Jeshi linaweza fika 170k ila reservists ni 300k so total recruitment inafika 470k sasa hapo majority ni reserve au regular army?
Hiyo reserve isikusumbue. Hiyo ni style ya nchi, na kila nchi ina namna ya kuwatumia hao reserve muda wakuhitajika kulingana na wanayoenda kukabiliana nao.
Canada wanajeshi dogo sana, lakini sababu iliyopelekea kuwa na jeshi dogo si kwa sababu ya kuwa NATO au kutokuwa na Majirani unreliable, bali wana mfumo wao ambao waliutumia kwenye WW2 ukawapa mafanikio na sifa, ndiyo huo ambao mpaka sasa ni kama culture kwenye jeshi lao.
Kuzungumza sababu Israel hawapambani na Hamas kumbuka Hamas ni faction tu ya wana Gaza zaidi ya million 2 hivi hao wote wakibeba silaha vita itaisha lini?
Hilo ni shauri yao Hamas, lakini halimfanyi Israel akae kuzungumza na Hamas, ili iweje? Kwamba Israel ajisalimishe? Kama Hamas ni functions ya wana Gaza, it's fine and well, as long wana Gaza wameamua ku funtion kwa namna hiyo basi hayo ndiyo majibu ya aina ya mazungumzo.
Kuhusu kuongea kumbuka Palestina imekaliwa kimabavu na Israel maana walishagawanyiwa ardhi 50 kwa 50 sema Israel inajitanua kila siku so tukienda kiuhalisia Palestina ni kama Ukraine tu inakaliwa na majeshi ya kivamizi. Kama unapinga uvamizi wa Russia huko Ukraine basi itakua ajabu sana uki support kinachoendelea Gaza. Ndio maana nimeshauri mazungumzo amani iwepo kuliko vita wanaokufa ni raia sio hamas wala IDF.
This is misleading, Israel ni mvamizi sasa anavamiwaje? Angefuatwa Tel Aviv hapo sawa ila
Labda lama haufuatilii, lakini siamini kuwa jsufuatilii ila tu haukuzingatia sababu haukuona umuhimu kwa sababu ya story za mazoea kwamba Hamas huwa anashambulia occupied areas. Mbaya zaidi hata kwa maeneo ambayo ni occupied siyo tu walivamia baki waliua watu kikatili. Vifo vya wale wa Israel 1,300, mnaona ni vya kawaida sababu ni occupied area....(tutaongelea swala la occupation)
Katika msshambulizi ya juzi, Rockets zaidi ya 2,200 zilirushwa kwenda Jesrusalem upand wa Israel pia kwenda Tel Aviv je hayo ni maeneo yanayokaliwa kimabavu? Siku zote awe Hamas au yeyote anayeishambulia Usrael amekua akiilenga Tel Aviv na maeneo mengine ambayo hayapo occupied, ni sababu ya ulinzi wa anga lao ndiyo maana hamsikii vilio na hajiangaishi kuongelea shambulio lililo fail bila kujali gharama zunazotumika kuyadhibiti mashambulio hao, ila mnaona ni sawa tu, ila akiminywa yule mwingine mnataka mazungumzo ya amani.
ukiwa ndani ya mipaka ya mtu akikuvamia ni ukombozi sio uvamizi. Ni sawa na Ukraine wakipiga mabomu crimea hatusemi wamevamia warusi maana sio kwa warusi pale. Hope you see the difference.
Hilo swala la mipaka, bado mnatembea kwenye ileile kasumba ya kuangalia upande mmoja. Eneo liligawanywa ni kweli, lakini kila wakati walifanyiwa uvamizi au walirushiwa rockets. Israel ililalamikia sana vitendo hivi vya kuvamiwa lakini hapajawahi kuwa na majibu, zaidi maeneo mengi yalikaa vizuri kimkakati katika kuifanyia mashambulizi Israel. Baada ya kuona hakuna msaada ndipo ikaamua na yenyewe kuanza kujilinda kwa kuchukua maeneo yanayotumiwa kufanya mashambulizi na kuyafanya kama buffer zones na baadaye kuyafanya makaazi. Hii yote ni kujilinda, hivyo wakati mnampinga kuhusu kuyakalia hayo maeneo, angalieni sababu iliyopelekea kuyachukua. Alianzwa na yeye amemaliza.
Pia uelewe, lengo la Hamas au vikundi hivyo si lingine bali ni kuifuta kabisa Israel. Hapo inaififisha hoja na utetezi wako kwamba wamevamiwa.
Wao wamekaribisha uvamizi sababu walipogawiwa maeneo wakaibuka na harakati za kuifuta Israel na hapo ndipo wakaanza kupoteza maeneo.
Wanayoyafanya kwao ni Ibada sababu ni muongozo wa kitabu.
sahih muslim 2921
Abdullah b. 'Umar reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
You and the Jews would fight against one another until a stone would say: Muslim, here is a Jew behind me; come and kill him.
Ndio nachosema hapa, walikufa Hamas sababu ground warfare ni advantage kwa mwenyeji anayejua ardhi yake. Na ndio maana Hitler alipigwa na Russia licha ya kuwa na jeshi imara zaidi, Italia alipigwa na Ethiopia, sasa ukija Gaza hao Israel sio kwamba ni terrain yao ilihali wenzao wanaishi kama panya.
It wont be easy for them, zaidi raia wasio na hatia watakufa