IRAN: Tel Aviv iwe tayari tena kwa makombora ya Iran ya kulipiza kisasi

Muda si mrefu Israel anaenda kupasua nuclear sites na visima vya mafuta.
 
Humu jukwaani kuna watu walisema Yahudi hawezi rusha hata jiwe Iran..
 
in fact, israel amesababisha madhara makubwa sana kwenye silaha na bases, ndio maana amekimbilia kusema tayari amelipiza, amemaliza, meaning anajua kwa madhara aliyosababisha iran lazima atataka kujirudishia. bahati mbaya, radar za iran na defence system zimefyekwa, hivyo myahudi sasaivi akitaka anaingia na kutoka bila kuonwa. hata iran awe na makombora namna gani kwa sababu air defence system zake zimesambaratishwa atapigwa kama mtoto mdogo na hatajua kama ndege zinakuja au zinatokea upande gani.
 
Mchambuzi wa masuala ya kivita kutoka Kibongoto.

Yaani wewe unaijua Iran kuliko Wairani wenyewe. Sasa subiri operation True promise 3 ndiyo utajua propaganda za mashog,a hazina nafasi katika dunia ya leo.
 
Muda si mrefu Israel anaenda kupasua nuclear sites na visima vya mafuta.
😂😂 Hatojaribu kufanya kosa hilo la karne vinginevyo Mazayuni wameamua kuifuta rasmi nchi feki iliyobuniwa 1948 na azimio la UN.

Yaani Marekani na ukubwa wake wote hawezi hata kuthubutu kufanya kosa la kiufundi kama hilo sembuse kanchi ombaomba kama Israel?
 
Mi nawashangaa sana nyie watu. Kwanini hamtuoneshi kwa picha na video hayo madhara yaliyofanyika huko Iran?
Wakati Iran anaipiga Israel tarehe 1 mwezi huu tuliona Live moto ukishuka pale Tel avivi je Israel na marekani wanakwama wapi kutoonesha live wakiwasha moto hapo Jana?

Nahitimisha kwa kusema Israel na marekani wamefeli kulipa kisasi kwa Iran hapo Jana .
 
Myahudi Mchambuzi wa siasa za mashariki ya kati kutoka Lindi.

Hizi story huwa mnatoa wapi?
 
Kama yesu akija na hakika nae atalipiza kisasi kwa wayahudi maana si kwa misumari ile
 
Do you believe this boss?
Sasa mara ndege 100 mara few dozens
Huku wanasema kapiga kwa mbali hakuingiza ndege bali jirani
Kwa utandawazi.huu na technology hii
Ngoja na mimi niwe blogger tu wa kuungaunga habari 😄 🤣
Nadhani ukimsikiliza vizuri utagundua kuwa Ndege nyingine zilipewq kazi ya kulipua Radar za Syria Arab Republic zingine zikapewa kazi ya kulipua Radar za Iraq Arab Republic ili kuclear njia na Ndege zingine zikamuingilia Ayatolah.
 
sasa iran angetangaza kwamba atalipiza kisasi kama hakuna madhara ndugu yangu. cha muhimu ni kuomba Mungu wapatane tu, vita sio nzuri, ila kupigwa kapigwa mno. kiwanda chake cha kutengeneza makombora kimekuwa majibu na itachukua si chini ya miaka 2 kusimama, air defence system zote fyekelea mbali, sasaivi hata Tanzania tunaweza kwenda na ndege yetu pale tukapiga na kurudi bila iran kujua kama tunakuja wala kutudungua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…