Iran wameiambia Marekani wakiingilia vita vyao na Israel, tutafunga Ghuba ya Uajemi kama Bahari Nyekundu

Afisa wa Irani aliiambia Al Jazeera: Tuko tayari kwa kiwango cha pili cha majibu kupitia silaha ambazo hazijatumiwa hapo awali katika mzozo na taasisi ya Israeli.
 
Huna unalolijua wee , Sasa Sadam ufananishe na Iran unaakilisawasawa kwel wee!! Sadam alikua anaunda silaha gani huko Iraq? Yani anataka vita anategemea pesa eti anunue silaha kwa wazungu
 
watafunga vipi wakat kutakua hamna nchi inaitwa iran
 
iiulize iraq??
kunataifa lilikua kubwa kama iraq?
Umetaja mfano mzuri.
Hiyo Iraq kipindi ndio taifa kubwa hapo middle east iliivamia Iran na kupigana vita ya miaka 8 lakini Iraq iliomba vita iishe.
Tena mwaka ambao Iraq inaivamia Iran ni mwaka ambao Iran ilikua bado sio imara kijeshi maana ndio kwanza 1979 ilitoka kumpindua Muhammed Shah.
Hivyo ndio ujue Iran ni zaidi ya Iraq.
 
🇮🇱🇮🇷 Kungoja kwa Iran na kuliweka eneo hilo chini ya shinikizo kubwa ni pigo la kwanza kwa Israel ambalo ni la kifedha.

Kushuka kwa kiasi kikubwa kwa soko la hisa jana duniani kote, bila kusahau soko la hisa la Israeli na uchumi.

Israel iko chini ya shinikizo kubwa na inakabiliwa na hasara kubwa ya kiuchumi. Hakuna mtu mwenye akili timamu anayewekeza pesa katika kampuni ya Israel ambayo inaweza kulipuliwa kesho.

Hofu na kutokuwa na uhakika pia vinaathiri biashara zao za nyumbani.

Safari za ndege zimesitishwa, usafiri wa meli umepungua, uagizaji wa bidhaa nje umepungua, sehemu kubwa ya watu wanatafuta njia ya kutoka nje ya nchi angalau hadi hali itulie.

Kaskazini mwa nchi imepooza, kusini huko Eliot imefilisika. Yote hii itaanguka nyuma ya USA, ambayo italazimika kuandaa kifurushi kipya cha msaada.

Ndio maana Iran na Hezbollah zinaendelea kutoa vitisho tu kwa umma. Inawafaa. Vyombo vya habari vya Israel vilitangaza jana kuwa maafisa wa Israel wanafikiria kuanzisha mashambulizi kabla ya kuipa Iran nafasi ya kufanya hivyo. Kusubiri huwaletea pigo kubwa la kifedha.

Nasrallah, kiongozi wa Hizbullah pia alitangaza hivi punde tu kwamba kusubiri majibu ni sehemu ya 'vita vya kisaikolojia na kiuchumi dhidi ya Wazayuni.'
 
Hawana Jipya hao Watu hawaongei ni Vitendo tuu Bado huyu Rais Mpya Apite na Ukungu Mwingine mwakani msimu Wa baridi asitoke Nnje
 
MKUUU NGONJERA ZA TAARABU HIZI

ALIKUFA MJESHI WAO LEBANON WAKAANDIKA KIBAO

WAHUNI WAMEMALIZANA NA MKUU WA HAMAS KWAOO MKUU UNAELEWAA NDAN YA IRAN OOOH

HUU MCHEZO KAAPEMBEN ANGALIA PICHA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…