Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
- Thread starter
- #181
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mlolokole unawapangia Iran jinsi ya kupigana.Propaganda tu za Iran, wameua Mossad agent 44? Wamedukua na mfumo wa umeme wa Israel! Story za, chekechea hz,
Iran hana ubavu wa full scale war na Israel, ataishia kutupa makombora tu,
Kama anaweza angeuchapa ubalozi wa Israel Misri, Qatar, au kwenye nchi yoyote ya Afrika!
Copy and paste from Huk Luk JF-Expert memberScott Ritter bado anawavua nguo West. Sasa huyo ni Iran, Vipi kuhusu Missiles za Russia 🇷🇺🇷🇺🇷🇺 mfano wa ile Samart II mh? Wataeza kulizuia kweli??? Wataweza kupambana na Russia hawa?
![]()
QA-I'nh
Na wairan wanaendelea na mazoez makal cheki kamanda huyo hapo wazayuni hawakatizisraeli yafunga shule kote nchini, yaweka jeshi katika hali ya tahadhari huku kukiwa na tishio la Iran.
Mkuu we mzungu au mmeo ndio mzungu, hayo yote hapo juu ni vita dhidi ya maendeleo ya Afrika, Wazungu siku zote wanaplan Afrika tubaki wajinga tuwategee wao. Ndio maana wachahce waliotaka kuonesha wanaweza waliitwa magaidi na ma dikteta wakamalizwa kikatili.Kuna utawala uliogofya Middle East kama Saddam regime na uzao wake katili Uday na Qusay?
Yaliyotokea ni historia; dikteta alidakwa mashimoni kama kuku wa mdondo na kuishia kula kitanzi akidhihakiwa na vijana wadogo!
Mnamkumbuka Muamar Gaddafi? Jitu lililoogopeka Afrika yote? Likiishia kusokomezwa vitu vigumu kwenye mitaro na wahuni?
Where is Hosni Mubarak? Who is Ayatollah? Mbona mna akili za kuku hamjifunzi ninyi?
Aya zipi hizo mkuu kwenye kitabu pendwa Kuruani Takatifu?🚨🇮🇷 IRAN BOMBS:
- Military Targets
🚨🇮🇱 ISRAEL BOMBS:
- Innocent Civilians
- Universities
- Aid Workers
- Journalists
- Places of worship
- Hospitals
- Businesses
- Refugee Camps
- Food Supply
- Markets
- Water Supply
- Homes
- Infrastructure
- Libraries
- Shelter Zones
MPYA: 🇮🇷🇮🇱 Iran iliitaarifu Marekani saa 72 kabla ya shambulio hilo, na kuwapa muda wa kuandaa ulinzi.Kijana Kunywa kahawa ya kizayuni kwanza,upunguze makasiriko 😄😀
Na yale mashambulizi yaliyotokea Israel ameyajibu vipiHakuna kitu kinachotokea hapo Iran hawezi jaribu lolote