Iran wameiambia Marekani wakiingilia vita vyao na Israel, tutafunga Ghuba ya Uajemi kama Bahari Nyekundu

Iran wameiambia Marekani wakiingilia vita vyao na Israel, tutafunga Ghuba ya Uajemi kama Bahari Nyekundu

Scott Ritter bado anawavua nguo West. Sasa huyo ni Iran, Vipi kuhusu Missiles za Russia 🇷🇺🇷🇺🇷🇺 mfano wa ile Samart II mh? Wataeza kulizuia kweli??? Wataweza kupambana na Russia hawa?
1000004353.jpg


QA-I'nh
 
Scott Ritter bado anawavua nguo West. Sasa huyo ni Iran, Vipi kuhusu Missiles za Russia 🇷🇺🇷🇺🇷🇺 mfano wa ile Samart II mh? Wataeza kulizuia kweli??? Wataweza kupambana na Russia hawa?
1000004353.jpg


QA-I'nh
Copy and paste from Huk Luk JF-Expert member
 
sraeli yafunga shule kote nchini, yaweka jeshi katika hali ya tahadhari huku kukiwa na tishio la Iran.
Na wairan wanaendelea na mazoez makal cheki kamanda huyo hapo wazayuni hawakatizi
1000005087.jpg
1000005087.jpg
 
Kuna utawala uliogofya Middle East kama Saddam regime na uzao wake katili Uday na Qusay?

Yaliyotokea ni historia; dikteta alidakwa mashimoni kama kuku wa mdondo na kuishia kula kitanzi akidhihakiwa na vijana wadogo!

Mnamkumbuka Muamar Gaddafi? Jitu lililoogopeka Afrika yote? Likiishia kusokomezwa vitu vigumu kwenye mitaro na wahuni?

Where is Hosni Mubarak? Who is Ayatollah? Mbona mna akili za kuku hamjifunzi ninyi?
Mkuu we mzungu au mmeo ndio mzungu, hayo yote hapo juu ni vita dhidi ya maendeleo ya Afrika, Wazungu siku zote wanaplan Afrika tubaki wajinga tuwategee wao. Ndio maana wachahce waliotaka kuonesha wanaweza waliitwa magaidi na ma dikteta wakamalizwa kikatili.
 
🚨🇮🇷 IRAN BOMBS:
- Military Targets

🚨🇮🇱 ISRAEL BOMBS:
  • Innocent Civilians
  • Universities
  • Aid Workers
  • Journalists
  • Places of worship
  • Hospitals
  • Businesses
  • Refugee Camps
  • Food Supply
  • Markets
  • Water Supply
  • Homes
  • Infrastructure
  • Libraries
  • Shelter Zones
Aya zipi hizo mkuu kwenye kitabu pendwa Kuruani Takatifu?
 
Aya zipi hizo mkuu kwenye kitabu pendwa Kuruani Takatifu?
Kwisha habari yenu walokole hahahah😀😀 Iran Nuksi sasa hivi Waisrael weusi walokole wa JF kila mmoja anaongea vyake. iran huyo anakuja😀
 
Kijana Kunywa kahawa ya kizayuni kwanza,upunguze makasiriko 😄😀
MPYA: 🇮🇷🇮🇱 Iran iliitaarifu Marekani saa 72 kabla ya shambulio hilo, na kuwapa muda wa kuandaa ulinzi.

Shirika la habari la Reuters linaripoti kuwa Tehran ilizipa nchi jirani na Marekani 'notisi ya saa 72 kwamba ingeanzisha mgomo huo, hatua ambayo ingewawezesha kwa kiasi kikubwa kuzuia shambulio hilo'.
 
Israel wanataka kujibu mashambulizi dhidi ya Iran. Baba yake Marekani na Ulaya wamemuonya kuwa itakuwa hatari kuna vita vya Ukraine bado hali tete wanaogopa kuingia kwenye vita vingine, acha ajibu aone mziki wa Iran.
 
Israeli Channel 12: The Israeli Air Force is completing its preparations to respond to the Iranian attack
 
Back
Top Bottom