Iran yaiambia Israel isitishe vita haraka kabla haijachelewa

Iran yaiambia Israel isitishe vita haraka kabla haijachelewa

Israel ndio mzaliwa wa kwanza wangu mimi asema Bwana. Yeye amgusaye ni kama ameigusa mboni ya jicho la Mungu. Mwana wa house girl hawezi kurithi pamoja na mwana wa ahadi ndio maana Baba Ibrahim akamfukuzia mbali. Israel na ibarikiwe milele na milele.
Pole Mungu kawapelekea mafuriko huko leo kama hujui, Hamasi anawatandika huku na Upande wa Lebanon Hezbullah anawatandika


View: https://youtu.be/FEmG1eSvOYg?si=9muZ7bUa78PNULIw



View: https://youtu.be/46pwb-b8vw8?si=lpqX29em5qbRtc9J
 
Ground warfare ni ngumu sana naona wengi humu mnachukulia poa sana. Wafanye mazungumzo ya amani maama Hamas kuwamaliza ni ngumu kuna watu zaidi ya million 1 Gaza pekee so wata recruit tena na tena na vita haitoisha zaidi ya civilians wa pande zote kufariki.

Israel jeshi lake linatengenezwa na reservists then uwapeleke front line dhidi ya watu wasio na cha kupoteza!! It'll be brutal combat and should be avoided at all costs.
Kwani hao wateule hawana wajeda ambao wapo active mpaka walazimike kuwaita hao reservist
 
Kwani hao wateule hawana wajeda ambao wapo active mpaka walazimike kuwaita hao reservist
Jeshi la Israel ni 450k kati ya hao 300k ni reservists sasa kwa minajili hiyo inamaanisha 70% wanaoenda frontline ni "mgambo" hiyo ni fact wala sijasema mimi.
 
Back
Top Bottom