Iran ni nchi ya maajabu sana

Bado umerudia utumbo ule ule ulioandika juu. Ni kweli kama mfano wako unavyojieleza hapo juu kuwa chizi au hata mlevi humuona mtu mzima ndio chizi au mlevi.

Mimi hoja yangu ilikuwa kuiongelea Iran kuendelea kuwa na nguvu na tishio kwa Israel pamoja na wazazi wake Marekani, UK nk licha ya kuwekewa vikwazo lukuki na lengo la kuidhoofisha kwa miaka zaidi ya 70, lakini bado nchi hiyo imeendelea kuwa imara na tishio kama vile haina kikwazo hata kimoja.

Sasa hayo mambo ya ilikuaje Israel ikapeleka misaada Israel na kwanini hayanihusu mimi kwa sababu sikuanzisha mada kuzungumzia hizo sababu za Marekani kupeleka misaada Israel.

Ila kama ilivyo ada mtu ukianzisha mada watu mbali mbali huchangia kwa namna wanavyoelewa, hivyo wewe ndio ulitakiwa kuandika kile unachoelewa kama unaona kuna jambo nimeandika limekutia mashaka. Tena uwe na fact na sio porojo za kulishwa wayahudi wa chato.

Alafu ulipoandika kuwa kwanini hiyo misaada ya Marekani isiende katika nchi za kiarabu hapo ndo nilipokuona wewe ni mweupe. Huenda unaendeshwa na mihemko ya kiuyahudi mweusi. Bila shaka kwa akili zako fupi unajua na kufikiri kuwa Iran ni waarab. So kuendelea kujadiliana na mtu usiejua hata race za dunia hii ni sawa na kupoteza muda bure. Maana mimi najadili kielimu, kihistoria na ki ushahidi. Wewe mwenzangu unajadili kiyahudi, kimihemko na mbaya zaidi haujui hata utofauti mdogo wa race za watu duniani.

Pole sana mkuu. Dunia hii usipofungua macho na akili, utamezeshwa kila aina ya ujinga na watu wenye malengo yao ambayo wewe huyafahamu.
 
Americant hata ondoka Iraq ila atakimbia kama alivyo fanya Afghanistan

Yaani nisuala la muda tuuu
 
Sasa kwani mabilioni ya pesa unavyotaka wewe yaanzie pesa ngapi?

Pia Americant anawapa israhell kwamwaka msaada wazaidi ya billion 3 ama 4 huo ule rasmi bado kuna misaada ambayo wanapewa pewa tu

Bado kuna misaada anayopewa na mataifa mengine kama uk ger Fran Canada nk

Kuna kipindi Fran na ger walimpa israhell nyambizi sita zinatumia nguvu za nyuklia yaani israhell bila msaada hata hio rwanda inakua mbali sana dhidi ya israhell

Sasa ulitaka iran ikiishapigwa vikwazo ikae tu yaani bila kua na plan B kama kwenye mataifa yenu huko

Hapa hoja iran mkuu achana na korea mataifa yenye vikwazo yapo mengi
 
Kwa Middle East Iran ni nchi ya pili kwa kuwa na Wayahudi wengi baada ya Israeli, hivyo usihangae maarifa yao.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Iran imeanza kuwa na nguvu, jeshi bora na imara zaidi ya miaka 2000, kabla hata huyo mungu wa kiyahudi hajawambia kuwa wao watakuwa bora duniani, kabla hata hawajachukuliwa kizembe na Farao, kabla hata hawajateswa na kutawaliwa kijinga na waroma, kabla hata hawajatawaliwa na kuendeshwa na Ottoman Empire.

Iran ni moja kati ya nchi zilizotawala Israel kabla ya waroma kuingia Israel. Hivyo ni lazima jeshi lao lilibaka, lili waowa waisrael wazuri na kuacha watoto wao huko kama walivyofanya baadhi ya wazungu walivyokuja Africa, hivyo usishangae kuwa wairan waliacha vizazi vyao huko Israel ambavyo leo ndio vinaifanya Israel kuonekana wana nguvu na uwezo wa kijeshi. Kumbuka mtoto wa nyoka ni nyoka na vilevile maji hayaachi asili ndomaana mpaka leo Obama bado anajiona kuwa ni Mkenya japo ana uraia wa Marekani na tayari ashawahi kuwa raisi wa taifa hilo kubwa.

Hao wayahudi waliopo Iran ni vizazi vyao vilivyorudi baada ya utawala wao kuisha huko Israel.

Jaribu kuoongea na akili yako iache mihemko ili ujifunze mambo ya maana kwa uhuru zaidi na ufaidike kupitia historia unayosoma. So kwa vile mtu fulan kakumezesha uongo basi unaogopa kuutafuta ukweli nje ya uongo wake.
 

Attachments

  • Screenshot_20240112-134009.jpg
    94.6 KB · Views: 3
Americant hata ondoka Iraq ila atakimbia kama alivyo fanya Afghanistan

Yaani nisuala la muda tuuu
Pale Iraq serikali ikijielewa na kuamua kushirikiana na Iran kufanya jambo. Basi uwezekano wa Marekani kukimbilia ni mkubwa sana kama ilivyokuwa kule Afghanistan.
 
Nimeshampa za uso huko juu, naona kanikimbia 😂😂😂
 
Pale Iraq serikali ikijielewa na kuamua kushirikiana na Iran kufanya jambo. Basi uwezekano wa Marekani kukimbilia ni mkubwa sana kama ilivyokuwa kule Afghanistan.
Pale sirikali ishaanza kufunguka juzi ililiongelea hili suala

Ila bado halijawa official yaani lipo chini chini sana bado
 
Mwanzoni niliamini una hoja kumbe ujinga mtupu.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Mleta Uzi umefanya kosa mbaya sana kutaja mafanikio ya nchi ya Iran kwenye baadhi ya nyanja maana walio wengi wanataka kusikia mambo mabaya kuhusu Iran.

Wengi wao wanataka kusikia kile wanacho taka kusikia,wao mfumo wa kimaisha wa Magharibi ndo maisha kinyume na hapo ni makosa.
 
Pale sirikali ishaanza kufunguka juzi ililiongelea hili suala

Ila bado halijawa official yaani lipo chini chini sana bado
Yaa na iwe na nia ya kweli, sio CIA waweke watu wao yani viongozi wa Iraq wenye kutumika na USA wajifanye wanaichukia Marekani pale Iraq na kuipenda Iran kwa lengo la kuwajaza Iran upepo waingie kichwa kichwa kwenye mtego wao.

Lakini nai amini Iran kiintelejensia, haiwezi kuingingia kichwa kichwa katika uhusiano na viongozi wa Iraq bila kufanya kwanza upembuzi wa kutosha ili kujiridhisha kuwa wanafanya dili na watu sahihi au mapandikizi ya Marekani.
 
Tatizo lao wanashindwa kujifunza mambo kupitia hata sarafu mbali mbali duniani. Kila sarafu ina pande mbili tofauti, na kila upande unakuwa na maana yake.

Hivyo hata katika haya mambo kuna pande mbili ambazo moja ni ya kwao na wamagharibi wao na upande mwingine ni wa sisi wazee wa haki ambao ambao hatuangalii umagharibi, bali tunaangalia haki na facts.
 
Ukiwa na maadui wengi huhitaji kitanda,ila unahitaji mawe mengi ili uweke godoro juu yake.
 
Waarabu wangeiga hawa jamaa ..waarabu hasa wa saudia ni watu waioweza kuumiza kichwa kabisa kuhusu kutengeneza vitu vyao wenyewe na West ndo wanapenda watu wa namna hii ..iran licha ya vikwazo ni taifa linaibuka kwa kutengeenza vitu vyao wennyewe
 
Waarabu wangeiga hawa jamaa ..waarabu hasa wa saudia ni watu waioweza kuumiza kichwa kabisa kuhusu kutengeneza vitu vyao wenyewe na West ndo wanapenda watu wa namna hii ..iran licha ya vikwazo ni taifa linaibuka kwa kutengeenza vitu vyao wennyewe
Asilimia 98 ya viongozi wa kiarabu ni wapumbavu sana. Ndiomaana kila siku wazungu wanacheza na akili zao tu.

Utawala wa Saudia uliwekwa na nchi za magharibi ili kusaidia kulinda masilahi yao, ndiomaana mpaka leo hata sindano ya kushonea nguo, au sandrozi wanazovaa zinatoka Ulaya na Marekani.
 
Aina uwezo wowote kama mifumo yake ya satelite ipo mikononi mw israel VIONGOZI WAKE WANAULIWA KAMA KUKU UNAWASIFIA UPUZI UPUZI UMESHIBA MAKANDE WENZAKO WANAKUFA KAMA VIPANYA
 
Aina uwezo wowote kama mifumo yake ya satelite ipo mikononi mw israel VIONGOZI WAKE WANAULIWA KAMA KUKU UNAWASIFIA UPUZI UPUZI UMESHIBA MAKANDE WENZAKO WANAKUFA KAMA VIPANYA
Jamii ya Iran ina wayahudi takribani laki 8. Kutokea mapandikizi kwao ni kitu cha kawaida.

Ni kama USSR, baada ya Stalin kuwa rais alikuta Shirika la kijasusi limejaa wayahudi ambao walikuwa wafuasi wa rais wa Leon Trotsky na Lenin. Aliwaondoa taratibu mpaka mambo yakawa shwari.

Kwa kesi ya Iran nayo ipo namna hiyo! Kuna waajemi wayahudi na kwa namna hiyo mambo ya kuvuja siri ni kitu kinachowezekana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…