Iran yaiambia Israel isitishe vita haraka kabla haijachelewa

Iran yaiambia Israel isitishe vita haraka kabla haijachelewa

Tuisave kwa matumizi ya baadae au tuipotezee ?
Mwisho wa ubabe wa Marekani na NATO umefikia.

Israel hana chochote cha maana, anawategemea mabwana zake wa USA na NATO.

Penye ukimya pana mshindi.

Nchi zilizokaa kimya mpaka sasa siyo wajinga au waoga.

Watapelekewa moto hao hawajawahi kuuona maisha, unafikir watu hawaoni Wapalestina wasio na dhambi kuteswqa na kuuliwa miaka yote?
 
😂 dogo hio ni leo hata Israel wamekubali wamepewa kipigo we unaleta ujinga hapa.

Israel wanajiharia wanaogopa kuingia Gaza nawalitoa onyo eti masaa 24 wataingia Gaza leo masaa 72 yamepita kimya wataishia piga majumba tu 😂
Wewe ni mjinga sana, hujui hii ni vita unafikiri wanaingia eti vile umesema, wataingia kwa muda wao na kuangamiza hao Islamic Terrorists.
 
Wewe ndio unapumbazwa.
Ni lini Israel imeishambulia au imechochea kuishambulia Saudi Arabia?
Hakuna.

Iran imewatuma Houthi kulipua miundombinu ya mafuta ya Saudi. Tena sio mara moja.

Ni lini Saudi Arabia imeshiriki azimio la kupigana na Israel au influence yake? Last time it was in 1972 napo ilichangia kwa mkumbo ili Waarabu wasiitenge haikupeleka wanajeshi.

Wakati huo Saudi Arabia inapigana na Houthi pale Yemen ambao ni Washia na wanapewa silaha na Iran. Iran mara nyingi mashua zake za magendo zinakamatwa na shehena ya silaha kwenda Yemen. Parts za makombora, anti tank missiles, MANPADS, landmines, riffles na vitu kibao. Hizi zimekamatwa mwaka huu 2023 kutoka Iran kwenda kwa Houthi kupigana na Saudi ArabiaView attachment 2782743

Waliokufa kutokana na vita ni zaidi ya 150,000 na kutokana na njaa inayoletwa na vita ni zaidi ya 200,000.

Wewe unaona Iran na Saudi wamepiga picha unaona basi tiyari wameanza kupendana. Yani Mshia ampende Msuni? Si bora ampende kafiri Mkristo.
Mkuu mimi niliwaambia hata kwenye uzi ule wa vita.
Iran hawezi patana na kukaa kiti kimoja na Saudi hio haiwezekani kabisa.
Iran atafuta njia ya kuiangusha ufalme wa Saudi.
 
Tuisave kwa matumizi ya baadae au tuipotezee ?
CNN forgot it's on air and the news director instructed the news reporter and cameraman on the phone to pretend they've been hit by Hamas rockets when he told her to look around in a way that "you're panicking"

 
Channel 12 ya Israel inasema:
Tukio lisilo la kawaida lilitokea wakati wa ziara ya Waziri Mkuu Netanyahu kutembelea askari wa akiba kutoka Brigedia ya 697 karibu na Rehovot - Netanyahu alikumbana na matusi na matusi kutoka kwa askari na kufuta hotuba ambayo alitakiwa kutoa - aliwakusanya baadhi ya askari, akazungumza nao peke yake, picha, na kuondoka mahali hapo.

Inaonekana kwamba kile kilichokuwa kikizungumzwa kuhusu kutoroka kwa kundi kubwa la askari wa Israel
ni katika medani ya vita ni kweli, na sasa habari zimeanza kuwasili kuhusu mizozo mikali ndani ya baraza la mawaziri lenyewe.

Pia kuna mwelekeo wa Marekani wa kumzuia Netanyahu, jambo ambalo si kwa ajili ya kuihurumia Gaza, lakini Marekani ina taarifa ilizozipata kuhusu "kuzimu" ambayo #Hamas imeitayarisha ndani ya Gaza kupokea jeshi la Israel ikiwa itaamua kuingia ardhini Hamasi
atashinda tena mara mbili
Jihadists mkishavimbiwa na magimbi na maharage mnaandika tu chochote kinachokuja kichwani ili mjiliwaze..!!!
 
😂 dogo hio ni leo hata Israel wamekubali wamepewa kipigo we unaleta ujinga hapa.

Israel wanajiharia wanaogopa kuingia Gaza nawalitoa onyo eti masaa 24 wataingia Gaza leo masaa 72 yamepita kimya wataishia piga majumba tu 😂
Ww unadhani kuingia kwenye vita ni sawa na unavyoingiliwa ukiwa umeinama hapo msikitini
 
Kwa mara nyengine viongozi wa Iran wameionya Israel iache unyama wake inaoufanya huko Gaza haraka kabla haijakumbwa na tetemeko la upinzani.

Kauli hiyo imetolewa na Iran huku wanamgambo wa Hezbollah wakisema wameshajirayarisha vya kutosha kupigana na Israel muda utakapokuwa sawa.

Kundi hilo lina silaha zaidi kuliko Hamas na katika vita baina yake na nchi hiyo mwaka 2006 ilifanikiwa kuitia hasara kubwa kwa kuripua vifaru vyake kadhaa vilivyotajwa hapo awali kama havingewezwa kupigika,
Mikwala tu. Ashaona Hamas wameshindwa na Gaza unaenda kutekwa.

Anafanya kupooza kwa propaganda.
 
Mwisho wa ubabe wa Marekani na NATO umefikia.

Israel hana chochote cha maana, anawategemea mabwana zake wa USA na NATO.

Penye ukimya pana mshindi.

Nchi zilizokaa kimya mpaka sasa siyo wajinga au waoga.

Watapelekewa moto hao hawajawahi kuuona maisha, unafikir watu hawaoni Wapalestina wasio na dhambi kuteswqa na kuuliwa miaka yote?
Sema Takbirrrr 😂😂😂😁😀. Jipeni moyo mtashinda sio kwa uweza wa Mungu muumba mbingu na nchi.
 
Tatizo nyie mmeisha danganywa sana na bibilia kuwa Israel ni taifa la mungu wa bibilia 😂

Mimi nakuambia Israel haingizi jeshi Lake Gaza anajua kinacho mgojea ukikuwa utapata akili


View: https://youtu.be/T3d7-TLaZhY?si=Wo6_usQut47AW8T7

Israel ndio mzaliwa wa kwanza wangu mimi asema Bwana. Yeye amgusaye ni kama ameigusa mboni ya jicho la Mungu. Mwana wa house girl hawezi kurithi pamoja na mwana wa ahadi ndio maana Baba Ibrahim akamfukuzia mbali. Israel na ibarikiwe milele na milele.
 
Sema Takbirrrr 😂😂😂😁😀. Jipeni moyo mtashinda sio kwa uweza wa Mungu muumba mbingu na nchi.
Moyo wanini zaidi ya waliouonesha vijana walioitwanga nchi yenye kila aina ya silaha na huku ikisaidiwa na wanaojifanya wababe wote wa duniani kwa kutumia pikipiki na miavuli?

Hama hujauona ushindi huo, nakupa pole sana.
 
Back
Top Bottom