Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna unalolijua wee , Sasa Sadam ufananishe na Iran unaakilisawasawa kwel wee!! Sadam alikua anaunda silaha gani huko Iraq? Yani anataka vita anategemea pesa eti anunue silaha kwa wazunguKuna utawala uliogofya Middle East kama Saddam regime na uzao wake katili Uday na Qusay?
Yaliyotokea ni historia; dikteta alidakwa mashimoni kama kuku wa mdondo na kuishia kula kitanzi akidhihakiwa na vijana wadogo!
Mnamkumbuka Muamar Gaddafi? Jitu lililoogopeka Afrika yote? Likiishia kusokomezwa vitu vigumu kwenye mitaro na wahuni?
Where is Hosni Mubarak? Who is Ayatollah? Mbona mna akili za kuku hamjifunzi ninyi?
Wanaukumbi.
Mambo yanazidi kuwa mazito Israel walikuwa wanadhani Iran ni kama Gaza.
Vyombo vya Habari vya Israeli: Kwa hatua hii, Wairani walituma ujumbe wazi kwa Amerika. Ukiingilia kati kwa niaba ya Israeli, tutafunga Ghuba ya Uajemi kama Bahari Nyekundu.
View: https://x.com/sprinterfactory/status/1779122945136148708?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
UP DATE.
========================
View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1779237034562879667?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvwb
USHAMBULIAJI WA IRAN KWA ISRAEL
- Zaidi ya ndege 50 zisizo na rubani za Iran zimerushwa kuelekea Israel
- Weka kuchukua saa kadhaa kabla ya kufikia anga ya Israeli
- Shughuli za ndege zisizo na rubani zaonekana juu ya Iraq
- anga ya Iran, Jordan na Israel itafungwa
- Jeshi la Israeli na ulinzi wa anga katika tahadhari ya juu
- Shambulio la kwanza la moja kwa moja la Irani kwenye eneo la Israelic
UP DATE
View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1779251652496637989?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
UP DATE
View: https://x.com/suppressednws/status/1779478174637633539?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Kama kufutika Iran ilitakiwa ifutike 45 years ago.watafunga vipi wakat kutakua hamna nchi inaitwa iran
iiulize iraq??Kama kufutika Iran ilitakiwa ifutike 45 years ago.
Ila kwa sasa Iran ni undisputed.
Kabla hakujakuwa.watafunga vipi wakat kutakua hamna nchi inaitwa iran
Umetaja mfano mzuri.iiulize iraq??
kunataifa lilikua kubwa kama iraq?
🇮🇱🇮🇷 Kungoja kwa Iran na kuliweka eneo hilo chini ya shinikizo kubwa ni pigo la kwanza kwa Israel ambalo ni la kifedha.Umetaja mfano mzuri.
Hiyo Iraq kipindi ndio taifa kubwa hapo middle east iliivamia Iran na kupigana vita ya miaka 8 lakini Iraq iliomba vita iishe.
Tena mwaka ambao Iraq inaivamia Iran ni mwaka ambao Iran ilikua bado sio imara kijeshi maana ndio kwanza 1979 ilitoka kumpindua Muhammed Shah.
Hivyo ndio ujue Iran ni zaidi ya Iraq.