Iran: Wanawake wavua hijab kulalamika mauaji ya mwenzao kisa sheria ya dini

Sasa kama wanajivunia, kwa hiyo hao wanaoandamana ni Americans?
 
Wanaume wanavaa hijab,ambayo ni baina ya chini ya kifua mpaka magotini,tofauti na wanawake kulingana na maumbile yao
Sura ya mtu, nywele, ndevu n.k zinaweza kuwa vishawishi kwa watu wengine.

Ni ipi sababu ya msingi inayozuia wanaume wasifunike sura zao na hijab?
 
Ayatollah ndio ahame nchi, aende akaishi na Taliban, amechokowa yeye pamoja na utawala wake wote.
Ayatollah aende akakae na wataliban kule kunamfaa sana.
 
Sura ya mtu, nywele, ndevu n.k zinaweza kuwa vishawishi kwa watu wengine.

Ni ipi sababu ya msingi inayozuia wanaume wasifunike sura zao na hijab?
Sababu zipo wazi,ni kimaumbile
Hivi Kati ya mwanaume na mwanamke yupi viwango vyake vya matamanio ni vikubwa zaidi?
 
Sababu zipo wazi,ni kimaumbile
Hivi Kati ya mwanaume na mwanamke yupi viwango vyake vya matamanio ni vikubwa zaidi?
Kama unaishi Tanzania hii nadhani umewahi kusikia dada zetu wakitaja vitu wanavyovutiwa navyo kwa wanaume

Utasikia sura, ndevu, kifua, style za nywele, kimo n.k

Sasa tukija kwa wanaume kwa dini ya kiislamu sio kosa kutovaa kanzu, bado anaweza kuvaa nguo za kawaida na zikaonesha maumbile yake kama vile kifua n.k

Kwakuwa sura, ndevu, style ya nywele inaweza kumshawishi mwanamke, wanaume nao wavae nguo za kufunika sura zao na sehemu nyinginezo za mwili ili kuepusha vishawishi.
 
Sijui waliingiaje mkenge wa hiyo dini ya mwarabu, Persians ni watu wenye akili sana na wangekua mbali sana leo hii isingekua huo uzombi wa kidini.

Hiyo dini ingeachiwa waswahili na waarabu basi.
Upo sahihi kabisaa
 
Halafu huwa mnaiga hadi kujilipua mabomu, yaani mwarabu anakujaza mzuka wa dini yake hadi unawalipukia Waafrika wenzako...
Huwa najiuliza mbona Waarabu hawana Sijida?

Huko ndiko dini yao ilipoanzia na Mtume Mwamedi aliishi huko lakini hawana Sijida kwenye paji la uso, inamaana wao hawasali sana?
 
Huyo jamaa yako ni mpumbavu.

Ukikutana naye , mwambie mimi nimesema yeye ni mpumbavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…