Iran yageuza gia angani, yasema haitalipa kisasi kwa Israel kama wakisitisha vita Gaza

Kama Israeli atasitisha vita Gaza basi atakua amekubaliana na masharti ya Iran.
BREAKING: Israel's National Security Minister Ben Gvir says Netanyahu will no longer have a mandate to continue as Prime Minister if there is not a 'large-scale offensive in Rafah'.
 
Mkuu,
Soma hapa chini, Imamu mwenye akili kubwa anatoa majibu kwa swala lako. Anayeshindwa kuelewa lazima awe mnafiki Promax..

View: https://twitter.com/sanderson17280/status/1774137548605993180?t=cGdbXXaYLgdCbW71A49iIg&s=19

1. Kwa hiyo tulichokuwa tunajadili ghafla umeacha? Umewarukia wafia dini?

e) Wafia Uislam: Hawa kwao dini ni uislam tu, tena ule wa kwao. Huwashangaa wengine wote na dini zao. Haiwaingii akilini iweje usiwe mwislam wa aina yao. Hawana uvumilivu na wengine. Mbingu na pepo wanayoijua ni ile yao tu, si ya wengine. Adui yao mkuu ni yeyote asiyekuwa mwislam na hasa mwisraeli.

"f) Wafia Ukristo: Hawa wanaamini dini ni ukristo tu, tena ule wa kwao. Wanaamini Israeli ni taifa teule na kuwa tena si binadamu wa kawaida. Lolote afanyalo mwisraeli ni sawa tena dunia yote ilipaswa kuwasabiria. Hakuna ovu lolote dhidi ya Israel, na waarabu kwao, hawana haki yoyote."

2. Tofautisha suala la Palestina na wafia dini; hao ni sawa na kina MK254, tofauti zao zIkiwa ni majina tu:

Makundi saba ya chawa kindaki ndaki yanayotatiza mabadiliko
 
  • Thanks
Reactions: 511

Kwa mara ya kwanza nimekuelewa.
 
Kwa mara ya kwanza nimekuelewa.

1. Hapa ndipo shida ilipo; baadhi ya watu kushindwa kufahamu Israel anapingwa kwa udhwalimu wake.

2. Wajinga wanadhani ni vita ya wakristo dhidi ya waislam; wasijue hata mwisraeli Wala si mkristo.

3. Wapo wasio waislam wengi wawaungao mkono wapalestina kwenye mapambano yao ya ukombozi wa nchi yao.

4. Kwa taarifa yako ninaandika hivi hivi siku zote; soma Uzi huu hapa kujiridhisha:

Makundi saba ya chawa kindaki ndaki yanayotatiza mabadiliko
 
  • Mshangao

Nilimaanisha uliposema kuhusu wafia dini sio swala la parestine na Israel.
 
Du! Nimeelezea kama nadharia na jinsi nnavyojua na kusoma vitabu mbalimbali juu ya mataifa haya mawili.Iran anayajua na ndo maana ajakurupuka kama Hamas walichofanya 7th October. Wanajua mziki wa Wana wa Yakobo😁@Garincha ii kwenye hivi vitabu wewe umevisoma vingapi?? Au ni ule ubishi wa vijiwe vya kahawa baada ya kuvimbiwa Futari??
Unataka na mimi niorodheshe vitabu hapa? Kwanza nadharia zako ndo zimejaa ukijiweni. Hata nchi masikini kama Tanzania unajua vifaa vya mfumo ya mawasiliano tunatoa nchi gani pale juu unaandika bla bla za vifaa hivyo kana kwamba nchi inavinunua mnadani. Wewe yote hayo uyajue halafu Wairan wasijue wapi wanunue na wapi wasinunue mpaka wajaze vifaa vya Israel?
 
Mavitabu meeengi mbona yahya yumo kwenye handaki hapo hapo Gaza hao wazayuni hawamtoi? vita sio porojo ni field work hamas tu anamtoa jasho hana chakula
Hawa vijana wadogo wanaongozwa na ushabiki wa dini. Wanadhani Israel anaenjoy hizo vita. Mbabe anayepewa msaada wa Kijeshi ni taifa jingine kweli umemuona wapi?
 
Na huo ndiyo ulio msimamo wangu siku zote
Unajua kuna mazingira yanamfanya mtu kubadilika.
Mimi napenda sana kuheshimu imani ya watu na sitaacha.
Tatizo nilipogundua watu wa JF hawataki fact, wao ni kukaa upande wao na kushambulia upande wa pili, nikawa najaribu kukosoa pande zote. Mwishoe nikagundua hata ukiwapa ukweli kutoka kitabu anachokiamini, bado anakutukana, nikaamua anaetaka kujadiliana na mimi kwa busara, tunafanya hivyo, lakini wale vichwa maji nawajibu wanavyokuja.

Thread zote ninazo criticize Islam, anza kusoma ujumbe nilio u quote lazima ukute tusi au kejeri. Mpaka sasa waislam niliojadiliana nao tukamaliza bila kejeri wala tusi ni Hammaz (he's matured ) pekee. Kama wapo wengine basi hawakujipambanua kama waislam.

Wewe kuna muda ulini attack, nikakujibu, lakini nilipoendelea kukusoma kuna mahali nimekuelewa sana, ufia dini ni tatizo.
 
1. Hapa ndipo shida ilipo; baadhi ya watu kushindwa kufahamu Israel anapingwa kwa udhwalimu wake.

2. Wajinga wanadhani ni vita ya wakristo dhidi ya waislam; wasijue hata mwisraeli Wala si mkristo.

3. Wapo wasio waislam wengi wawaungao mkono wapalestina kwenye mapambano yao ya ukombozi wa nchi yao.

4. Kwa taarifa yako ninaandika hivi hivi siku zote; soma Uzi huu hapa kujiridhisha:

Makundi saba ya chawa kindaki ndaki yanayotatiza mabadiliko
Uku kundi moja na mimi kwenye hili. Humu Kuna ushabiki wa wafia dini. Na akisoma jibu lako akiliona sio la mlengo wake wa dini anakutafutia tusi la dini anayo amini upo. Kuna mmoja kaleta orodha ya vitabu na kunilisha futari automatically. Inakera.
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Unataka na mimi niorodheshe vitabu hapa? Kwanza nadharia zako ndo zimejaa ukijiweni. Hata nchi masikini kama Tanzania unajua vifaa vya mfumo ya mawasiliano tunatoa nchi gani pale juu unaandika bla bla za vifaa hivyo kana kwamba nchi inavinunua mnadani. Wewe yote hayo uyajue halafu Wairan wasijue wapi wanunue na wapi wasinunue mpaka wajaze vifaa vya Israel?
Mpaka sasa wewe umesoma vitabu vingapi juu ya Warabu na Israel?? Iran ana vikwazo vya Biashara zaidi ya miaka 10 so ata parts za Ndege za Abiria awezi nunua popote pale Dunia ... ndege zinaoza. Awezi uziwa any parts au vifaa vya kijeshi na nchi yeyote ya Ulaya , NATO au USA. Akajiongeza kuanza zalisha mwenyewe zana za kivita na vinu vya Nuklia kupitia black market( soko la magendo) Israel wakaja anzisha kampuni za kimkakati based on Iran profile.... wakawa wanawauzia systems na parts with Hidden Softwares ambazo mwisho wa siku Israel ndo ana remot control ya hizo systems😁. Iran ata China awezi muulia flash disk loja kwa njia halali. So acha udini na ushabiki wa vijiwe vya kahawa ...Elimu Elimu Elimu .....
Amesema Mtume (s.a.w.) "Itafuteni elimu ijapokuwa iko katika miji ya China, SOMENI ACHENI UMAMUMA
 
Unajua mpaka Sasa hivi wewe unanijua kuliko hata ninavyojijua. Na Kuna mlengo wa kidini umeniweka kichwani kwako. Una nadharia nyingi za kufikiria kwa sababu Kuna vitabu umesoma. Ajabu. Ukiona wewe unayajua yote hayo juwa sio classified Intel... Classified Intel zisingekuwa mkononi mwako kutoka Mosssad unayoiabudu.
Pili Kuna mataifa mengi tu yanafanya biashara na Iran.
Tatu mimi ni mkristo ila sio mfia dini. Kuhusu shule nimeenda na sio ya Kuunga so stop lecturing me about schooling. I rest my case.
 
Unajua mpaka Sasa hivi wewe unanijua kuliko hata ninavyojijua. Na Kuna mlengo wa kidini umeniweka kichwani kwako. Una nadharia nyingi za kufikiria kwa sababu Kuna vitabu umesoma. Ajabu. Ukiona wewe unayajua yote hayo juwa sio classified Intel... Classified Intel zisingekuwa mkononi mwako kutoka Mosssad unayoiabudu.
Pili Kuna mataifa mengi tu yanafanya biashara na Iran.
Tatu mimi ni mkristo ila sio mfia dini. Kuhusu shule nimeenda na sio ya Kuunga so stop lecturing me about schooling. I rest my
Sasa si uende ukawapige Wewe Hao Waisrael ! Unasubiri nini wewe Msomi mbobezi??NENDA AU TUKUCHANGIE NAULI??
 
Ila
Kuna watu wenye akili Iran, wamemshauri ayotollah kwamba Vita nimbaya. Ayotollah ameelewa.
ni mbaya kumuamini mtu aliyejiandaa kupigana na wewe alafu ghafla anakupa ofa kama hii!
 
Vita Ni mbaya. Tuulize tuliokuwapo wakati wa Vita ya kumfurumusha nduli.
Sio wakati wa Vita tu, Ila Hali inakua mbaya zaidi baada ya Vita Kwisha.
Kumbuka Vita ya Kagera haikupiganiwa ndani ya Tanzania Sana. Imagine ndege za Uganda zingepiga Dar au TANGA au hata Chato.
 
Wanashabikia wanadhani vita ni WWE... Wengi watoto wadogo.
 
Vita Ni mbaya. Tuulize tuliokuwapo wakati wa Vita ya kumfurumusha nduli.
Sio wakati wa Vita tu, Ila Hali inakua mbaya zaidi baada ya Vita Kwisha.
Kumbuka Vita ya Kagera haikupiganiwa ndani ya Tanzania Sana. Imagine ndege za Uganda zingepiga Dar au TANGA au hata Chato.
Vita ya Leo hata ukishinda bado utaugulia vya kutosha. Mfano Ukraine hata ukishinda hasara na vifo vilivyotokea Ata chukua miongo kurudi kwenye reli. Humu utasikia ushabiki wa kitoto na udini tu
 
Back
Top Bottom