kwako umezidi
 
Hebu tutolee ujinga wako hapa huoni hata aibu kuweka huo utopolo hapa.

Hivi una tuona ni vilaza kama ww?

Ww hizo takwimu umezitoa wapi?

Tangu lini Israel na UAE wakawa na uchumi mkubwa kuizidi Iran?

Kwa mujibu wa takwimu za kiuchumi zilizo tolewa na benki ya dunia mwaka 2021 Iran ilikuwa na GDP ya billion 440$ alafu ww una tuletea utopolo hapa.

Kwa mujibu wa takwimu za benki ya dunia mwaka 2021 kuhusu uchumi kwenye eneo la mashariki ya kati.

(1) Saudia arabia GDP 710$ billion

(2) Iran GDP 440$ billion.

(3)UAE GDP 270$billion.

(4) ISRAEL GDP 215$bilion

Hizi ni takwimu za benki ya dunia za mwaka 2021 sasa ww una tuletea utopolo gani hapa?
 
Libya ilikuwa hivyo kosa alilofanya Ghadafi ni kuingia kwenye mtego wa marekani!
Walibya hawakuwa na uwezo wa kutengeneza silaha zao wenyew, bali walikuwa wananunua kutoka nje, ndo maana ilivyowekewa vikwazo kidogo tu Libya chali πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hizi hapa data za uchumi wa Israel na Iran mwaka huu.
Acha tabia ya kupotosha watu.
 
Huyu jamaa ni kilaza usibishane naye
 
Naona haujasoma uzi, bali umekimbilia kujaza maswali katika uzi na kujijibu mwenyewe. Laiti ungetumia akili kusoma thread na kuielewa, basi usingeuliza swali hili ambalo limeshajibiwa na thread yangu tayari.

Bila shaka wew ni mmoja wa wayahudi wa buza ambao mmezungumziwa na raisi wa China hapo chini. Ikitajwa Israel mnakua na uchungu kuliko wa Israel wenyew πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Attachments

  • Screenshot_20221024-214325.jpg
    68.1 KB · Views: 5
ankoo embu tua mzigo wa ujinga basi kidogo...
Mwenzio anaamini kwamb akiitetea Israel kwa hali na mali basi na yeye atapachikwa kwenye yale makabila 12 ya wateule.

Dah kweli hakuna ulevi mbaya kama wa dini, tena ambayo mtu umeiamini kwa kusoma tu vitabu vilivyoandikwa na watu kama vile mimi, wewe na yeye πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Attachments

  • Screenshot_20221024-214325.jpg
    68.1 KB · Views: 5
Ngoja ujidanganye....na wakati mafuta yao ndo kiburi,

Tunaelekea kutumia magari na treni za umeme watakoma.

Wape salam middle east yote, waambie ugaidi mwishoooooo
 
Basi mkuu mkusamehe. Mwenzio hajui afu hajijui kama hajui, ukiendelea kumpa za uso namna hii utamuaibisha hapa JF hadi atakuwa anashindwa kuingia tena kuchangia.

Msamehe, maana inaonesha wazi kijana hana analojua.
 
Kuna mambo yanataka tu common sense na wala sio google wala article yoyote...bila hiyo siraha kila siku utaambiwa vitu na kusoma mambo ambayo hayana ukweli
 
Waliamua kufanya kila kitu kwa namna mpya baada ya kufungwa na vikwazo vya kila namna.
Airforce yao ilikosa vipuri wakaanza kujaribu kutengeneza zao bila shaka watafanikiwa.
Walivyokosa madawa wakaanza kutengeneza viwanda vingi vya madawa na wanafanikiwa.
Walipoona hawana madaktari kiss Hakuna vyuo vya maana vya kidaktari wakaanzisha vyao na wanafanikiwa.
Walipoona Hakuna Tena wa kuwazuia silaha Kama airdefences system, cutting edge aircraft, vifaru nk wakaamua kutengeneza kwa namna yao na wanafanikiwa.
Nb.
Hawa wamefanikiwa wakiwa tayari ni mahasimu wa wamagharibi. Tujifunze Jambo bila kugusa maslahi ya Wamagharibi tuanze nasi kufanya vitu kwa namna za kipekee.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Tatizo la wayahudi wa buza kila jambo linalohusu Iran au Palestina wao wanalichukulia kiimani ya dini, hata kama hakuna uhusian wowote kati ya dini na jambo husika

Mkuu hata huku Chato kuna Wayahudi siku hizi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…