Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Uwe na speed hii hii ya kutupatia habari hadi mwisho.Well done Iran.
BREAKING: RUSSIA TO SUPPORT IRAN ACCORDING TO UNCONFIRMED REPORTSUwe na speed hii hii ya kutupatia habari hadi mwisho.
Hakuna GPS zinaenda kuangukia Gaza kwenye Nyumba ya Yahya Sinwar.BREAKING| Israeli channel 12: The Iranian drones are expected to reach their targets at 2:00 am if they are not downed.
Mabwana zenu wanakimba hukoSawa; endelea kuamini ujinga! Msije kujiliza kama kawaida yenu.
Jordan kashaanza kuwasaliti nyinyi waislam, ameshajua kinachofuataBREAKING: RUSSIA TO SUPPORT IRAN ACCORDING TO UNCONFIRMED REPORTS
Vladimir Putin:
“If the United States makes the slightest attack on Iran's soil in support of Israel, we will also enter the battle in support of Iran.”
THIS NEED TO BE VERIFIED
Source: Instant News Country
Utajua mwisho wa siku umeingiaje, lkn saudi arabia nae ameunga juhudi, egypt ndio kabisa hana neno.Jordan ana nini 🤣🤣 hapo alipo analindwa na Marekani huo ufalme wake raia hawamtaki kila siku maandamano halafu Uislam umeingiaje au wewe Muisrael mweusi😤
Israel akijibu mapigo msianze kupiga kelele kama ilivyotokea gazaBREAKING| Mtaalamu wa kijeshi kwa Mtandao wa Habari wa Quds:
Majibu ya Iran yatakuwa na mawimbi matatu mfululizo:
⭕️Wimbi la kwanza: Inazindua makumi ya ndege zisizo na rubani zinazoongozwa kuelekea eneo la kazi.
⭕️Wimbi la pili: Kurusha ndege zisizo na rubani na kugonga kutoka maeneo ya Iraq, Syria na Lebanon ili kutawanya mifumo ya ulinzi ya Israeli.
⭕️Wimbi la tatu: Kurusha makombora yanayoongozwa.
Unaijua Iran wewe? Iran na Gaza ni kama tembo na nyau. Tulia mashoga zenu watembezewe runguIsrael akijibu mapigo msianze kupiga kelele kama ilivyotokea gaza
Maamaeee silaliii leoBREAKING| Israeli channel 12: The Iranian drones are expected to reach their targets at 2:00 am if they are not downed.
Iran sio Gaza we kichwa panziIsrael akijibu mapigo msianze kupiga kelele kama ilivyotokea gaza