Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Kwamba hata lile la Iran dhidi ya wazayuni lilileta athari amaKama shambulizi halijafanya uharibifu, Kwanini Irani watake kulipa tena kisasi?
Hili swali gumu sana kwa mwendawazimu kulijibu kwa ufasaha.
Mkuu utaumiza kichwa hawa walokole wengi wao ni mashabiki mandazi.Unaelewa hata maana ya significant!?
Significant is synonymous to sufficient.
Inamaana idadi kubwa ya makombora imedunguliwa.
Unaleta kitu hata hufahamu maana yake.
Mbona unajichanganya bro!?
Balestic ibm ndio nini!?
Iran ilirusha cruise na ballistic missiles za medium range tena light weight missiles.
Ndege 100 zinatosha kufanya uharibifu mkubwa sana.
Ile Gaza tu imeharibiwa na ndege zisizozidi hata tano.Ila ona ilivyoharibika.
Leo hii ndege 100 zifanye shambulio litoke outcome ndogo namna ile!?
Yeye mwenyewe anapewa silaha na Iran 🇮🇷Mrusi yupo Kibiashara tu... yeye mwenyewe kwake ana vita...
Safi habari njema sanaaa
This is the only language that Israel understands. If they get killed at least they will know how it feels
Kwani israhell alikuoneshaKwahiyo Iran atakuonyesha kilichoharibika wewe sio
Hata picha za satellite hakuna teh teh tehIsrael ni democratic country mzee usilinganishe na hao makobazi kila kitu ni kuficha. Wangekuonyesha hizo betri zilivyoungua tuone kama hakuna maafa kweli. Jamaa walifunga anga lakini kichapo wamepewa na onyo juu kama mwanaume arudie kurusha mavyuma yake. Na kichapo kinaendelea Lebanon Syria Iraq Yemen na Gaza kwa wakat mmoja. Nani kidume hapo sasa.
Lebanon nguruwe za kizayuni zinachinjwa kama mishkakiUache uongo kaka unaongea na mtu mzima.
Kama Israel ni democratic kwanini imemfunga mwandishi wa habari wa USA aliyepost picha za kambi kulipuliwa!??
Kama Israel is democratic kwanini ilifungia waandishi wa habari kuripoti!?
Kama isingekua msaada wa simu za raia wa Westbank na Israel kwenyewe basi tusingeweza kuona lile shambulio la Iran ndani ya Israel.
Pia usisahau kuwa Israel akishambulia Syria na Lebanon huwa anatuma video,cha kusangaza shambulio hili zinasambaa staged videos and photos.
Hata hao CNN na BBC na vyombo vingine hawana cha kutangaza na wanao correspondent ndani ya Tehran.
BBC iko operational ndani ya Tehran ila cha ajabu hatujaona habari yeyote.
Israel ni sawa na a dying horse kicking its last kick.
Lebanon huko pamemshinda hadi askari wanagoma kwenda kupigana.
Kabisa nje na lugha hio mzayuni hayaelewiThis is the only language that Israel understands. If they get killed at least they will know how it feels
Kwa staili hii lazima wakimbie Lebanon. Cha ajabu Israel wako tayari kuua lakini wao hawako tayari kufa, wakiona vifo vingi upande wao wanasema vita vimeshafanikiwa kwa hivyo inatosha wanasitisha.
Ritz zitunze sana hizi comments zako.⚠️
🇺🇸 | "Imechelewa sana kuizuia Iran"
Marekani imekiri kwamba sasa haiwezekani kuizuia Iran kushambulia Israel - Maafisa wakuu wa Marekani
...
Ritz zitunze sana hizi comments zako.
Yahaya tulia basiUnaruhusiwa kujifariji ni free service