Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Kwa mara nyengine viongozi wa Iran wameionya Israel iache unyama wake inaoufanya huko Gaza haraka kabla haijakumbwa na tetemeko la upinzani.
Kauli hiyo imetolewa na Iran huku wanamgambo wa Hezbollah wakisema wameshajirayarisha vya kutosha kupigana na Israel muda utakapokuwa sawa.
Kundi hilo lina silaha zaidi kuliko Hamas na katika vita baina yake na nchi hiyo mwaka 2006 ilifanikiwa kuitia hasara kubwa kwa kuripua vifaru vyake kadhaa vilivyotajwa hapo awali kama havingewezwa kupigika,