Usifikiri sifuatilii, wala usifikirii mimi ni mpenzi wa ubuyu. Ninafuatilia sana tena kutoka multiple sources.
Pecekeepers mpaka wanaingia, tayari Israel alikua ndani ya Lebanon na alikua ameshaifunga nchi yotr, hakuna kuingia wala kutoka Lebanon, hakuna kutumia bahari wala anga.
Peacekeepers ndiyo walikuja ku rescue situation na UN ikaunda kikosi maalum cha UN ambacho kiliwekwa mpakani upande wa Lebanon kikiwa na Jukumu lazuia Hezbollah wasifanya chokochoko zao.
Hapo ndipo Israel ikakubali kuifungua Lebanon, na kuondoka na kuwapisha UN pale mpakani.
Hezbollah wanapigana kioga kwa kujificha nyuma ya raia hivyo Israel hata akiwaua inaonekana ameua raia. Kama Hezbollah ingekua ni jeshi wala UN isingeingilia, pia Israel asingepata taabu, tatizo ni kikundi cha kigsidi kilichojificha nyuma ya raia.