Iran wameiambia Marekani wakiingilia vita vyao na Israel, tutafunga Ghuba ya Uajemi kama Bahari Nyekundu

Iran wameiambia Marekani wakiingilia vita vyao na Israel, tutafunga Ghuba ya Uajemi kama Bahari Nyekundu

Uwe na speed hii hii ya kutupatia habari hadi mwisho.
BREAKING: RUSSIA TO SUPPORT IRAN ACCORDING TO UNCONFIRMED REPORTS

Vladimir Putin:

“If the United States makes the slightest attack on Iran's soil in support of Israel, we will also enter the battle in support of Iran.”

THIS NEED TO BE VERIFIED

Source: Instant News Country
 
Jordan imesema itazishusha Bajaji zote za Ayatolah zitakazokatiza kwenye Anga la Jordan 😆
BREAKING| Israeli channel 12: The Iranian drones are expected to reach their targets at 2:00 am if they are not downed.
 
BREAKING| Israeli channel 12: The Iranian drones are expected to reach their targets at 2:00 am if they are not downed.
Hakuna GPS zinaenda kuangukia Gaza kwenye Nyumba ya Yahya Sinwar.
 
Muda si mrefu uliopita, Irsn imerusha mskombora zaifi ya 199 kwa kutumia drones kuelekea Israel.
Kwa hali ilivyo sasa vita kamili inaanza mzshariki ya kati.
 
Sawa; endelea kuamini ujinga! Msije kujiliza kama kawaida yenu.
Mabwana zenu wanakimba huko

🚨 BREAKING 🚨

Ndege ya serikali ya Israel "Doomsday plane" imepaa na ndio ndege pekee inayoondoka Israel.

Uwezekano wa kubeba Netanyahu na baraza la mawaziri.

Hii ni mbaya sana.
🚨 BREAKING 🚨

The Israeli Governments "Doomsday plane" has taken off and is the only plane leaving Israel.

Potentially carrying Netanyahu and cabinet.

This is very bad.
 
Israel ni mtoto aliedekezwa anatukana watu wazima alaf anajificha kwenye mgongo wa baba yake marekani sasa safari kamchokoza mwendawazim
 
BREAKING: RUSSIA TO SUPPORT IRAN ACCORDING TO UNCONFIRMED REPORTS

Vladimir Putin:

“If the United States makes the slightest attack on Iran's soil in support of Israel, we will also enter the battle in support of Iran.”

THIS NEED TO BE VERIFIED

Source: Instant News Country
Jordan kashaanza kuwasaliti nyinyi waislam, ameshajua kinachofuata
 
Dj walete wana wa Israel wa kwa mtogole na goma la amapiano.
 
BREAKING| Mtaalamu wa kijeshi kwa Mtandao wa Habari wa Quds:

Majibu ya Iran yatakuwa na mawimbi matatu mfululizo:

⭕️Wimbi la kwanza: Inazindua makumi ya ndege zisizo na rubani zinazoongozwa kuelekea eneo la kazi.

⭕️Wimbi la pili: Kurusha ndege zisizo na rubani na kugonga kutoka maeneo ya Iraq, Syria na Lebanon ili kutawanya mifumo ya ulinzi ya Israeli.

⭕️Wimbi la tatu: Kurusha makombora yanayoongozwa.
 
Jordan kashaanza kuwasaliti nyinyi waislam, ameshajua kinachofuata
Jordan ana nini 🤣🤣 hapo alipo analindwa na Marekani huo ufalme wake raia hawamtaki kila siku maandamano halafu Uislam umeingiaje au wewe Muisrael mweusi😤
 
Jordan ana nini 🤣🤣 hapo alipo analindwa na Marekani huo ufalme wake raia hawamtaki kila siku maandamano halafu Uislam umeingiaje au wewe Muisrael mweusi😤
Utajua mwisho wa siku umeingiaje, lkn saudi arabia nae ameunga juhudi, egypt ndio kabisa hana neno.
 
BREAKING| Mtaalamu wa kijeshi kwa Mtandao wa Habari wa Quds:

Majibu ya Iran yatakuwa na mawimbi matatu mfululizo:

⭕️Wimbi la kwanza: Inazindua makumi ya ndege zisizo na rubani zinazoongozwa kuelekea eneo la kazi.

⭕️Wimbi la pili: Kurusha ndege zisizo na rubani na kugonga kutoka maeneo ya Iraq, Syria na Lebanon ili kutawanya mifumo ya ulinzi ya Israeli.

⭕️Wimbi la tatu: Kurusha makombora yanayoongozwa.
Israel akijibu mapigo msianze kupiga kelele kama ilivyotokea gaza
 
Back
Top Bottom